Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,123
Aina gani ya fantasy unayotumia kufikiri!?..Superpowers sio za kupublicize au kushow off, huwezi mwamini mtu au jua wanataka wakutumieje, maybe wanakutega, as many people don't officially believe in it ndo maana inakuwa ni undercover, na ndo maana people with powers wanajidistance away from people au hawainteract sana na watu.