PSSSF ni majambazi wa kizazi kipya

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Kinachofanywa sasa na PSSSF pamoja na dada yake nssf ni uhuni. Jamaa hawa sasa wame embark into delaying tactics. Njoo baada ya miezi2 zimezidi.
Kama hawana fedha za kulipa mafao ya ex-employees si easement wazi? Social Security scheme is a nuisance to workers in Tz.

Kusema wafanyazi wanaichukia PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive.
Hawa na shangazi yao SSRA ni wauaji, chinjachinja nyonya damu. Hawana tofauti na mauti haki yao ni kutupwa kwenye kaburi la sahau. Nani ana sympathize na PSSSF or NSSF? No body does...

PSSSF ni kizungumkuti. Watu wanasubiri muda mrefu kulipwa mafao yao. Wastaafu na wapoteza ajira wote wameinunia both psssf na nssf. Mabingwa wa blabla.

Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. Kuna delaying tactics zinafanyika kwani njoo mwezi ujao zimezidi hasa baada ya merger!!!

Swali kuu ni kwamba why are you tempering with ex-employees' money?!!!! Kwa nini muwapangie maisha yao?

Blabla zinazoendelea sasa zinatia tu kichefuchefu. It is totally ridiculous.

Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania. Ni unafiki mtupu.

Woe PSSSF na NSSF mnaoendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed PSSSF.
Cursed SSRA.
Mashirika haya ya kinyonyaji imejaa majambazi.

What a despicable PSSSF. What a stupid NSSF. What a monstrous SSRA. May Lucifer devour these useless institutions and their lousy customer care staff.
 
Wizi wa mchana. Bora hiyo hela ningaliweka kwenye kibubu. Hilo li PSSSF ni janga la taifa. Mrija wa kunyonya wafanyazi._ watumwa?!!
 
Hawa ni washenzi hata lile FAO la kutokuwa na ajira ambao lipo kisheria wanadhulumu wafanyakazi,MTU kapoteza ajira mwezi huu then unamwambia njoo baada ya miezi mitatu hiyo miezi mitatu ataishi vipi?.
Wafanyakazi sisi ni wajinga kabisa tunabaki tunalalamika hatuchukui hatua.
 
Kinachofanywa sasa na PSSSF pamoja na dada yake nssf ni uhuni. Jamaa hawa sasa wame embark into delaying tactics. Njoo baada ya miezi2 zimezidi.
Kama hawana fedha za kulipa mafao ya ex-employees si easement wazi? Social Security scheme is a nuisance to workers in Tz.

Kusema wafanyazi wanaichukia PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive.
Hawa na shangazi yao SSRA ni wauaji, chinjachinja nyonya damu. Hawana tofauti na mauti haki yao ni kutupwa kwenye kaburi la sahau. Nani ana sympathize na PSSSF or NSSF? No body does...

PSSSF ni kizungumkuti. Watu wanasubiri muda mrefu kulipwa mafao yao. Wastaafu na wapoteza ajira wote wameinunia both psssf na nssf. Mabingwa wa blabla.

Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. Kuna delaying tactics zinafanyika kwani njoo mwezi ujao zimezidi hasa baada ya merger!!!

Swali kuu ni kwamba why are you tempering with ex-employees' money?!!!! Kwa nini muwapangie maisha yao?

Blabla zinazoendelea sasa zinatia tu kichefuchefu. It is totally ridiculous.

Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania. Ni unafiki mtupu.

Woe PSSSF na NSSF mnaoendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed PSSSF.
Cursed SSRA.
Mashirika haya ya kinyonyaji imejaa majambazi.

What a despicable PSSSF. What a stupid NSSF. What a monstrous SSRA. May Lucifer devour these useless institutions and their lousy customer care staff.
Wewe si ulikuwa unamsifia Jiwe!? Endelea kumsifia sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkubwa pole sana we understand your frustration lakini shusha pumzi kidogo hawa jamaa hawako motivated kabisa na angalia wasikupe pressure na sukari kwa kutokujali kwao.

Mtoa mada utakuwa mtetezi wa mabeberu

Watu wengi hawaelewi kwa nini kuna ucheleweshaji wa malipo toka PSSF. Lakini baada ya kufuatilia nimegundua kwamba tatizo kubwa linatokana na uwasilishaji wa michango toka wizara/idara/Taasisi. Kuna jamaa yangu alikuwa kwenye hali hiyo na akaomba nimsaidie. Nilipokwenda PSSSF wakanionyesha gaps kwenye michango ya huyo ndugu yangu na vile vile barua pamoja na ufuatiliaji binafsi wa wafanyakazi wao kwenye taasisi husika lakini kuna urasimu mkubwa wa kulipa malimbikizo hayo kwa PSSSF nao hawawezi kulipa bila kuhakikisha kuwa michango yote wa mwajiri pamoja na mwanachama imewasilishwa kwao.
 
Back
Top Bottom