Psychology: chinese face reading (maana ya mistari ipatikanayo ktk nyuso zetu)

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
18,449
2,000
Hello people muhali gani..?

Karibuni ktk uchambuzi mchache wenye kuangazia maana nzima ya mistari ama mikunjo ipatikanayo ktk nyuso zetu.. Hii ni elimu ambayo imetoka kwa madaktari wa kichina,walifanya utafiti na kugundua hilo na kuleta maana zake!..
Awali ya yote naomba nitoe ufafanuzi juu ya hili,hii elimu isichanganywe na micro expression!.. mistari ambayo nitaenda kuitolea ufafanuzi hii ni ya maisha wala si micro expression ambazo zenyewe hutokea ndani ya sekunde kadhaa na kupotea!.
Chinese face reading ni elimu iliyoangazia maisha kiujumla,mistari hiyo hujitokeza kutokana na mazingira mtu aliyopitia hivyo ni kama jumbe fulani ambayo huachwa na mwili wako kutokana na uliyoputia. Pia inakuwa rahisi zaidi kuwasoma watu wazima zaidi kuliko watoto na vijana kwa uchache,kwa maana ya kuwa watoto na vijana bado hukua hivyo mistari hii inaweza kujionyesha lkn si kwa urahisi Kama mtu aliekuwa tayari kapitia mengi ktk maisha yake..

Ni vyema kuitambua vilivyo mistari husika ili kama utakuwa na nafasi ya kubadili kitu fulani ktk maisha yako basi na ufanye hivyo!. Bila kuwachosha naomba niingie kwenye ufafanuzi husika na nitaitumia picha hii kama kielelezo cha kuiona mistari husika.

images (3).jpeg

Nitaanzia upande wa kulia na kila mstari nitauandika na kuuelezea hapa.. let's get into this...

SKEPTICISM.
Kama ilivyoonyeshwa pichani mistari husika huelezea hulka ya watu ambao si wepesi wa kuamini kwa maneno!.. ktk maisha yao wao ni watu wenye kuangalia uhalisia zaidi kuliko maneno,bila uthibitisho wakimantiki litakuwa ni zoezi gumu Sana kumuelewesha na akakuelewa!.. Hawa ktk makundi ya watu wengi wao hutoka introvert ambapo ndani yake kunapatikana makundi mawili melancholic na phlegmatic. So ukiona mtu ana hiyo mistari jua mtu husika ktk maisha yake amekuwa na hulka hiyo.

JOY.
Kama ilivyopichani mistari hii huonyesha mtu ambae kwenye maisha yake zaidi yamejawa na furaha,kwao huzuni ipo lkn haswa kilichotawala ni furaha zaidi inaweza kuwa imesababishwa na vitu vingi lkn kikubwa he or she enjoy a lot ktk maisha yake.. yupo mmoja nnaemfahamu anahiyo mistari tena ni angali bado kijana kabisa na kwa muda niliokaanae niliweza kushuhudia ni mwanadada asiekaukwa na furaha.

SADNESS.
Ukiona mtu anamistari hii Kama ilivyo hapo pichani jua mtu husika ktk maisha yake kwa kuda mrefu ametawaliwa na huzuni!.. angalizo sadness mistari yake Huishia hapo kwenye mfupa wa jicho,ikitokea mtu huyo huzuni yake ikaendelea kumla zaidi basi mstari hushuka na kufika maeneo ya shavuni na hapo hufikia huzuni ya ndani zaidi (SORROW),na hapa mtu husika huwezi kupoteza hata baadhi ya vitu Kama asipopata ushauri na kubadilika!.. lkn kama itatokea Tena mtu husika akawa yupo ktk ombwe hilohilo kwa muda mrefu basi mstari hushuka zaidi na kufikia kwenye majonzi! (GRIEF) Angalia pichani.. mtu akifikia hatua hiyo ni mbovu mbaya zaidi maana hata kimaisha hupoteza uelekeo na mara kadhaa watu hawa hukata shida kwenye mapafu pia!.. kitaalum organs za mwili huwa represented usoni pia hako ni kasomo kengine.

LOST LOVE LINES.
Ktk makuzi yako je,umekosa kufanya kitu ulichopenda kukifanya...? Au ulikatazwa ama ulidhihakiwa ulipoonyesha kipaji chako au Jambo lako unalolipenda kufanya,nawe ukaamua kuachana na hilo Jambo na ukafanya kile ambacho ulikuwa hukipendi..? Kama jibu ni ndio basi upo ktk nafasi ya kuwa na huo matari au unao ama umeshaanza kujidhihirisha!.. lost love lines ni hali ya mtu kukosa kufanya kile kitu alichokipenda kufanya ktk maisha yake inaweza kuwa mazingira yalichagiza kukufanya usifanye kitu hicho ama Mila na desturi au wewe mwenyewe ulijibana n.k.. binafsi naona hako kamstari Kama kananiwinda flani hivi maana kapo Kama hakapo,ila kiujana hiki kinanifanya nishindwe kujisoma vyema ila ndoto yangu kubwa nilipenda kuwa hivi....
images (1).jpeg

Lkn kwa ukomamanga upi nitapita na sahivi Mambo yashajichanganya😂 ilikuwa mpk naota napaa enzi hizo!.. hivi sasa nimekuwa mpenzi mtazamaji wa hayo mambo.

Turukie katikati mwa sura na hapa naomba nianzie hapo kwenye pua..

DISEMPOWERMENT.
Kama ilivyoainishwa pichani mistari husika Hawa ni aina ya watu ambao huonyesha mawazo yao,nguvu zao au uwezo wao lkn hata wakionyesha vitu hivyo havichukuliwi uzito hivyo nao huplitend kuwa normal lkn huumia na waliyonayo maana yanakuwa Kama hayaonekani au hayathamini so nao kutokutaka kulazimisha ili kutokuleta mfarakano humezea tu.. Hawa nawaita ndo wale samaki ambao vilio vyao huishia kwenye maji... Ni vyema dizaini ya watu hawa waji express walau wauwe baadhi ya hisia maana kuwa hivi ni sawa na kutunza sumu tu!.
Tushuke chini kidogo hapo..

PURPOSE.
hii ni moja kati ya mistari mizuri kuwanayo kwa huonyesha kuwa mtu husika yupo ktk mapito sahihi!.. namaanisha mtu husika ktk maisha yake vingi avifanyavyo ni vile ambavyo vinampa furaha na kwake ndio Kama tafsiri ya lengo la yeye kuwepo duniani.. so mwili wako inakuwa unaonyesha kupitia mistari hiyo ya kuwa mapito yako yapo ktk mlolongo sahihi kwako na unapendezwa zaidi na mwenendo wa maisha yako.
Wengi sana wanayo hii na kitaalum inapendekezwa ni vyema zaidi mtu kufika miaka 40 au 50 mistari hii ishamiri kisawasawa ndo hupendeza zaidi.

Tushuke hapo mdomoni kwanza..

OVER NURTURING.
Kama ilivyoonyeshwa pichani msitari hii huonyesha watu ambao hujari zaidi wenzao lkn wao hawapati huo ujali Kama ambavyo wenyewe wanavyowajali wengine!.. ukigundua mtu anamistari hiyo ni vyema nawe kumjali kuliko kuitumia hiyo Kama siraha kwake.

DISAPPOINTMENT.
Kama ulishawahi kutana na dizaini ya watu wa hivi nafikiri unajua hata hasira zao huwaje..😂
Actually huwa ni wakali pia haswa ukikuta ktk maisha yao pia walipitia kukurukakara za kutosha.. makwazo mbalimbali maishani huwafanya kuwa disappointment (tafsiri yake ya kiswahili imenitoka kidogo).. mtu kila akipanga mipango ya kimaisha inakuja hivi mara vile wacha kabisa ukimchokoza huyu anakiwasha mbovu mbaya..😂
Mengine sitaingia deep Sana maana vinaeleweka..

BITTERNESS..
Hili linajidhihirisha bila hata kutoa ufafanuzi wakutosha... Hawa ni dizaini ya watu waliopitia na bado wanamachungu juu ya maisha ni ama wakishatendwa kitu kibaya sana ambacho kilikuwa Kama kidonda kisichopona au ni mrundikano wa mapito yenye machungu ndani yake.

FEAR.
Mistari husika inaonyesha mtu ambae ktk maisha yake yametawaliwa uwoga ama hofu.. na Mara nyingi watu wa hivi wanakuwaga hawana uhakika hata na kile wakitendacho.

Naomba tuhamie eneo la katika na nyusi.. eneo hili huonyesha sanasana hasira lkn hasira hizo huwa zimegawanyika kutokana na sababu mbalimbali n.k

IMPATIENCE.
Hii imeonyeshwa pichani hapo eneo la katikati na nyusi hiyo mistari miwili,Hawa ni watu ambao wao huona vitu haviendi haraka! Huyu hata ukiwa unaongea nae hataki maelezo mengi ye anachotaka uende kwenye main point!.. hawataki rukaruka ukisubaa wanakurusha sasa..😂
Wanataka vitu viende haraka na straight line hawana subira. Ukitaka malalamiko au mfarakano akuagize huyu ulete slow motion jua matusi na kukaripiwa ni njenje..😂

Bado tupo eneo hilohilo la katikati ukikuta mtu anamistari mitati ktk hilohilo eneo jua hawa ni dizaini ya watu ambao wanahasira ndio lkn wanajitahidi kudhibiti hasira zao,so ni watu wanaojimudu kuzuia hasira zao na dizaini hii ya watu inasadikika kuwa hata maini yao huwa na afya njema ndio maana pia huwa na uwezo wa kuzuia hasira zao.

Wengine huwa na mstari mmoja tu na hawa ndo wenye mijihasira kwelikweli maana hawafichi na hujionyesha wakikasirika.. kumbuka hi mistari ni life time.
So dizaini ya watu hawa huonyesha hasira zao lkn wanapokutana na hold back ya nguvu hukata tamaa na hali ikizidi haswa wanapoonyesha hasira zao lkn wanakutana na kisingiti muda mwengine hukata hata ya kusonga mbele kimaisha n.k
Tuje kwenye upande wa kushoto juu..

TRANSFORMATION.
mstari husika umebeba maana kubwa Sana ktk mapito ya mtu utakaomuona na huu mstari..
Maana nzima ya huu mstari ni mtu husika kwa kipindi fulani alipitia wakati mgumu Sana Tena Sana lkn ktk mapito hayo magumu hakutoka hivihivi!.. Bali alijifunza kitu muhimu zaidi ambacho kilimletea matanikio kutokana na wakati alioupitia.. najua sote tunapitia hizo nyakati au vitu fulani vigumu lkn hii huchukua kitambo na huwa si kitu chepesi kukisahau!.. so utakapooana huu mstari jua ni dhahiri mtu husika yalimkuta ya kumkuta na alijifunza au alitoka na kitu amaizing ndani yake..

Nitarudi kumalizia sehemu chache zilizobaki.
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,191

View attachment 1601234

View attachment 1601302

Wewe ni mpiga ramli wa kichina.🤣
 
adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
6,223
2,000
mada murua sana hii.but KENZY kesho nitarudi na arguments sasahiv acha nipumzika...
 
King Sae

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
1,741
2,000
Sasa mkuu adi hyo mistari ionekane si level za kuzeeka uko....vjana wengi wamebeba hzo emotions but nyuso zao zpo soft soft no mikonjo...

Na wengine videvu vmeshiba ndevu....
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
18,449
2,000
Sasa mkuu adi hyo mistari ionekane si level za kuzeeka uko....vjana wengi wamebeba hzo emotions but nyuso zao zpo soft soft no mikonjo...

Na wengine videvu vmeshiba ndevu....
Mkuu si nimeandika huko juu kwa vijana si sana na unaweza ukachanganya sanasana inaanza kujionyesha mtu akianza ka age fulani hivi kakubwa kakubwa.. ujanani inaweza ikajionyesha lkn si kihivyo na inaweza isiwe kiumaridadi kihivyo..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom