Psychedelic Drugs & Consciousness

kama kweli unataka kutumia hivi vitu bila ya wataalamu (shaman), ni bora ufanye microdosing. Yaani unatumia dozi ndogo sana ( 10% ya ile dozi ya kukufanya utembee) ambayo haikutembezi ila bado inakuwa inatengeneza ile plasticity kwenye ubongo wako taratibu. Watu wengi sana kama ma CEO kule silicon valley wanafanya microdosing kwaajili ya creativity.
Unakutana nao wapi? Stop lying and i think you are already under influence of those drugs. Ndo maana unawaona hao CEOs huko Silicon Valley ilhali upo tu somewhere umevuta umekaa. Yaani hapo unawaona marais mnavuta nao. Unamwona Telsa, unamwona Bill Gates n.k 😁
 
I Agree. Wakati nipo TZ, kuna rafiki yangu alikuwa addicted na Cocaine , yeye alikuwa akisoma medicine pale MUHAS.

By the time nimerudi TZ, naambiwa bana jamaa kawa Teja. Nilistuka sana.

Nikamfuatilia nikaambiwa yupo methadone center fulani hapo Dar.

Nilikuwa najua watu wote wa Methadone.

Asubuhi yake nikamkuta kweli, kumuona akastuka, akataka kunikwepa. Nilimwambia nimekuja kwa ajili yako.

Baada ya kumeza ile solution yake , nikaondoka nae .

Nilimfanyia Consultation ya maana. Nikamwambia nataka uache kwenda methadone for a week, you have to trust me.

Yeye akawa anaogopa kuacha maana uki miss siku tu jamaa wanaweza kukutema kabisa. Ni lazima kila siku uende na usaini kuwa umekunywa methadone.

Akanielewa, nilikuwa na Ayahuasca yenye DMT na MAOI from overseas na kwakua I came for Special task maramoja.

Nikamuanzishia the smallest dose kwa interval ya siku tatu tatu. Ndani ya wiki mbili nikapunguza dose ya chini kabisa then nikastop.

Nikamwambia vipi,do you still need methadone ? Baada ya wiki nikahakisha Ayahuasca imetoka kabisa ndani ya mwili wake, nikamwambia nenda Center waambie hutaki tena Methadone Sababu wewe sio teja teja and you are fine now .

Alipoenda wakampima pima. Wakamuuliza mda gani hujatumia methadone akasema wiki tatu, wakamwabia ili uache unatakiwa kuja kila siku hapa kwa Muda wa siku 14. Bila ya kutumia chochote ili tufanye observation.

Jamaa akaanza hiyo safari. Na alibadilika, akawa anafanya mazoezi asubuh na jioni.akawa anachomekea looked very smart.

Jamaa wakaprove huyu kapona without knowing how could that be so quickly.

Wakamuomba afanye kazi pale ya kushauri wengine na awe kama mfano.

Nikamwambia NO, rudi shule kasome.

Akabadili na Course. Akasoma Accountant pale Uhasibu maana MUHAS walishamtimua.

now anafanya kazi moja ya Bank kubwa TZ kama Afisa, na alinisaidia sana Kwenye biashara zangu wakati nilipokuwa nahitaji huduma ya kibenk.

amekuwa ni Mtu wa Mungu full maushauri kwa watu na anaonekana he is very bright.

This is true story I am telling kwa hakika.
Always nashauri Culture Conditions ime create condition kubwa snaa kwa uwezo wa maisha yetu. Imemaliza uwezo wa kufikiri na kutuaminisha kuwa mazuri ni kwa wenzetu tu . Na kama huna great endeavors hatuwezi kutoka katika hiyo enslavement ya tamaduni zetu. Funguo ya break our limitations created by culture conditions tunazo, ni namna ya kutumia funguo ndio inahitajika.

Wengi wanakufa na inner secrets zao bila ya kuzi reveal. That is the worst part . Yaani watu wapo duniani kama
Mizoga waiting for their deaths.

Unaamka asubuhi, una enda haja kubwa na ndogo, you take shower, unaingia kwa IST yako , you go to work . Unakunywa chai , unamaliza kazi , una rudi home. Unalala. Asubuhi unaanza cycle ile ile.

Jmosi utaenda church au msikitini. That is our cycle till death.
 
Wewe muongo na nadhani unaandika ukiwa umevuta bhangi. Kuwa asilimia 90 ya wanasiasa wanavuta bhangi weka uthibitisho.

Lakini pia inawezekana ikawa ni kweli kwa aina ya wanasiasa tulio nao hawajielewi ,waongo waongo, wanafiki basi hapo nakubaliana nawe bhangi si au madawa ya kulevya si mazuri. Hivyo ikiidhihirika ni kweli wapigwe marufuku kutumia kabisa.

Stupid as Stupid does, Sir !
 
Mkuu ubarikiwe sana. Nilitamani nipate watu wengi kidogo kama nyie mjaze nyama za kutosha hapa. I really appreciate the remarkable contribution. Umetoa mda wako kwa ajili ya wengine. Hapo uliposema hii Ayahuasca inapatikana kwenye pharmaceuticals. Bila shaka unamaanisha za wenzetu uko na sio bongo, maana umetanguliza kusema bongo sio rahisi.
Kuhusu teachings of eastern culture hasa Buddha, mimi nasemaga it's a matter of time, as physics or science keeps advancing, one day itaweza show why eastern teachings make sense. Mfano, hii ishu ya We are all one or we're connected, imekua explained na phenomena inaitwa quantum entanglement though hii phenomena ilileta confusion sana maana hata kichwa Albert Einstein alikua anakataa hii concept. Kuna siku mwamba Albert alikua anabisha kuhusu probabilistic nature of Quantum theory, akasema "God doesn't play dice". Haikuchukua mda, bwana Bohr akamjibu "Einstein, Stop telling God how to run the world".
Anyway, ningependa nikazie hapa kama ulivoshauri, tujitahidi tufike kwenye our higher versions of ourselves before hatujakufa kifo kile watu wanatoa machozi ya kutosha.
Mkuu asante kwa ilimu dunia,wakija walokole watasema haya ni mafundisho ya kishaitwani,hawataki kujifunza maarifa zaidi nje ya walichokalilishwa.

Nje ya maada uko busega sehemu gani
 
Hii ni kweli , changamoto kubwa mimi naona watu wafundishwe kwanza.
-
Kwa sababu hakuna kitu hakina madhara.
-
Hata maji uki Over dose kwa Mfano ukanywa 6 L per day wakati wewe body mass yako inataka unywe 1.5L per day, utaenda ku create fluid retention in your body , Na utasababisha pressure kupanda, over time utaanza ku damage your vital organs such as kidney, brain vessels leading to stroke etc etc.
-
Vivo Hivyo kwa hizi mind altering drugs. They have serious side effect ukiwa una Over dose na kutumia mara kwa mara . Yaani vina ku dissociate na reality ya dunia, na sometimes unapoteza feelings za maisha kabisa. Yaani unaona kupata au kukosa is just a game. Let it be .
-
Substance kama hiyo LSD, DMT kwanza zinapatikana naturally kwenye mimea lakini pia drug dealers wanazitumia kutengeneza illicit substance in form of powder and tablets wakati huo huo wanachanganya na chemicals nyingine and makes it more addictive and dangerous.
-
DMT, LSD , Pscilocibin Mushroom zote zimekwa na WHO kwenye Schedule I Controlled Drug ikiwa na maana ya kuwa haifai kwa matumizi ya Dawa wala kwa matumizi yoyote na ukishikwa nayo you should go to Jail . Lakini jiulize Mbona mmea wake bado unaendelea kulimwa .

Shida kubwa pia kwa mfano, leo unamuuliza mtu anaetumia bangi, kwanini unavuta bangi ? Hatoweza kukupa Jibu sahihi.
-
Wengi huvuta kwa makundi, kuiga bila ya kujifunza na kufanya research matokeo yake wanaenda kuharibu akili zao na kuwa wahuni.
-
Na bangi wanazotumia sio zile kutoka shamba , ni zile ambazo wameshachanganya na cocaine ili Kesho uje tena .... baadae mtu anakuwa teja.
-
Know why do you have to smoke ; what do you want from smoking: ? Je unahitaji Creativity or writings or transcendence etc etc yaani lazima uwe na sababu ya kuvuta au kutumia psychedelic substances. Kama Huna sababu then stop it .

Methadone is one of psychedelic, mind altering substance, Na ndiyo hutumika kwenye ku withdraw wale watu waliokuwa addicted na cocaine. methadone Center ipo hapo MNH, Amana , Temeke , Mwananyamala kwa Hospital za Dar Tu.
-
Suali la Msingi unawezaje kuitumia methadone ukaacha DMT, LSD au Pscilocybin Mushroom . Hizi ndio the natural substance ambazo zinamfanya mtu aache kabisa kuwa addicted na kuacha kutumia cocaine na Heroin.
-
Ni substance ambazo zikitumiwa at recommended dose under guidance, makes your life more meaningful, spiritual, brave and creative.

It is all about awaken the consciousness, self realization, the one we are.
-
I personally have used all those psychedelic substances. If you are lucky to get the natural plant from your own garden, then you are done.

LSD tablets, I don’t recommend t’ buying View attachment 1707053
these laboratories made.

View attachment 1707053
DMT powder, it is also laboratory made, I don’t recommend. You have to get the natural plants kama unavoipata Cannabis.

View attachment 1707054

Magic Mushroom, Pscilocybin Mushroom. The tree of Life. The tree of Good and Evil .

View attachment 1707055

LSD plant containing. You need to have this in your secret garden. You may use once per year or 3 years. If you use like that, you will see the benefits of being born on earth.

View attachment 1707056
The DMT plant containing, the tree of life and death, the Vial of pendant eternity.

View attachment 1707057

The Powder , don’t buy this, find the natural plant.

I have a lot of photos and my experience to DMT and LSD , kutokana na uhalisia wa kazi yangu. I am not allowed to share anything from Social platforms . View attachment 1707054
Huu mmea unaitwaje mkuu
JamiiForums628094911.jpg
 
Moja ya
Comment BORA yenye KUTISHA kabisa
Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
 
Daaah umeandika sana, ahsante. Naunga mkono tena na tena hata mim huwa najiuliza kuna baadhi ya vitu huandikwa tu kama simpo lakin ukitakuvijaribu aisee unaona huwez na hata hujui uanzie wapi. Mfano vitu kama somo la Aura, kutoka nje ya mwili na zile meditation za kukaa muda hata siku nzima ukiwa busy na akili yako, ila sasa kwa masomo kama haya mazan kuna siri nyuma ya ambayo ni lazima uijue kwanza ndipo haya mambo mengine yaendelee. Ahsante
 
Mkuu asante kwa ilimu dunia,wakija walokole watasema haya ni mafundisho ya kishaitwani,hawataki kujifunza maarifa zaidi nje ya walichokalilishwa.

Nje ya maada uko busega sehemu gani

Ha ha Mafundisho ya kishetani ni kwa sababu wengi wetu tayari akili zetu zilishafungwa kwenye sandwich.

Ni hatari kuwa karibu na mtu ambaye ana set limitations kwenye hii dunia
 
Nifanye nini kuondoa harufu ya bangi mdomoni baada ya kuvuta? Achana na big G Mk54

Nadhani mkuu kuna haja pia ya kuanza kujadili namna ya kuvuta bangi.

Shida ya Bangi ni moja. Inaacha Alama. Kwenye macho, mdomo na mikononi for those who smoke for RECREATIONAL. Kwa wale wanaovuta Bangi for other purpose nje ya recreational huwa hawapati hizi effects .

We will talk on how to properly smoke bila ya kuacha any strains .
 
1. Binafsi sio mtumiaji wa hii mimea sana. Ninatumia pale tu my mind wants to do something critical.

Nawashauri vijana wenzangu kutumia hii mimea for good purpose . Mimea hii ni Baraka kutoka kwa Mungu, asikudanganye yoyote mtu.

They are divine plants. Imagine kungekuwa hakuna Opium ? Watu wa Kansa terminal Ill wangeishi vipi, Operation nyingi zingefanyika vipi , imagine that ?

Kuna mtu alishawahi kufunga Safari Na kutembelea Ocean Road , please do that utanielewa ninaposema these plants are divine.

Changamoto ipo kwenye akili ya Binadamu.

Only you need right knowledge and descipline to consume these plants
IMG_4996.jpg

I am a chemist and Biologist , everything I write here is in my professional. We are not here kushawishi watu kutumia mimea, we always give precautions that we should not jump into these plants bila ya kuwa na specific knowledge; they have serious effect kwenye human personalities.

However, we will be moving slowly but sure as I have other responsibilities outside of Social Media .

I am impressed to see wabongo wenzangu are also aware about these mind altering drugs. Right know we need to expose the right knowledge.
 
Back
Top Bottom