Paskal:-Wanabodi
Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya matukio, lakini hatuna uchambuzi wa matukio na hatuna wachambuzi.
Kwa vile mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari, mara moja moja nipatapo nafasi nitakuwa nawaletea news analysis ya baadhi ya matukio muhimu kwa taifa letu.
Uchambuzi wa leo, nitawachambulia kuhusu mfululizo wa matukio ya rais Magufuli kuombwa msamaha na baadhi ya wanasiasa baada ya voice notes zao ku leak kwenye media.
Waomba ambao tayari wameomba msamaha ni January Makamba, huyu ameomba msamaha for strategic reasons, sio kwa sababu amekosa. Ngeleja kaomba msamaha kwa kujikomba tuu, Nape kaomba msamaha kwa uoga wa kitakacho mkuta. Bado kuna watu watatu wengine ambao voice notes zao zili leak na hawajaomba msamaha, hawa ni Makamba Senior, Benard Membe na Abraham Kinana. Kuna swali watu wanajiuliza who is next kwenda kwa rais Magufuli kuomba msamaha. The next Makamba Snr, huyu ataomba msamaha kwa sababu rais Magufuli kasema ametukanwa, Membe will never kneel down kwa Magufuli kuomba msamaha for Pride, Kiburi na Jeuri, na Kinana pia, will never beg for mercy for Integrity reasons, aombe msamaha kwa kosa gani?.
Nauweka uchambuzi in points format ili iwe rahisi kuulizia any specific point.
Kwa utangulizi, kwa vile humu mitandaoni, kila siku kuna watu ni wageni, naomba nianze na utambulisho wa psychoanalysis ni nini.
Karibu uandamane nami.
1. Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu human behaviors, hii inaweza kuwasaidia kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud
Kujua zaidi Psychoanalysis tembeleeni
Paskali.Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Wanabodi, Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo yanavyohusianishwa na tabia zilizojificha kwenye subconscious mind na kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted...www.jamiiforums.com
Kila mtu atabatizwa law moto hakuna kubeba fuko la baba au mtoto. Hata mbinguni kila mtu ataondoka kivyake.Makamba Snr.nae akatambae.CCM oyeeeKama Makamba jr kasamehewa basi msamaha huo unamhusu baba yake pia.
Hii tabia ya kuropoka ropoka January amerithi!
Nafikiri ni watu wawili hao sio moja. Kule mbinguni vitabu vitakatifu vinasema kila mtu atabeba mzigo wake.Kama Makamba jr kasamehewa basi msamaha huo unamhusu baba yake pia.
Hii tabia ya kuropoka ropoka January amerithi!
Umenipasua kichwa...ni mara ya pili kusikiaAhsante mkuu, ila hili la kwamba ulimchomea Erick Kabendera lina kuweka kwenye kingdom hadi species moja na mashetani wasiojulikana!
That means nawe ni usiyejulikana unayejulikana na unaanza unafiki wako........ Kabendera is deadly sick kwa sasa, how do you benefit?
Nitakufuata PM...Unaweza kutithi kitu toka kwa Baba yako wa kufikia eti ??
Mwenyezi Mungu amsaidie apone.Ahsante mkuu, ila hili la kwamba ulimchomea Erick Kabendera lina kuweka kwenye kingdom hadi species moja na mashetani wasiojulikana!
That means nawe ni usiyejulikana unayejulikana na unaanza unafiki wako........ Kabendera is deadly sick kwa sasa, how do you benefit?