PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

tafiti zinaonyesha mfuko wa PSPF
ndio unaongoza kwa kulalamikiwa na wanachama wake zaidi kuliko mifuko mingine!
Hii inaonyesha mfuko huu una matatizo makubwa, watendaji wa mfuko huu wasipo badilika ni hatari sana kwa usalama wa mfuko huu.
pspf wanachezea haki za watu.
 
Hakuna mfuko unaotoa huduma bora na mafao makubwa km pspf. Mzaz wangu amelipwa mafao karibia 200mil na pensheni ya kila mwez zaidi ya millioni moja. Huwez kuniambia chochote kuhusu PSPF ni bonge la mfuko. Kwa taarifa yenu mifuko ya hifadhi ya jamii soon inaunganishwa na hvyo vifuko vingine vyote vitakuwa chini ya pspf kwasababu ni mfuko unaosimamia vizur shughuli zake. Mkurugenz mkuu wa pspf ni mkurugenz pekee kat ya wakurugenz wa mifuko anaongea na wateja wa mfuko moja kwa moja. Ukimpigia simu ni hapo hapo anamaliza shida yako. Mi ni shuhuda wa haya. Acheni kuskiliza propaganda za kitoto
Muulize vizuri mzee wako kama hakutoa rushwa kwa hao vijana,vinginevyo alikuwa mtu mkubwa serikalini,ushahidi upo wa genge la wala rushwa hapo PSPF na mkibisha sana tutawaanika hapa hapa kwa ofisi mbalimbali achilia mbali makao makuu,

Na wajue huu mchezo wao hautawafikisha pazuri,bora hao wachache wabomoke kuliko wabomoe nchi
 
tafiti zinaonyesha mfuko wa PSPF
ndio unaongoza kwa kulalamikiwa na wanachama wake zaidi kuliko mifuko mingine!
Hii inaonyesha mfuko huu una matatizo makubwa, watendaji wa mfuko huu wasipo badilika ni hatari sana kwa usalama wa mfuko huu.
pspf wanachezea haki za watu.
Kweli kabisa,nadhani kiongozi wa mfuko ana haja kubomoa baadhi ya idara kama walivyofanya NEMC,toa magenge hapo yapeleke kwingine
 
Muulize vizuri mzee wako kama hakutoa rushwa kwa hao vijana,vinginevyo alikuwa mtu mkubwa serikalini,ushahidi upo wa genge la wala rushwa hapo PSPF na mkibisha sana tutawaanika hapa hapa kwa ofisi mbalimbali achilia mbali makao makuu,

Na wajue huu mchezo wao hautawafikisha pazuri,bora hao wachache wabomoke kuliko wabomoe nchi
Acha propaganda, shida ya watz huwa hawapend kupita njia sahihi. Mstaafu anadai mafao yake lakini anakubali kishoka ndio akafatilia mafao yake wakat anaweza kufatilia mwenyew mafao yake. Ofis za pspf zinajulikana zilipo lkn mzee anampa kaz kishoka akafatilie kwa niaba yake lazima upigwe. Watz tuamke na vijana tuwasaidie wazee wetu waepukane na hawa vishoka. Hakuna mtumish wa pspf anaechkua rushwa ila hawa shida ni hawa vishoka. Km mzee wako alitoa hela bas jua imekwenda kwa kishoka na sio ofisa wa pspf. No research no right to speak .
 
Bora senti yang iozee huku kwenye mchago siwezi kuipeleka kwenye mchwa hata kidgo
 
Acha propaganda, shida ya watz huwa hawapend kupita njia sahihi. Mstaafu anadai mafao yake lakini anakubali kishoka ndio akafatilia mafao yake wakat anaweza kufatilia mwenyew mafao yake. Ofis za pspf zinajulikana zilipo lkn mzee anampa kaz kishoka akafatilie kwa niaba yake lazima upigwe. Watz tuamke na vijana tuwasaidie wazee wetu waepukane na hawa vishoka. Hakuna mtumish wa pspf anaechkua rushwa ila hawa shida ni hawa vishoka. Km mzee wako alitoa hela bas jua imekwenda kwa kishoka na sio ofisa wa pspf. No research no right to speak .
Vishoka wanapewa ofisi na wamesambaa mpaka ofisi zenu za mikoani na wanakaa ofisini?
 
Kama wakibisha namwanga mboga hapa kw ofisi kadhaa nilizopita na wazee waliokumbana na kadhia wapo tayari kuweka kila kitu hadharani

Na nyie mnasubiri mpaka ziara za rais ndipo akili zirudi?
Kwa nini una subiri wabishe ndo umwage mboga? Au huna nia ya kutatua uozo huu?
 
kwa nini PSPF haitaki kutoa mikopo ya fedha za biashara kwa wanachama wake kama kweli inawajali na kuwathamini wateja wake. waache kuwa hadaa wanachama kwa mafao yasio na tija.
 
Naona watu wako kibiashara humu, sidhani kama kuna mfuko unaweza ukawasogelea PSPF kiutendaji na kutoa huduma bora.....wazee wengi wanaishi vzr kupitia mfuko huu mama wa serikali, tuache unafiki kwenye ukweli tupongeze....pspf huwezi kuwalinganisha na mifuko mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Urongo wa kiwango cha makinikia

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna ukurasa mpya katika vita ya kuziba mianya ya rushwa basi iko Pspf.

Shirika hili linasumbua wanaodai mafao kiasi kwamba linahitaji uongozi wa shirika uamke kabla Takukuru haijaanza kuwadaka vijana wanaofanya kazi hapo kama kuku

Utoaji Huduma wa hili shirika ni wazi wanataka rushwa ili kuharakisha malipo,Mara kadhaa nimezhuhudia wazee wakilia mbele yana vijana hao au kufokeana kwa sauti kubwa kisa hawaa vijana wanakwamisha malipo

Japo nawapongeza watu wanaoandaa matangazo,lakini nashauri Takukuru wapige kambi hapo na washirikiane vizuri na wadai mafao

Haitapita mwezi watakamata aliyenona

Wakurugenzi na Bodi amkeni kabla hamjaamshwa na mwenye nyumba mkaondoka kwa aibu
Acha uongo...naijua pspf vizuri...ni mfuko pekee ambao mambo yake yapo wazi sio kwa siri kama mifuko mingine mfano mfuko wa LAPF ambao bodi yao ilivunjwa kwa uwekezaji mbovu na rushes...ongeeni kwa point na kama mna akili sio ushabiki...leteni majina ya hao wazee wanaodai kutoa rushwa...kumbuka kuna kitengo cha fraud pspf sizan kama ni kweli ulichoandika...acha kupotosha...wewe ni ajent wa LAPF tumekuelewa unawapigia kampeni
Kama kuna ukurasa mpya katika vita ya kuziba mianya ya rushwa basi iko Pspf.

Shirika hili linasumbua wanaodai mafao kiasi kwamba linahitaji uongozi wa shirika uamke kabla Takukuru haijaanza kuwadaka vijana wanaofanya kazi hapo kama kuku

Utoaji Huduma wa hili shirika ni wazi wanataka rushwa ili kuharakisha malipo,Mara kadhaa nimezhuhudia wazee wakilia mbele yana vijana hao au kufokeana kwa sauti kubwa kisa hawaa vijana wanakwamisha malipo

Japo nawapongeza watu wanaoandaa matangazo,lakini nashauri Takukuru wapige kambi hapo na washirikiane vizuri na wadai mafao

Haitapita mwezi watakamata aliyenona

Wakurugenzi na Bodi amkeni kabla hamjaamshwa na mwenye nyumba mkaondoka kwa aibu
Mtoa mada umeongea kiajent sana...naufahamu huu mfuko unafanya mambo yake kwa uwazi KULIKO mfuko wowote ndio maana hata LAPF bodi ya mfuko wao Rais JPM aliuvunja kwa ubadhiirifu na uwekezaji mbovu..PSPF wapo vizuri na wawazi sana...hapa usiwaonee..wapeni pongezi labda uwamulike LAPF
 
Idara ya utafiti Takukuru,hii iwe wakeup call kwa ofisi zote za Takukuru nchi nzima ili mtupie jicho ofisi za PSPF nchi nzima,walau kujua na kupata taarifa za mafao yaliyodaiwa na muda uliotumika kulipa na sababu za kuchelewa

Wakiwa vichwa ngumu,ule mchezo wenu wa kuwadaka uanze Mara moja
Acha kupotosha watu...LAPF ndio wakumulikwa
 
Inaelekea wewe ni mfanyakazi wa pspf . watu wanahangaika pia kuna watu waliomba mkopo wa kujiandaa kustafu na waligharamika kupitia hatua zote .hadi sasa ni miaka miwili hakuna kitu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii mifuko ma director wamepiga sana kwenye ujenzi wa maghorofa yasiyo na wapangaji...

muda utaongea tu
 
PSPF walikua vizuri ila wameiga ujinga wa ppf na nssf. Kwanza hata kwenye maofis yao kumejaa undugu na majungu
 
PSPF walikua vizuri ila wameiga ujinga wa ppf na nssf. Kwanza hata kwenye maofis yao kumejaa undugu na majungu
 
Back
Top Bottom