Psychopath Obsession . . .

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Kuna kundi la watu wanajulikana kama 'Psychopath' kutokana na hali za akili zao.

Bahati mbaya zaidi hutokea pale anapompenda mtu, hataki kuelewa kama na aliyempenda ana mpenda ama lah.

Huona ni haki yake kumpenda, na in case umemkataa huwa wanakuwa na aina fulani obsession.

Kuna aliyewahi pitia uzoefu huu? Ama una mchango wowote kuhusiana na hili, kwa aliyependwa, ama psychopath aliyependa?

Hebu tuchanganue kidogo

Swali la nyongeza: hivi hata wanaovuta bhange ni ma -psychopath wa aina fulani?

Au niulize, unajuaje mtu anayekupenda ni 'pyschopath'?
 
toa uzoefu bana

kuna kuganda, lakini ipo ile hadi mtu anatishia uhai ama usalama wako na mali zako.

ila konnie tuache masikhara kuna watu wanajua kuganda mtu bana!
mradi ye kakupenda utajibeba!
we acha tu!
 
toa uzoefu bana

kuna kuganda, lakini ipo ile hadi mtu anatishia uhai ama usalama wako na mali zako.

mi huwa siiti kuwa ni mapenzi yale!manake yanakuwa mateso ati!
mtu anakutrace kila unachofanya,kila hatua ya maisha unayopiga,kila mimba unazobeba na kila hospitali unayojifungulia
hata uhame wapi huyu hapa,ubadilishe simu huyu!
ubadili kituo cha kazi huyu
kiukweli ni ngumu na inaumiza sana!
na asikwambie mtu kuna muda inakuwa inafanyika out of love ile ndo kila shetani na mbuyu wake!lakini baadae huwa ni kulipiza kisasi tu,nimekukosa mimi na mwingine hatakufaidi!
NAZIJUA SANA HIZO!
 
pole na hongera kwa kuvuka, siwezi hata fikiria ilikuwaje.

Kitu kinachonichanganya cha kwanza ni ninajuaje huyu mtu ni pyschopath?

Nakumbuka zamani tulikuwa tuna msemo 'ogopa kupendwa na mvuta bangi'
nimekaa nikatafakari nikahisi tulimaanisha 'pyschopath ' fulani hivi.

Ukiachia mbali mtu anayevuta bangi, whether kaathirika na bangi ama lah, mie huwa nahisi ni psychopath, nje ya hapo nashindwa kuwatambua.

Kwa kweli, hatimae tulifikishana polisi, ndipo usalama wangu na wengine walionizunguka ulipopatikana.
 
Am borrowing a saying from dr kodwavalla ' there are more lunatics out of the asylum than in'

I think sometimes watu waturn kuwa mapsycho by events, kuna rafiki yangu aliachwa, we had to interverne(sp) she was always following , haunting the ex, sending craze messages, appearing at every joint they hangout
She was so determined that no one will hang out with X and live to tell it...alipata upsycho kwaajili ya kuachwa

It took 2yrs kuwa normal and after a series of bad boyfriends, wokovu kidogo and counselling she returned to normalcy(sp)
 
he he he, ngoja waje watoe mauzoefu.

Inatuhusu wote, kumbuka wengine tuna matineja home.

natamani nisiwaze hiki unachonilazimisha kuwaza hapa!ah sijui nifanyaje ujue!:confused2::confused2::confused2:
ngoja:A S 100:
nimwite BADILI TABIA na FP wanisaidie kuchangia huu uzi!tena FP una mhusu sana huu!
 
Last edited by a moderator:
pole na hongera kwa kuvuka, siwezi hata fikiria ilikuwaje.

Kitu kinachonichanganya cha kwanza ni ninajuaje huyu mtu ni pyschopath?

Nakumbuka zamani tulikuwa tuna msemo 'ogopa kupendwa na mvuta bangi'
nimekaa nikatafakari nikahisi tulimaanisha 'pyschopath ' fulani hivi.

Ukiachia mbali mtu anayevuta bangi, whether kaathirika na bangi ama lah, mie huwa nahisi ni psychopath, nje ya hapo nashindwa kuwatambua.

You wont know until you know

Kwa sababu unaweza kumuona mtu wa kawaida tu, kisha kuna kitu kika trigger huko, aka-snap akaanza kukufanyia balaa.

Labda kwa experience yangu niseme ukiona anafanya vitu ambavyo kikawaida mtu mwengine hatafanya, usiache mpaka ikavuka mpaka ndio ukachukua hatua. Wakati mwengine unaweza kuwa too late, ukaumia wewe au wengineo

* Vitu ambavyo binafsi niliona si vya kawaida
1. Kunifuata popote niendapo iwapo nitakuwa kwenye public transport
2. Hata saa ngapi nikirudi, kumkuta yupo nje ya nyumba yangu amekaa tu
3. Kuanza kugombana na watu kwa sababu aliniona nazungumza nao.
 
thanks Nsiande for sharing

kweli, wengine wanakuwa ma-psychopath kwa tukio ama event moja tu, baada ya hapo wanamove on
 
Last edited by a moderator:
... pole sana kwa mkasa huo.
... kama umezaa naye mtoto si ataendelea kuwa miongoni mwa wale "wanaokuzunguka?"

Nashukuru alikuwa ni miongoni mwa wale "Siwajui watokako" ........just a random guy

Ila kama ndo umezaa nae hapo lazima iwe kazi, kwa sababu watoto yule ni baba yao.

Ila saa nyengine tunatakiwa kuwa na roho ngumu, if he needs help, he needs help, sio kumsitiri kisha akadhuru wenziwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom