The Ellipse
Member
- Sep 8, 2018
- 33
- 22
My molecular Brain is Saluting you.Mirungi..... Khat Principal Active ni Cathinone. Ni Stimulant.
Nimeshawahi kutumia zamani. Haina Tofauti na Amphetamine isipokuwa Cathinone is less powerful kuliko Amphetamine.
Hutumika sana na wanajeshi au wajenzi , football players etc etc.
As a stimulant, inakufanya kuwa active muda mrefu , unapoteza usingizi, njaa inakata. Ukitumia katika lowest dose, ni Sex Drive Machinery
Zamani hii kitu hapo TZ ilikuwa inajiotea kama magugu mpaka ilipokuwa controlled.Wale wenzagu wa Kilimanjaro tunasomana sana hapa. Ila hii ngoma ukiweka kwenye gunia na kutia kwa gari, polisi wananusa smells yake mita 500 lol , watakudaka tu.
/
Matumizi ya Khat kwa Muda mrefu Sio mazuri , unaweza kupata magonjwa ya moyo maana Cathinone inaenda ku stimulate CNS , ina speed up heartbeat, inaongeza blood pressure; over time , unafanya mifumo yako ya mwili pamoja na moyo kufanya kazi nje ya Utaratibu wake. Inakuwa ni HATARI
Madhara mengine ni pamoja Na panic attack ,unaweza kupata pia infecton nyingi za mdomo , ikiwezekana hata Cancer according to some literature Reviews zilizofanyika.
Khat nilitumia mara 2 kwenye maisha yangu yote. Nilitumia kikazi zaidi mara ya kwanza. That day I became Very much talkative, uzuri nikiwa High Huwa najifungia room kwangu sihitaji mtu ili niweze ku observe characters ethics and changes while taking note .
So I was very much talkative but nilikuwa najiongelea mwenyewe ndani all alone. nikawa restless, sikupata ile Calmness kama ya Canabis au DMT.
khat mara chache chache sana if you are well desciplined ni nzuri kwa watu wenye kazi ngumu , sio sisi washika pen.
Also, The only thing ninayoona nilipata kwenye Khat ni wakati wa Sex meditation.... It lasted longer than I expected, it gave me something like multi orgasms
-
Pia, over dose Na abuse ya Khat inasababisha low sperms count hvyo the risk of infertility is alarming kwa wale wasiokuwa Na nidham juu ya hizi secret plants.
Khat is good kwa wenye Mental Strength na Descipline.
Uzuri wake ni kama unahitaji kufanya kazi Muda mrefu hasa kwa watu wa Security zaidi na Army. The only isssue is to Monitor Frequency and Concentration intake.
You are not encouraged or advised to try the referred plant kwa kusoma hii post tu.
These secret plants have serious issue with human personalities. No one is doing for RECREATIONAL.
Tunaongea haya just to raise awareness.
Ninaongea kama Technical Personnel( Ki professional) .
Mficha UCHI HAZAI, so lazima tuongee wazi ili ukifanya unafanya for your own risk huku ukijua unafanya nini . Nimetumia almost all of these plants ikiwamo na Utomvu wa Opium . Except Heroin, Cocaine ......
excuse my writings , roughly
Asante kwa knowledge mkuu