Nahisi nahitaji counseling kutoka kwa professional psychologist. Nahisi nina mapungufu fulani katika ukuaji wangu. Nimelelewa na my grand parents who are both dead lakini walinipa mapenzi ya kama wazazi. Hwa wazee nilikaa nao toka nimezaliwa na waliweza kunihadithidhia kisa cha wazazi wangu kutokaa na mimi. Baba yangu alikua na familia yake na so was my mother. Nilipofika umri fulani nilikutanishwa na mzazi wangu mmoja nakuishi nae na hiyo familia nyingine. Kwakweli sikua na ubaya niliofanyiwa ila nilikua na tabia ya kujihisi na hii tabia nimekua nayo mpaka leo. Siwezi kuomba kitu chochote hata kama ninashida gani, kila wakati nafikiria kua hao dada zangu na kaka zangu wa kambo ndio wanahitaji zaidi na sio mimi. Hii kitu imenifanya ninakua so insecure hata kazini naona sina confidence, naomba msaada.