Taifa zima limefahamu mpaka leo nani hataki Taifa la Tanzania liende mbele. Kuna mtu mmoja jina lake ni Rostam Aziz. Kila kona ya Taifa la Tanzania tunaona mikono ya Rostam kutengeneza mikataba hewa na kuingiza biashara na makampuni toka nje huku yakijulikana kama ni "investors-wawekezaji" kumbe ni miradi ya Rostam na mafisadi wengine Tanzania. Leo hii tunampa na kumzawadia zawadi ya "Public Enemy Number One in Tanzania"
Miradi mingine ya Rostam ni kulobby na kuwakilisha makampuni ya nje Tanzania kuleta biashara wakati yeye ni mbunge na mfanyakazi wa CCM. Kitu gani au Mtanzania gani anaweza kuwa na kofia nyingi hivi kitaifa? Watanzania lini tutachunguza biashara zote za Rostam/documents zote serikalini/ndani ya CCM na tutamchukulia hatua lini? Kwanini Wanachama wa CCM hasa wa Igunda siku zote wako kimya? Siku zinakuja zake....ataripoti jela tu. Mungu Siku Zote Yupo Upande Wetu.
JM tupatieni list ya Public Enemy wa Tanzania tuwafahamu....