PSPF mnatutesa, mnarudisha fomu za watu na kuwaingiza gharama za usafiri bila sababu ya msingi

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,081
5,061
Katika fomu zenu mmeorodhesha vitu au nyaraka zinazotakiwa ziambatanishwe katika orodha hiyo hakuna kitambulisho cha PPF.

Mmekuwa mnarudisha fomu za watu na kuwaingiza watu gharama za usafiri bila sababu ya msingi. Wekeni kila kitu wazi kwa Maafisa waajiri na ikiwezekana wafanyieni semina ili watu waepukane na karaha hii.
 
Pole Sana mkuu

Pesa zako wamejengea mijumba ambayo haiuziki Wala haipangishiki.
 
Back
Top Bottom