Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,997
- 3,933
ww pharmacist, utapoteza vijana asee, dar walianza kutumia ngada muda mrefu..... Lakin hawanaga cha maana..... ww kama unaweza tengeneza hata ARV, hapa nchini kwetu zinahitajika sana
Hapana mimi sio Mfamasia.
Naomba review mada. Umesema wameanza kutumia ngada muda mrefu, je wanatumia chini ya uangalizi wa nani, na je ni nani kawapa Authority ya kutumia kila siku , na kwanini watumie kila siku ? na kwanini wanatumia Bangi ?
Naomba uje na majibu ya maswali so that we can have the best discussion.
Naomba usome mada vyema. Kama unafanya kitu bila ya guidance then you are lost.
Naomba jibu kwanini hao vijana wanavuta bangi? Have you ever reserched that. Au vijana wa Arusha kule, fanya research mjomba, ask them hivi kwanini unavuta Bangi, then Andika majibu watakayokupa. Kisha njoo hapa tujadili.