Psychedelic Drugs & Consciousness

How was it bro? Cause it was no rough road till I quit.

It was an accident i overused edibles, resulted into strong hallucinations, nightmares...etc

Was my artistic side iliyoniponza nltaka kujua zaid ili niandike story iliyokuwa vivid & perfect , i guess i was wrong
 
Edibles are not advised for obvious reasons, because you can eat more than what your body need or can digest, thats why it is advised for the users to take edibles only if they already have high tolerance.
Edibles can get you higher than normal weed because, they are more gradual (its process require digestion, and our digestive system ipo slow kwa hiyo it takes time) than joints. Na joints gets you high fast because unaposmoke moshi unaenda moja kwa moja kwenye mapafu, na mapafu yanapopokea yanasafirisha damu yenye THC, kwa hiyo unakuwa unajua kwa haraka kwamba umefikia limit. Lakini edibles mpaka zipitie process ya digestion ni muda mrefu kwa hiyo una get high polepole na kama umekula zaidi ya kiasi cha kawaida, unasizi zaidi na baadhi ya effects kama hallucinations, spaced out thoughts, ama kuwa detached from reality vinakukumba once the high kicks in.
Ukitaka kufurahia weed, smoke joints, vuta kidogo tu (half a joint gets you going).
Mimi nilikuwa heavy smoker, na nilikuwa nasmoke hata six times a day lakini nashukuru sikuwahi kukumbwa na hayo yaliyokukumba.
 
Ni kweli artists wanafaidika zaidi na weed kuliko kundi lolote lile, kwa sababu inawafanya wawe creative zaidi, na unapata mawazo mapya unapokuwa high.
 
Edibles are not advised for obvious reasons, because you can eat more than what your body need or can digest, thats why it is advised for the users to take edibles only if they already have high tolerance.
Edibles can get you higher than normal weed because, they are more gradual (its process require digestion, and our digestive system ipo slow kwa hiyo it takes time) than joints. Na joints gets you high fast because unaposmoke moshi unaenda moja kwa moja kwenye mapafu, na mapafu yanapopokea yanasafirisha damu yenye THC, kwa hiyo unakuwa unajua kwa haraka kwamba umefikia limit. Lakini edibles mpaka zipitie process ya digestion ni muda mrefu kwa hiyo una get high polepole na kama umekula zaidi ya kiasi cha kawaida, unasizi zaidi na baadhi ya effects kama hallucinations, spaced out thoughts, ama kuwa detached from reality vinakukumba once the high kicks in.
Ukitaka kufurahia weed, smoke joints, vuta kidogo tu (half a joint gets you going).
Mimi nilikuwa heavy smoker, na nilikuwa nasmoke hata six times a day lakini nashukuru sikuwahi kukumbwa na hayo yaliyokukumba.

lakin nimejifunza vitu kutokana na ile experience nkapata story to tell na vitu vya kuandika, states wanavyokufa kwa drug overdose nlkuwa nashangaa ila sasa hivi naona inawezekana tu, maana that shit can kill you anytime brother
 
Andaa uzi brother, itakuwa jambo la msingi, uwafungue macho na wengine zaidi.
 
Mwaka jana March nilikunywa Datura, nilipata psychedelic effects ndani ya nusu saa. Though people claim about its toxicity I didnt get pretty much of any poisonous or serious effects (such as delirium or urine retention and death) as it has been insinuated in most online articles.

Used weed for more than six years, though its not psychedelic itself, but it made me reflect on more on myself and self worth as am an artist. I decided to quit last year as I found being clear headed more of a productive and profound feeling, and back when I was puffin, I stopped dreaming, and weed was becoming more of an insidious type of drug.
On the first days of quitting, I had lucid and wildest dreams, night sweats, imbalanced emotions were the signs of withdrawal of the drug from my body.

Ilikuwa bongo??
 
kaka hizo drugs zina stimulate grandiose, ambayo actually ni mental illness. brain cells zikiwa hyperactivated na increased imbalance of neural chemicals... hapo utakuwa umetengeneza ukichaa wa msimu, kubali hizo drugs hazina faida sana za kuleta mabadiliko chanya kwa maisha yetu ya duniani, lakini ni dhahiri huleta matokeo kwa binadamu ambaye hana hulka na tabia za kiubinadamu.binadamu wa namna hii hana maamuzi sahihi ya kuifanya dunia iwe salama sababu ya mihemuko iliyoharibiwa

kuna mfano, Amphetamines ni drugs zilizogundulika zikitumiwa na waasi wa IS, Kuwapa ujasiri wa kufanya matendo ya kikatili..... hivyo unakuta sio wanadamu wa kawaida, wameharibiwa akili, na psychology, mission ngumu za kijeshi zenye dalili nyingi za kushindwa, wanajeshi wake hupewa hizi drugs kama sehemu ya mafunzo, ili kumtoa akili zenye ufahamu, na kuweza kufata amri tu,

kaka usipromote hizi drugs... tutapata binadamu wenye kizazi cha ukichaa, hivyo badala ya kuishi maisha ya furaha hii kidogo tuliyo nayo, basi tutavurugana sana, na twaweza tesana sisi kwa sisi binadamu..... # am a doctor too!
Nimefuatilia uzi wote.... Wazo lako limekuwa mjaarabu kuwahi kutolewa kwenye uzi huu. Mleta uzi anajaribu kupigia debe matumizi ya hizi psychedelic drugs bili kufikiria tenderness itakayotengenezwa. Ikumbukwe tu kuwa "human desires are endless". Hivyo ieleweke kuwa mental excitement results into drug tenderness
 
Ninaamini hujaelewa kinachozungumziwa.
 
Huu uzi mbona umetelekezwa sisi wadau wa bangi tunataka kusikia mengi bangi ni tamu sana ila vuta kwa kiasi mimi nahitaji tu kujua namna ya kufanya unapovuta bangi ule moshi usitoe harufu ya bangi, nilisikia kuna namna ya kufanya yani unaweza hata ukaivutia stendi mbeele za watu na wasisikie harufu ya bangi zaidi ya kuona moshi tu. JE HII NI KWELI? NA KAMA NI KWELI NAOMBA WATAALAM MTUPE MAUJANJA HAYO
 
Kuna majani flani unachanganya kidogo kwenye bangi yanaitwa kapange yanapoteza arufu yote ya weed,
 
Kwa haya mazungumzo yote iboga au ibogaine haujatajwa na ni mmea wa kiafrika.

Natumaini wataalamu hapa watuelimishe jinsi tofauti tofauti ya kutumia huu mmea kwa usalaama
 
Tafuta majani ya rosemary kama upo Dodoma yanapatikana Majengo Sokoni.
hayo majani ya rosemary rangi yake ikoje na pia unachanganya kiasi gani na weed ili kukata harufu? Kuna mdau pia alisema kwenye ganja ukishanyonga unapaka asali harufu haisikiki, nilitest ya asali sikuona utofauti labda kwa mtu mwingine ndo hasikii ila wakati navuta moshi unanukia weed kama kawaida.
 
Back
Top Bottom