PUGU: Maiti ya Mary Mkwaya Maramo, aliyekuwa afisa wa Wizara ya Nishati yafukuliwa na kuvuliwa nguo, yadaiwa kuingiliwa kimwili

Kiafya kuna umuhimu wa kuleta muongozo wa Uzikaji kitaifa.Niliwahi kwenda karatu wao huwa wanaweka jeneza halafu wanatupia Zege hadi nusu halafu wanaweka udongo juu....nadhani kwa style hiyo hakuna anayeweza kufukua ingawa ninawaza sana siku ya kupalizwa mbinguni kama itakuwa ni rahisi kufufuliwa kutoka kwenye kaburi la namba hii.
We jamaa bana teh teh teh
 
Logic ipo wapi, kama waliweza kuivua nguo maiti unafikiri kuiba angeshindwa? Sema ni vile hatujui what was the motive behind the evil

Sent using Nokia 6
azikwe uchi azikwe na gold kaburi linaweza kufukuliwa tu, so hakuna haja ya kumtahadharisha eti mtu anayezika mpendwa wake na saa ya mkononi kuwa patafukuliwa na kuibiwa kwasababu huyo dada kafukuliwa na hajaibiwa chochote.
 
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mwili wa aliyekuwa Ofisa wa Wizara ya Madini, MERY MKWAYA MARAMO, aliyefariki mwanzoni mwa wiki hii na kuzikwa jana katika makaburi ya Pugu-Mwakanga jijini Dar es Salaam, umefukuliwa na kutolewa nje ya jeneza kisha kuvuliwa nguo usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Aprili 12, 2019 na watu wasiojulikana. Kaka wa marehemu Mary aitwaye Deogratius Maramo, amedai mwili wa marehemu uliingiliwa kimwili lakini bado wanasubiri ripoti ya polisi ili kujua kilichotokea kwani hakuna kitu chochote kilichoibiwa katika kaburi hilo ,

DUNIA IMEISHA AISEE

 
Back
Top Bottom