nimejaribu kufuatilia hotuba za marais wote watano walioiongoza nchi hii nimevutiwa na JK Nyerere, JK mrisho vipengele vilivyonishughulisha ni muoenakano wakati wa hotuba, mririko wa hotuba, maudhui ,hadhira nimefanya rejea katika hotuba za mikutano ya chama, uchaguzi, kuapishwa na kuapisha, majanga na diplomasia. NIWE MKWELI MM NIMEWAONA HAO HAO WATATU NISAIDIENI NYIE MMEVUTIWA VIPENGELE GANI? THANKS