PSPF subsidiary scheme uchangiaji na namna ya kuondoka katika uchangiaji

mozambiqueone

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
232
119
Endapo mteja ulikuwa unachangia kwa hiari katika Mfuko ambao nimeutaja, ikifika wakati wa kujiondoa kwa ujumla, kuna fedha yeyote utakatwa au unapewa fedha yote kama ulivyochangia?.

Kama kuna mmoja wetu alishatumia huduma hii, changamoto yake ni nini hasa.

KARIBU.
 
Back
Top Bottom