Public officer kusalimia SALAAM ALEIKUM kwenye jukwaa la kiselikali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Public officer kusalimia SALAAM ALEIKUM kwenye jukwaa la kiselikali!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hute, Jan 4, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  unajisikiaje mfanyakazi wa selikali, awe rais, waziri, mbunge, mwenyekiti etc, anaposimama kwenye kadamnasi kuhutubia wananchi wenye dini tofautitofauti, akasalimia "salamaleko", wakati pale kuna waislam wengi, wakristo wengi, wabudha na wahindu...anachotarajia pale ni kwamba, ANAITAMBUA DINI HIYO TU YENYE SALAMU, anawabagua watu wasio wa salamaleko? anataka kuwasilimisha wengine kinguvu au ana dharau dini za watu wengine?, na anatarajia mimi nisiyejua hata kuitikia nimjibuje? au, mimi Ninayemwamini Yesu, nitasemaje "alekumsilamu" aleku muislam"....HUWA UNAWAELEWAJE?

  kama kina Enock Bwigane wa tbc yule mnyakusya limbukeni, na watangazaji wengi tu...wengine ni wakristo...huwa wanataka kujipendekeza waonekane sio wadini au huwa inakuwaje....KWANINI TUSIWE SECULAR KWENYE MAMBO YA SELIKALI YA KISECULAR? utajisikiaje kila kiongozi anaposimama kusema "Bwana asifiwe"...wengine hapa wangeshaanza kuandamana mtaani na mihadhara ingejaa temeke na manzese kaajili ya hilo tu....what do you think about this?
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,475
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Ni salamu tu...
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  kwanini hawasemi Bwana asifiwe au Tumsifu Yesu Kristo...wanataka tu watu tuitikie ...alei ku muislam...muislam hiyo ya mwisho ni nini kama si udini?
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,475
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Aleikhum salaam ndio muitikio sahihi...hiyo yako ni corrupt version....ni kiarabu tu na hata Wakristo waarabu hutumia salamu hiyohiyo...
   
 5. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  unayemdanganya ni nani? lakini perception ya watu ni kuwa ni salamu ya aina gani?
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,475
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Sihitaji kudanganya mtu ila ndio ukweli wenyewe...mimi ni mkristo na nimetembelea holy land yote na nimekutana na Wakristo wa huko ambao ni waarabu...wanaendesha misa kiarabu....na askofu alitusalimia na hiyohiyo asalaam aleikhum...shida ni kuwa watu mnachanganya uarabu na uislamu ambavyo ni vitu tofauti sana....na mtu hazuiwi namna ya kusalimia na wewe hushurutishwi kuitikia.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Well, na kwanini tutumie kiarabu wakati kuna maneno kemkem ya kuwasilisha ujumbe wa salamu!
  Ni kweli Kiswahili kina asili ya Uarabu, lakini pia ni lazima kuzingatia hadhara unayoongea nayo...
  Hizo za akina Bwigane ni unafiki na kuiga kusikokuwa na mantiki!
   
 8. M

  Mama PC Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa mimi ninavyoelewa maana ya asalam aleykum ni kama heri iwe juu yenu, na kiitikio chake ni iwe juu yako pia. Kwa hiyo hii salam sio shida lakini si tuna kiswahili chetu jamani, kwani uwabariki au uwasabahi watu kwa kiarabu au kiingereza!! Its boaring!
   
 9. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0


  Ni salam yenye asili kiarabu. Kama huitaki hiyo na maneno yote yenye asili ya kiarabu tunayoyatumia kwenye kiswahili yahojiwe.
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,475
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Ni ngumu kidogo kutokana na mazoea......
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Msilazimishe mambo bana, 'Salamaleko' inaendana moja kwa moja na Uislamu kwa huku kwetu Bongo...Kwa Uarabuni ni sawa inatumika,..lakini kwa huku tuangalie context ya salamu hiyo, kwa maana ya hadhira inayozunguka tukio!
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  this thread does not worth JF credibility...... and may bring fracas among different faith
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,475
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Najitoa kwenye thread....kwaherini
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu..... kula tano yangu instantly
   
 15. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Asallaam alleykum ni salam kwa kiarabu. Hata waarabu wasio waislam wanasalimiana hivyo.
  Tatizo ni ulimbukeni wa waafrika ambao wamehusisha hiyo salaam na uislam, as if uislam=uarabu.
  Hali kadhalika Shalom ni salamu tu ya Kiyahudi/kiebrania na kunakuwa na waafrika wanaofikiri ukitumia shalom wewe ni mkristo au ndio upo karibu sana na Muumba.

  It is all vanity!

  Lakini upande mwingine, whether salamaleku, shalom, zinatumika, nafikiri cha muhimu hapo ni kujua dhamira ya mtoa salaam. Je ni kusalimia tu kwa kukujulia hali au anaeneza dini yake?

  Mimi nafikiri, ni salaam tu!
   
 16. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Well done,
  Hii ni salamu tu tena ni kwa wote
   
 17. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,292
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280


  unaelewa asili ya neni salam? au mtu akikuambia vipi salama anamaanisha nini? wewe kila siku unaongea kiarabu ila kusalimiwa kiarabu hutaki? hiyo ni salamu tu mzee hapo hatajwi mungu wala mtume! kusalimia kwa kusema bwana asifiwe au tumsifu yesu hiyo ni salam ya udini kwa sababu tayari inamtaja na kumsifu mungu unayemwamini tofauti na asalam allaykum.acheni beef zisizo na msingi na muanze kufahamu sasa kwamba uarabu si uislam kama ambavyo ukristo si uzungu!
   
 18. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Duh watu wanahasira na uislam, kwa nn lkn? ooh sbb amumpendi jeykey muislaam? du kazi kweli kwel. ajabu unakuta dada yake au kaka yake kaoa-kaolewa na muislaam.
   
 19. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hebu waelimishe hawa wengine. Jamani salam aleykum haina mantiki ya kidini hata kidogo. Na ndiyo mana hata Mkapa alikuwa anaitumia sana.

  Hivi nikisema good morning au 'gud moni' ndiyo nimeshageuka kuwa mkristo kwa kuwa mzungu ndiye aliyeleta dini hiyo?

  Wacheni chuki zisokuwa na msingi.
   
 20. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45

  • In Arabia, the greeting is associated with shaking right hands and then possibly two or three light cheek to cheek kisses (only between the same gender).

  • In Afghanistan, the greeting is also associated with shaking right hands and is also often accompanied with a hug when meeting infrequently (only between the same gender).
  • In Iran, Salām is a simple greeting. This means Peace and Health, and is used similarly to "Hi" in English-speaking cultures.

  • In Pakistan and India, the greeting is accompanied by raising the right hand to the forehead (arz hai "regards").

  • In Indonesia, the greeting is usually accompanied with a kind of two-handed "handshake", whereby the shaker's palms remain closed, and the fingers alone open to admit the other's proffered hand- which briefly touches the proffered's fingers or fingertips alone. In this way more adherent males and females may greet though touching- but remain true to the Islamic or cultural teachings forbidding physical contact between the genders. Occasionally, the right-hand will touch the left-breast or heart area after this

  • In Turkey, many Turkish use this statement and hug each other; more secular and non-religious people say "Selam" as an equivalent to "Hello" or "Hi". This use has extended to the Internet with the abbreviated "slm" being commonly used amongst Turks on social networking websites.

  • In Javanese culture, a remnant of feudalism is retained, where an elder's proffered right hand is taken and pressed briefly against the forehead. Some may instead briefly kiss the hand or the main ring. This is very common for young children to greet older relatives (of their parents' age, though, on occasion, if very polite children, younger). As per Turkey, "slm" is commonly used by teens on SMS and the Internet.

  • In Amharic , the term "Selam" is used in place of "Tadias" which is the equivalent of "What's up". The word "Selam" has the same meaning in Amharic as in Arabic which is "peace".
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...