humphrey busega
Member
- Aug 13, 2015
- 33
- 104
Habari zenu wakuu,
Natanguliza salamu za pole kwa wale waliofiwa na wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tuwasikilize watalaam wa afya na tuwakinge tuwapendao.
Mtanisamehe kwa kuchanganya lugha zote mbili katika hii thread lakini naomba kwa wale watakao kua interested with the thread watoe kile wanakifahamu maana I still have a room for new knowledge.
Ningependa nianze na one of my lovely quote from the evolutionary biologist, Julian Huxley " We are the means of the Universe to become conscious of itself." Ukiangalia vizuri kwenye hii quote, unaona kuna kitu special human beings tumepewa compared to the rest of the known species na kuna kitu kingine pia kinachoitwa consciousness. Kitu special tulichopewa binadamu ni IMAGINATION. Kila specie iko na intelligence lakini for us, we have an extra thing called Imagination which is a root of all creations.
Nimekuwa ni shabiki mkubwa wa William Blake hasa katika zile poem ziko na mstari kama "To see a World in a Grain of Sand and a Heaven in a Wild Flower, Hold Infinity in the palm of your hand and Eternity in an hour" . Huu mstari umetoka kwenye poem ya the great Blake inaitwa (Auguries of Innocence, 1863). Lakini pia kuna mstari kama "If the doors of perception were cleansed every thing would appear to man as it is, Infinite. For man has closed himself up, till he sees all things thro' narrow chinks of his cavern”. Huu mstari umetoka kwenye kitabu chake Blake kinaitwa (The Marriage of Heaven and Hell, 1793), na ndio huu mstari ulimu-influence Aldous Huxley kuandika kitabu kinaitwa (The Doors of Perception, 1954) ambapo jamaa alijaribu kuelezea psychedelic experience baada ya kutumia psychedelic drug inayoitwa Mescaline (peyote and San Pedro cactus). Pyschedelic Experience (mimi napenda kuita spiritual experience) alioipata Aldous Huxley ni ile alioisema Blake, seeing a world in a grain of sand and a heaven in a wild flower. The pychedelic drug cleansed the doors of perception of Huxley and everything appeared to him as infinite.
Graham Hancok kwenye TED talk yake ya The War on Consciouness ambayo by the way imekua banned for some weird reasons, anajaribu kuelezea namna ambavyo researches kwenye pyschedelic drugs na drugs zenyewe zinavopigwa vita sana wakati experiments nyingi zimeonesha hizi drugs hazina side effects zozote mwilini lakini wakati huo huo drugs kama alcoholic drinks, energy drinks na cigarettes ambazo ziko na side effects katika miili yetu, hazipigwi vita na hakuna sheria ngumu zinazobana matumizi yake . Kwenye hio talk, anatuongezea another Psychedelic drug inaitwa Ayahuasca ambayo iko na uwezo wa ku-alter hii normal awareness tulionayo na kutupeleka kwenye other realm/dimension/plane of consciousness.
Hapa chini nitaandika literature review, nikisahau kum-cite mtu msinifokee sana.
What's consciousness by the way? Ukisoma kitabu cha Divine Matrix (2007) by Gregg Braden, au ukifatilia vizuri mafundisho ya Buddha na Jesus Christ (hasa kwenye Gospel of Thomas), utaona kuna kitu kinakaziwa sana. We're one. We are the intelligent energy (pure love). We are lot more than our bodies. Don't u agree with this? then let's go to Quantum Physics. According to Quantum Phyiscs, what looks like the solid world to us is really not so solid at all. Why? Our world is made up of atoms, and those atoms are made up of sub-atomic particles, only the particles aren’t particles at all. They are fluctuations of energy (vibrations). To to be one with pure love, one must transcend to our his or her higher self. To transcend, one must first die. That's if you die before you die, you wont die when you die. Wengi tunasema we are not human beings having spiritual experience but the spiritual beings having human experience, lakini hatujui what doesn't it mean and what's the big deal with it.
According to Russell Targ in his book Limitless Mind (2004), anasema "In a meditative state of mind, we can become aware that we are not a body, but rather limitless, non-local awareness animating or residing as a body. Resting in the spacious flow of loving awareness - which some call God - we discover that we already have, right now within us, everything we could possibly be looking for". That's Our minds are star-gates, our bodies celled of mysteries. Hata ukisoma Luke 17:20-21, utaona Jesus Christ anakazia kwamba heaven is within.
So far nilivofatilia (hapa nitaomba wajuzi waongeze nyama), kuna three ways za kuwa katika higher version (heaven) of you, viz; Using Psychedelics Drugs, Practising Meditation and Yoga. Nimewai meditate kidogo na niliona namna ambavyo unavokua different from ukiwa katika hali ya kawaida. Maada ya leo ningependa ijikite hapa kwenye matumizi ya Pyschedelics drugs katika ku-alter consciousness, na upatikanaji wake hapa kwetu Tanzania na sheria zetu zinasemaje.
Binafsi ni mfatiliaji mkubwa wa Quantum Theory and Mystics. Lakini pia ni mdau mkubwa wa kazi za William Blake, Joseph Campbell, Gregg Braden, Graham Hancok, Allan Watts, Rusell Targ, Terrence Mckenna, Dan Brown, Nikola Tesla, Carl Sagan and other few mystical people ever lived on our planet earth. Naomba wenye kupenda discussion kama hizi tuchekeane PM au tutaftane mimi naishi Dar es salaam.
Ningependa niwaache na quote moja ya Albert Einstein,
"The most beautiful thing we can experience is the mysterious. It is the source of all true art and science. He to whom the emotion is a stranger, who can no longer pause to wonder and stand wrapped in awe, is as good as dead; his eyes are closed. The insight into the mystery of life, coupled though it be with fear, has also given rise to religion. To know what is impenetrable to us really exists, manifesting itself as the highest wisdom and the most radiant beauty, which our dull faculties can comprehend only in their most primitive forms-this knowledge, this feeling is at the center of true religiousness."