Puk blocked | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Puk blocked

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sop sop, Jun 6, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wana jf kuna mtoto alikuwa anachezea sim yang sasa nilvyoichukua na kutaka kuitumia ikaniandikia puk blocked sasa naomben mnsaidie njia ya kuirudisha katka hali ya kawaida...ni tigo line
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  daaah kazi kweli kweli simu ikisha block puk nadhan mpaka uka renew line thou am not so sure, maana uwa inaanza pin ukikosea inakuja puk ukikosea ndo hivyo
   
 3. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Atafute kile kikaratasi cha PIN na PUK code aingize hizo PUK itakuwa fresh.
  Kama amekipoteza anaweza kupiga sim huduma kwa wateja Mtandao husika kwa kupitia sim nyingine watamsaidia ila kama sim card ipo rejected dawa ndo Kuswap line
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Nenda ka-renew line mkubwa..hkna option ya kufanya hapo.
   
 5. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ukipiga cmu customer care wana kupa puk. Ila lazma uulizwe maswali kama upo polis. Mfano watauliza mara ya mwisho ulimpigia nan? Mara ya mwisho ulijaza shngap? Ulibaksha shngap na mtu wa mwisho kumpigia ni nan? Then ingekua voda ingekua easy just ku2ma neno puk 07******** kwenda 123 unazipata.
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  jamani someni thread vizuri jamaa kasema puk pia ishakuwa blocked nadhan ukiweka mara 8 ukaikosea inakuwa blocked pia hapo nadhan mpaka kurenew line hakuna option nyingine
   
 7. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  UKWELI hapo kafanye SWAP, hakuna njia nyingine! kwani iliingizwa wrong pin number mara tatu PIN ika-BLOCKED, Simu ikamtaka aingize PUK. akaingiza wrong puk number mara kumi kwa hiyo SIMCARD HAS BEEN BLOCKED BY INTERING WRONG PIN/PUK. Chakufanya nenda kwa wakala wa usajili wa mtandao wako ukiwa na kitambulisho ulichokuwa umesajilia laini yako au nakala ya fomu ya usajili pamoja na CALL HISTORY isiyopungua namba tano akufanyie SWAP NAMBA YAKO!
   
Loading...