PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

Wewe ni mpinzani wa CCM na watu wanakujua vizuri sana.
Kwa taarifa yako mimi sipingi hovyo wala sikubalivyo, ndio maana hata mwaka niliyopiga kura nilichagua diwani chama kingine, mbunge chama kingine na raisi chama kingine, mimi mfuasi wa sera na si vyama,
 
Utawadanganya watoto wadogo mkuu. Sisi tunakujua vema humu kupitia comments zako.
 
Back
Top Bottom