Psychedelic Drugs & Consciousness

Aug 13, 2015
33
104
Habari zenu wakuu,

Natanguliza salamu za pole kwa wale waliofiwa na wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tuwasikilize watalaam wa afya na tuwakinge tuwapendao.

Mtanisamehe kwa kuchanganya lugha zote mbili katika hii thread lakini naomba kwa wale watakao kua interested with the thread watoe kile wanakifahamu maana I still have a room for new knowledge.

Ningependa nianze na one of my lovely quote from the evolutionary biologist, Julian Huxley " We are the means of the Universe to become conscious of itself." Ukiangalia vizuri kwenye hii quote, unaona kuna kitu special human beings tumepewa compared to the rest of the known species na kuna kitu kingine pia kinachoitwa consciousness. Kitu special tulichopewa binadamu ni IMAGINATION. Kila specie iko na intelligence lakini for us, we have an extra thing called Imagination which is a root of all creations.

Nimekuwa ni shabiki mkubwa wa William Blake hasa katika zile poem ziko na mstari kama "To see a World in a Grain of Sand and a Heaven in a Wild Flower, Hold Infinity in the palm of your hand and Eternity in an hour" . Huu mstari umetoka kwenye poem ya the great Blake inaitwa (Auguries of Innocence, 1863). Lakini pia kuna mstari kama "If the doors of perception were cleansed every thing would appear to man as it is, Infinite. For man has closed himself up, till he sees all things thro' narrow chinks of his cavern”. Huu mstari umetoka kwenye kitabu chake Blake kinaitwa (The Marriage of Heaven and Hell, 1793), na ndio huu mstari ulimu-influence Aldous Huxley kuandika kitabu kinaitwa (The Doors of Perception, 1954) ambapo jamaa alijaribu kuelezea psychedelic experience baada ya kutumia psychedelic drug inayoitwa Mescaline (peyote and San Pedro cactus). Pyschedelic Experience (mimi napenda kuita spiritual experience) alioipata Aldous Huxley ni ile alioisema Blake, seeing a world in a grain of sand and a heaven in a wild flower. The pychedelic drug cleansed the doors of perception of Huxley and everything appeared to him as infinite.

Graham Hancok kwenye TED talk yake ya The War on Consciouness ambayo by the way imekua banned for some weird reasons, anajaribu kuelezea namna ambavyo researches kwenye pyschedelic drugs na drugs zenyewe zinavopigwa vita sana wakati experiments nyingi zimeonesha hizi drugs hazina side effects zozote mwilini lakini wakati huo huo drugs kama alcoholic drinks, energy drinks na cigarettes ambazo ziko na side effects katika miili yetu, hazipigwi vita na hakuna sheria ngumu zinazobana matumizi yake . Kwenye hio talk, anatuongezea another Psychedelic drug inaitwa Ayahuasca ambayo iko na uwezo wa ku-alter hii normal awareness tulionayo na kutupeleka kwenye other realm/dimension/plane of consciousness.

Hapa chini nitaandika literature review, nikisahau kum-cite mtu msinifokee sana.
What's consciousness by the way? Ukisoma kitabu cha Divine Matrix (2007) by Gregg Braden, au ukifatilia vizuri mafundisho ya Buddha na Jesus Christ (hasa kwenye Gospel of Thomas), utaona kuna kitu kinakaziwa sana. We're one. We are the intelligent energy (pure love). We are lot more than our bodies. Don't u agree with this? then let's go to Quantum Physics. According to Quantum Phyiscs, what looks like the solid world to us is really not so solid at all. Why? Our world is made up of atoms, and those atoms are made up of sub-atomic particles, only the particles aren’t particles at all. They are fluctuations of energy (vibrations). To to be one with pure love, one must transcend to our his or her higher self. To transcend, one must first die. That's if you die before you die, you wont die when you die. Wengi tunasema we are not human beings having spiritual experience but the spiritual beings having human experience, lakini hatujui what doesn't it mean and what's the big deal with it.

According to Russell Targ in his book Limitless Mind (2004), anasema "In a meditative state of mind, we can become aware that we are not a body, but rather limitless, non-local awareness animating or residing as a body. Resting in the spacious flow of loving awareness - which some call God - we discover that we already have, right now within us, everything we could possibly be looking for". That's Our minds are star-gates, our bodies celled of mysteries. Hata ukisoma Luke 17:20-21, utaona Jesus Christ anakazia kwamba heaven is within.

So far nilivofatilia (hapa nitaomba wajuzi waongeze nyama), kuna three ways za kuwa katika higher version (heaven) of you, viz; Using Psychedelics Drugs, Practising Meditation and Yoga. Nimewai meditate kidogo na niliona namna ambavyo unavokua different from ukiwa katika hali ya kawaida. Maada ya leo ningependa ijikite hapa kwenye matumizi ya Pyschedelics drugs katika ku-alter consciousness, na upatikanaji wake hapa kwetu Tanzania na sheria zetu zinasemaje.

Binafsi ni mfatiliaji mkubwa wa Quantum Theory and Mystics. Lakini pia ni mdau mkubwa wa kazi za William Blake, Joseph Campbell, Gregg Braden, Graham Hancok, Allan Watts, Rusell Targ, Terrence Mckenna, Dan Brown, Nikola Tesla, Carl Sagan and other few mystical people ever lived on our planet earth. Naomba wenye kupenda discussion kama hizi tuchekeane PM au tutaftane mimi naishi Dar es salaam.

Ningependa niwaache na quote moja ya Albert Einstein,
"The most beautiful thing we can experience is the mysterious. It is the source of all true art and science. He to whom the emotion is a stranger, who can no longer pause to wonder and stand wrapped in awe, is as good as dead; his eyes are closed. The insight into the mystery of life, coupled though it be with fear, has also given rise to religion. To know what is impenetrable to us really exists, manifesting itself as the highest wisdom and the most radiant beauty, which our dull faculties can comprehend only in their most primitive forms-this knowledge, this feeling is at the center of true religiousness."
 
Kuhusu hizo dawa bado mi mgeni sana, japo kwa taarifa na fununu nisizo na uhakika nazo ni kweli dawa zipo na zinaweza muongezea mtu sio tu uwezo wa kufikiri bali mpka uwezo wa roho ( i mean uwezo wa mtu kutuliza akili yake na kuacha kufikiria au kuona ulimwengu kama tuuonavyo sis tena).

Japo umesema tujikite kwenye dawa, ila mim naona meditatao ni elimu muhimu na rais sana tunayo ihitaji.
 
Yes ni kweli mkuu. Ngoja tusubiri nondo za wadau humu ndani.
 
Nilikuwa naangalia podcast ya joe rogan akawa anazungumzia jinsi wamarekani wanatumia madawa yanaitwa (DMT) ambayo yanawapa uwezo wa kuona na kuwasiliana na Aliens or UFOS....kitu kama hicho......pia hizo drugs nahisi zinatokana na marijuana.....vitu kama time travelling vinawezekana kwa consiousness....
 
Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
 
Nimeshasoma sana kuhusu psychdelic mushrooms, au magic mushrooms. Hizi mushrooms ni popular sana nchi za magharibi, lakini sijawahi kufahamu ni aina zipi za mushrooms ambazo zina psychdelic effects.
Yap, ni kweli mkuu. Sema ivi vitu haviongelewi sana maana hata researches zake zinakua haziwafuraishi sana wakubwa. Sema, nashukuru the world is awakening.

So tutapata kuvijua ivi vitu vizuri overtime. Kuhusu upatikanaji, zinapatikana sana South America, Some parts of Asia and Australia. Huku Africa, hazipo kabisa yaani.

Ilifaa, wengine to test kabisa tusiishie tu kwenye mmea uliobarikiwa wa rastafarians.
 
Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
Mkuu ubarikiwe sana. Nilitamani nipate watu wengi kidogo kama nyie mjaze nyama za kutosha hapa. I really appreciate the remarkable contribution.

Umetoa mda wako kwa ajili ya wengine. Hapo uliposema hii Ayahuasca inapatikana kwenye pharmaceuticals. Bila shaka unamaanisha za wenzetu uko na sio bongo, maana umetanguliza kusema bongo sio rahisi.

Kuhusu teachings of eastern culture hasa Buddha, mimi nasemaga it's a matter of time, as physics or science keeps advancing, one day itaweza show why eastern teachings make sense. Mfano, hii ishu ya We are all one or we're connected, imekua explained na phenomena inaitwa quantum entanglement though hii phenomena ilileta confusion sana maana hata kichwa Albert Einstein alikua anakataa hii concept.

Kuna siku mwamba Albert alikua anabisha kuhusu probabilistic nature of Quantum theory, akasema "God doesn't play dice". Haikuchukua mda, bwana Bohr akamjibu "Einstein, Stop telling God how to run the world".

Anyway, ningependa nikazie hapa kama ulivoshauri, tujitahidi tufike kwenye our higher versions of ourselves before hatujakufa kifo kile watu wanatoa machozi ya kutosha.
 
Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
Mkuu unaishi na wanadamu ila wewe umetengwa na unaishi ulimwengu wako.
 
Yap, ni kweli mkuu. Sema ivi vitu haviongelewi sana maana hata researches zake zinakua haziwafuraishi sana wakubwa.

Sema, nashukuru the world is awakening. So tutapata kuvijua ivi vitu vizuri overtime. Kuhusu upatikanaji, zinapatikana sana South America, Some parts of Asia and Australia. Huku Africa, hazipo kabisa yaani.

Ilifaa, wengine to test kabisa tusiishie tu kwenye mmea uliobarikiwa wa rastafarians.
Ni kweli kaka, nina baadhi ya friends wanaishi America ambao tumefahamiana kupitia forums, wanasema psychelic drugs zina faida kubwa katika mambo ya kiroho, zinasaidia kurestore ile furaha iliyopotea katika maisha, kupambana na anxiety disorder, na mental problems nyingine kama depression.

Inasikitisha jinsi tulivyo katika sayari moja lakini baadhi ya sehemu zimeendelea kama vile siyo duniani. Na uzuri wa psychoactive drugs na psychedelic drugs, kama lysergic acid dythylamide (LSD) na marijuana zinasaidia sana kufunguka kiakili na kuweza kuelewa mambo mengi bila learning (sudden revelations) iwapo zitatumika vizuri, lakini viongozi na serikali zinaendelea ku-ban hizi drugs kwa hofu ya watu kuwa awakened.
 
Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
Aisee bro, I cosign with everything you have said, you are very articulate bro. Much blessings. Una vitu interesting sana vya kufundisha. Umenifungua akili sana.
 
Kuna vitu vipya nimejifunza hapa ila katika suala la taarifa juu ya mitazamo ya baadhi ya watu kuhusu jambo husika.

Lakini, katika maelezo yako sijaona popote ulipojikita katika kuujua ukweli wa mambo kama ulivyona si kama watu wanavyo hisi. Hapa umenipa maswali kadhaa, na hapa nitakuuliza baadhi.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia....
 
Nilikuwa naangalia podcast ya joe rogan akawa anazungumzia jinsi wamarekani wanatumia madawa yanaitwa (DMT) ambayo yanawapa uwezo wa kuona na kuwasiliana na Aliens or UFOS....kitu kama hicho......pia hizo drugs nahisi zinatokana na marijuana.....vitu kama time travelling vinawezekana kwa consiousness....
Rogan nae Kuna mda unaweza hisi yupo ulimwengu wake. Haonekani kama anajali, ila ni anajua vitu sana.
 
Ni kweli kaka, nina baadhi ya friends wanaishi America ambao tumefahamiana kupitia forums, wanasema psychelic drugs zina faida kubwa katika mambo ya kiroho, zinasaidia kurestore ile furaha iliyopotea katika maisha, kupambana na anxiety disorder, na mental problems nyingine kama depression. Inasikitisha jinsi tulivyo katika sayari moja lakini baadhi ya sehemu zimeendelea kama vile siyo duniani. Na uzuri wa psychoactive drugs na psychedelic drugs, kama lysergic acid dythylamide (LSD) na marijuana zinasaidia sana kufunguka kiakili na kuweza kuelewa mambo mengi bila learning (sudden revelations) iwapo zitatumika vizuri, lakini viongozi na serikali zinaendelea ku-ban hizi drugs kwa hofu ya watu kuwa awakened.

Hii ni kweli , changamoto kubwa mimi naona watu wafundishwe kwanza.
-
Kwa sababu hakuna kitu hakina madhara.
-
Hata maji uki Over dose kwa Mfano ukanywa 6 L per day wakati wewe body mass yako inataka unywe 1.5L per day, utaenda ku create fluid retention in your body , Na utasababisha pressure kupanda, over time utaanza ku damage your vital organs such as kidney, brain vessels leading to stroke etc etc.
-
Vivo Hivyo kwa hizi mind altering drugs. They have serious side effect ukiwa una Over dose na kutumia mara kwa mara . Yaani vina ku dissociate na reality ya dunia, na sometimes unapoteza feelings za maisha kabisa. Yaani unaona kupata au kukosa is just a game. Let it be .
-
Substance kama hiyo LSD, DMT kwanza zinapatikana naturally kwenye mimea lakini pia drug dealers wanazitumia kutengeneza illicit substance in form of powder and tablets wakati huo huo wanachanganya na chemicals nyingine and makes it more addictive and dangerous.
-
DMT, LSD , Pscilocibin Mushroom zote zimekwa na WHO kwenye Schedule I Controlled Drug ikiwa na maana ya kuwa haifai kwa matumizi ya Dawa wala kwa matumizi yoyote na ukishikwa nayo you should go to Jail . Lakini jiulize Mbona mmea wake bado unaendelea kulimwa .

Shida kubwa pia kwa mfano, leo unamuuliza mtu anaetumia bangi, kwanini unavuta bangi ? Hatoweza kukupa Jibu sahihi.
-
Wengi huvuta kwa makundi, kuiga bila ya kujifunza na kufanya research matokeo yake wanaenda kuharibu akili zao na kuwa wahuni.
-
Na bangi wanazotumia sio zile kutoka shamba , ni zile ambazo wameshachanganya na cocaine ili Kesho uje tena .... baadae mtu anakuwa teja.
-
Know why do you have to smoke ; what do you want from smoking: ? Je unahitaji Creativity or writings or transcendence etc etc yaani lazima uwe na sababu ya kuvuta au kutumia psychedelic substances. Kama Huna sababu then stop it .

Methadone is one of psychedelic, mind altering substance, Na ndiyo hutumika kwenye ku withdraw wale watu waliokuwa addicted na cocaine. methadone Center ipo hapo MNH, Amana , Temeke , Mwananyamala kwa Hospital za Dar Tu.
-
Suali la Msingi unawezaje kuitumia methadone ukaacha DMT, LSD au Pscilocybin Mushroom . Hizi ndio the natural substance ambazo zinamfanya mtu aache kabisa kuwa addicted na kuacha kutumia cocaine na Heroin.
-
Ni substance ambazo zikitumiwa at recommended dose under guidance, makes your life more meaningful, spiritual, brave and creative.

It is all about awaken the consciousness, self realization, the one we are.
-
I personally have used all those psychedelic substances. If you are lucky to get the natural plant from your own garden, then you are done.

LSD tablets, I don’t recommend t’ buying
IMG_4088.jpg

these laboratories made.

IMG_4088.jpg

DMT powder, it is also laboratory made, I don’t recommend. You have to get the natural plants kama unavoipata Cannabis.

IMG_4091.jpg

Magic Mushroom, Pscilocybin Mushroom. The tree of Life. The tree of Good and Evil .

IMG_4092.jpg

LSD plant containing. You need to have this in your secret garden. You may use once per year or 3 years. If you use like that, you will see the benefits of being born on earth.

IMG_4090.jpg

The DMT plant containing, the tree of life and death, the Vial of pendant eternity.

IMG_4087.jpg

The Powder , don’t buy this, find the natural plant.

I have a lot of photos and my experience to DMT and LSD , kutokana na uhalisia wa kazi yangu. I am not allowed to share anything from Social platforms .
IMG_4091.jpg
IMG_4094.jpg
 
Rogan nae Kuna mda unaweza hisi yupo ulimwengu wake. Haonekani kama anajali, ila ni anajua vitu sana.

Rogan nae Kuna mda unaweza hisi yupo ulimwengu wake. Haonekani kama anajali, ila ni anajua vitu sana.

It is true; kwa mfano pia, Creativity ya Pharmaceuticals Industry and Medicine Researchers wanategemea sana Hii mimea.
-
Yaani mtu astue kwanza, apate ile Transcendence ndiyo awaze nini cha kufanya. Baadae Mtu anakuja na majibu na kama ni Dawa atakwambia tufanye hivi hii dawa itatibu : na kweli inatibu ; ukimuuliza inafanye kazi vipi?! Atakwambia sijui. Kwasababu wanapata majibu wakiwa kwenye Transcendance Mode. Sasa wakirudi Kwenye Normal Mode, hawezi kupata Majibu. Unless other researchers waje kufanyia kazi ile idea yake na kuitengeneza kisayansi zaidi.

Ndiyo ile unasikia dawa hii inatibu ugonjwa fulani but mechanism is unknown.

Hollywood wengi wanatoa idea za move za kufa mtu wakistua na psychedelic substance. Nyimbo nyingi za kina The Beatles, Bob Marley na wengine ili waandike mashairi ambayo ni more meaningful and spiritual ni lazima kwanza wa transcendent beyond their minds limit.
-
Na hii ndio Sababu nyimbo zao mpaka leo leo still makes sense to this life.
-
The song like Redemption, unaona kabisa Bob was out of his body. The Movie like The Wizard Oz, it has a lot of hidden message juu ya hizi Psychedelic.

The Movie like American Beauty.
-
Siri kubwa ya Steve Jobs, ipo kwenye Psychedelic. Alisafiri hadi India, under spiritual guidance, Job contacted DMT and LSD as a natural plant. He also learned about the Power Within.
-
It is so fascinating
-

Hawa Spirutual Teachers , kama mapadri, wachungaji wenye nguvu, psychedelics ndio siri yao kubwa.
IMG_4090.jpg

The DMT , Tree of good and evil
 
Kuhusu hizo dawa bado mi mgeni sana, japo kwa taarifa na fununu nisizo na uhakika nazo ni kweli dawa zipo na zinaweza muongezea mtu sio tu uwezo wa kufikiri bali mpka uwezo wa roho ( i mean uwezo wa mtu kutuliza akili yake na kuacha kufikiria au kuona ulimwengu kama tuuonavyo sis tena).

Japo umesema tujikite kwenye dawa, ila mim naona meditatao ni elimu muhimu na rais sana tunayo ihitaji.
Thanks
 
Hii ni kweli , changamoto kubwa mimi naona watu wafundishwe kwanza.
-
Kwa sababu hakuna kitu hakina madhara.
-
Hata maji uki Over dose kwa Mfano ukanywa 6 L per day wakati wewe body mass yako inataka unywe 1.5L per day, utaenda ku create fluid retention in your body , Na utasababisha pressure kupanda, over time utaanza ku damage your vital organs such as kidney, brain vessels leading to stroke etc etc.
-
Vivo Hivyo kwa hizi mind altering drugs. They have serious side effect ukiwa una Over dose na kutumia mara kwa mara . Yaani vina ku dissociate na reality ya dunia, na sometimes unapoteza feelings za maisha kabisa. Yaani unaona kupata au kukosa is just a game. Let it be .
-
Substance kama hiyo LSD, DMT kwanza zinapatikana naturally kwenye mimea lakini pia drug dealers wanazitumia kutengeneza illicit substance in form of powder and tablets wakati huo huo wanachanganya na chemicals nyingine and makes it more addictive and dangerous.
-
DMT, LSD , Pscilocibin Mushroom zote zimekwa na WHO kwenye Schedule I Controlled Drug ikiwa na maana ya kuwa haifai kwa matumizi ya Dawa wala kwa matumizi yoyote na ukishikwa nayo you should go to Jail . Lakini jiulize Mbona mmea wake bado unaendelea kulimwa .

Shida kubwa pia kwa mfano, leo unamuuliza mtu anaetumia bangi, kwanini unavuta bangi ? Hatoweza kukupa Jibu sahihi.
-
Wengi huvuta kwa makundi, kuiga bila ya kujifunza na kufanya research matokeo yake wanaenda kuharibu akili zao na kuwa wahuni.
-
Na bangi wanazotumia sio zile kutoka shamba , ni zile ambazo wameshachanganya na cocaine ili Kesho uje tena .... baadae mtu anakuwa teja.
-
Know why do you have to smoke ; what do you want from smoking: ? Je unahitaji Creativity or writings or transcendence etc etc yaani lazima uwe na sababu ya kuvuta au kutumia psychedelic substances. Kama Huna sababu then stop it .

Methadone is one of psychedelic, mind altering substance, Na ndiyo hutumika kwenye ku withdraw wale watu waliokuwa addicted na cocaine. methadone Center ipo hapo MNH, Amana , Temeke , Mwananyamala kwa Hospital za Dar Tu.
-
Suali la Msingi unawezaje kuitumia methadone ukaacha DMT, LSD au Pscilocybin Mushroom . Hizi ndio the natural substance ambazo zinamfanya mtu aache kabisa kuwa addicted na kuacha kutumia cocaine na Heroin.
-
Ni substance ambazo zikitumiwa at recommended dose under guidance, makes your life more meaningful, spiritual, brave and creative.

It is all about awaken the consciousness, self realization, the one we are.
-
I personally have used all those psychedelic substances. If you are lucky to get the natural plant from your own garden, then you are done.

LSD tablets, I don’t recommend t’ buying View attachment 1707053
these laboratories made.

View attachment 1707053
DMT powder, it is also laboratory made, I don’t recommend. You have to get the natural plants kama unavoipata Cannabis.

View attachment 1707054

Magic Mushroom, Pscilocybin Mushroom. The tree of Life. The tree of Good and Evil .

View attachment 1707055

LSD plant containing. You need to have this in your secret garden. You may use once per year or 3 years. If you use like that, you will see the benefits of being born on earth.

View attachment 1707056
The DMT plant containing, the tree of life and death, the Vial of pendant eternity.

View attachment 1707057

The Powder , don’t buy this, find the natural plant.

I have a lot of photos and my experience to DMT and LSD , kutokana na uhalisia wa kazi yangu. I am not allowed to share anything from Social platforms . View attachment 1707054
Nashukuru sana mkuu. Nimepata mwanga kidogo, kuna ukweli unaposema hizi drugs zikitumiwa bila mpangilio au kisudio maalum zinaweza kuleta madhara.

In my lifetime I've only used marijuana kwa ajili ya kubrainstorm ideas mpya kwa sababu mimi ni artist (katika taaluma ya digital art na music production) na ni kweli nimeona benefits nyingi sana. Vilevile nikitaka ku learn kitu kipya nina take a toke, napata peace of mind na kuwa calm and attentive. Kiukweli kama tungekuwa tunatumia marijuana kwa purpose fulani tungeweza kufanikisha mengi ndani ya muda mfupi.

Kwa upande wa psychedelics sijawahi kutumia (though baadhi ya articles zinasema weed might be psychedelic drug, though not yet proven).

Kwenye post yako nimeona umeelezea kuhusu kutumia hizi psychedelics in their natural form, kwa sababu zikiwa altered zinaweza kutengeneza addiction na dependency. Sasa ningependa kuuliza kuhusu Magic Mushrooms, LSD na DMT, are these growing naturally in the woods?

Where can I find them? Where are they often found? How to prepare them for proper consumption? Do they have too much potency? Like, If someone consumes too high quantity will they have a bad trip?

Thanks mkuu kwa kutoa elimu murua, enlighten me more.
 
Back
Top Bottom