Psychedelic Drugs & Consciousness

liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,504
2,000
Habari zenu wakuu,

Natanguliza salamu za pole kwa wale waliofiwa na wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tuwasikilize watalaam wa afya na tuwakinge tuwapendao.

Mtanisamehe kwa kuchanganya lugha zote mbili katika hii thread lakini naomba kwa wale watakao kua interested with the thread watoe kile wanakifahamu maana I still have a room for new knowledge.

Ningependa nianze na one of my lovely quote from the evolutionary biologist, Julian Huxley " We are the means of the Universe to become conscious of itself." Ukiangalia vizuri kwenye hii quote, unaona kuna kitu special human beings tumepewa compared to the rest of the known species na kuna kitu kingine pia kinachoitwa consciousness. Kitu special tulichopewa binadamu ni IMAGINATION. Kila specie iko na intelligence lakini for us, we have an extra thing called Imagination which is a root of all creations.

Nimekuwa ni shabiki mkubwa wa William Blake hasa katika zile poem ziko na mstari kama "To see a World in a Grain of Sand and a Heaven in a Wild Flower, Hold Infinity in the palm of your hand and Eternity in an hour" . Huu mstari umetoka kwenye poem ya the great Blake inaitwa (Auguries of Innocence, 1863). Lakini pia kuna mstari kama "If the doors of perception were cleansed every thing would appear to man as it is, Infinite. For man has closed himself up, till he sees all things thro' narrow chinks of his cavern”. Huu mstari umetoka kwenye kitabu chake Blake kinaitwa (The Marriage of Heaven and Hell, 1793), na ndio huu mstari ulimu-influence Aldous Huxley kuandika kitabu kinaitwa (The Doors of Perception, 1954) ambapo jamaa alijaribu kuelezea psychedelic experience baada ya kutumia psychedelic drug inayoitwa Mescaline (peyote and San Pedro cactus). Pyschedelic Experience (mimi napenda kuita spiritual experience) alioipata Aldous Huxley ni ile alioisema Blake, seeing a world in a grain of sand and a heaven in a wild flower. The pychedelic drug cleansed the doors of perception of Huxley and everything appeared to him as infinite.

Graham Hancok kwenye TED talk yake ya The War on Consciouness ambayo by the way imekua banned for some weird reasons, anajaribu kuelezea namna ambavyo researches kwenye pyschedelic drugs na drugs zenyewe zinavopigwa vita sana wakati experiments nyingi zimeonesha hizi drugs hazina side effects zozote mwilini lakini wakati huo huo drugs kama alcoholic drinks, energy drinks na cigarettes ambazo ziko na side effects katika miili yetu, hazipigwi vita na hakuna sheria ngumu zinazobana matumizi yake . Kwenye hio talk, anatuongezea another Psychedelic drug inaitwa Ayahuasca ambayo iko na uwezo wa ku-alter hii normal awareness tulionayo na kutupeleka kwenye other realm/dimension/plane of consciousness.

Hapa chini nitaandika literature review, nikisahau kum-cite mtu msinifokee sana.
What's consciousness by the way? Ukisoma kitabu cha Divine Matrix (2007) by Gregg Braden, au ukifatilia vizuri mafundisho ya Buddha na Jesus Christ (hasa kwenye Gospel of Thomas), utaona kuna kitu kinakaziwa sana. We're one. We are the intelligent energy (pure love). We are lot more than our bodies. Don't u agree with this? then let's go to Quantum Physics. According to Quantum Phyiscs, what looks like the solid world to us is really not so solid at all. Why? Our world is made up of atoms, and those atoms are made up of sub-atomic particles, only the particles aren’t particles at all. They are fluctuations of energy (vibrations). To to be one with pure love, one must transcend to our his or her higher self. To transcend, one must first die. That's if you die before you die, you wont die when you die. Wengi tunasema we are not human beings having spiritual experience but the spiritual beings having human experience, lakini hatujui what doesn't it mean and what's the big deal with it.

According to Russell Targ in his book Limitless Mind (2004), anasema "In a meditative state of mind, we can become aware that we are not a body, but rather limitless, non-local awareness animating or residing as a body. Resting in the spacious flow of loving awareness - which some call God - we discover that we already have, right now within us, everything we could possibly be looking for". That's Our minds are star-gates, our bodies celled of mysteries. Hata ukisoma Luke 17:20-21, utaona Jesus Christ anakazia kwamba heaven is within.

So far nilivofatilia (hapa nitaomba wajuzi waongeze nyama), kuna three ways za kuwa katika higher version (heaven) of you, viz; Using Psychedelics Drugs, Practising Meditation and Yoga. Nimewai meditate kidogo na niliona namna ambavyo unavokua different from ukiwa katika hali ya kawaida. Maada ya leo ningependa ijikite hapa kwenye matumizi ya Pyschedelics drugs katika ku-alter consciousness, na upatikanaji wake hapa kwetu Tanzania na sheria zetu zinasemaje.

Binafsi ni mfatiliaji mkubwa wa Quantum Theory and Mystics. Lakini pia ni mdau mkubwa wa kazi za William Blake, Joseph Campbell, Gregg Braden, Graham Hancok, Allan Watts, Rusell Targ, Terrence Mckenna, Dan Brown, Nikola Tesla, Carl Sagan and other few mystical people ever lived on our planet earth. Naomba wenye kupenda discussion kama hizi tuchekeane PM au tutaftane mimi naishi Dar es salaam.

Ningependa niwaache na quote moja ya Albert Einstein,
"The most beautiful thing we can experience is the mysterious. It is the source of all true art and science. He to whom the emotion is a stranger, who can no longer pause to wonder and stand wrapped in awe, is as good as dead; his eyes are closed. The insight into the mystery of life, coupled though it be with fear, has also given rise to religion. To know what is impenetrable to us really exists, manifesting itself as the highest wisdom and the most radiant beauty, which our dull faculties can comprehend only in their most primitive forms-this knowledge, this feeling is at the center of true religiousness."
Sijaelewa
 
Kapyepye Mfyambuzi

JF-Expert Member
Jun 18, 2020
502
1,000
Samahani wakuu kama ntakuwa nimetoka nje ya topic. Vipi kuhusu Coffee na yenyewe inao uwezo wa kusaidia ku calm mind kwenye meditation?
 
makeda

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
252
225
Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
Bangi ipo kuguide/kutuamsha tujue kuna state of being ya jinsi hiyo then ukishaexperience kinachofata ni wewe kuingia kwenye same state of being bila kuivuta,kila unapojiskia.........hapo unakuwa umeelewa kazi ya huo mmea.

Ndo mana ukianza kuitegemea inakubadilishia kibao.
 
Adolfms

Senior Member
Nov 28, 2017
166
250
Duuuuuh kweli elimu haina mwisho. Kwahiyo maybe tuseme na hawa waganga wa minyaa kuku na kadharika wanatumia hii mimea kuagua?
 
Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegaBrother nakuita
 
makeda

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
252
225
Duuuuuh kweli elimu haina mwisho. Kwahiyo maybe tuseme na hawa waganga wa minyaa kuku na kadharika wanatumia hii mimea kuagua?
Kweli kabisa,ukidhani umezeeka kwamba umefika mwisho wa kujifunza unakutana na maarifa km wanayotoa kina mk54......then unaamini kweli kujifunza ni zoezi endelevu.
 
The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,586
2,000
Bangi ipo kuguide/kutuamsha tujue kuna state of being ya jinsi hiyo then ukishaexperience kinachofata ni wewe kuingia kwenye same state of being bila kuivuta,kila unapojiskia.........hapo unakuwa umeelewa kazi ya huo mmea.

Ndo mana ukianza kuitegemea inakubadilishia kibao.
Hii elimu unayo nini?
 
Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,989
2,000
Wakuu bado nipo. Nitarudi very soon na speed kubwa.

Tulikuwa bado tupo kwenye maombolezo ya mpendwa wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu JPM. Mungu wetu aliyetuletea mimea hii amtangulie huko alipo kwenye ulimwengu wa roho.

.Ukitumia hii mimea for good course, death is just a bridge kufikia consciousness nyingine.

Maisha ni zaidi ya comfort zone.

Tutaangalia namna wanavyotengeneza hizi hard drugs huko maabara kwa kukopi chemical formula za natural plants .... kwa kuweka amphétamines na starches kisha kuwauzia watu mtaani kama unga unaowapelekea watu kuwa Serious addiction na disassociation from reality ya maisha .... very baad yaani unakuwa worse creatures.

Tunaangalia pia namna wanavomix bangi na amphettamines kisha kuziuza mtaani.... unadevelop Serious addiction na kupata neuropathy na panic attack, anxiety and unknown fear ..... yaani unaweza kustuka tu hivi na ukaanza kuogopa for no reasons , stop buying weed from unknown source.... Weed haina addiction unless umeokota kwa wahuni na ume missuse..... pamoja na yote hupaswi kutumia for recreational. It has serious issue na personalities and humanities

Natural plants hazinaga Serious addiction unless unatumia bila muongozo au unatumia for recreational yaani for Pleasure.

Truth seekers wengi, including innovators and other great minds, they have once smoked these plants in their life time ...... only if you know how to use it.

Mtu kama Donalt Trump was told by his Pharmacist aache ku sniff the powder na badala yake awe anatumia vapeur, sniffing ilimletea Trump respiratory issue . .... ukimu observe trump wakati wa kuongea, anakuwa Kama anavuta pumzi kwa ndani kupitia pua every time every time.

Kazi iendelee
 
Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,883

🤯
we missed you doctor.
 
makeda

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
252
225
Mk54 au yeyote anayejua kutumia hii mimea,mngejaribu kutumia hii miti then muingie kwenye ulimwengu wenye majibu ili tujue tunaondokaje kwenye corona mana ni kama we are stuck with it.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom