PSPF Arusha mawasiliano

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
19,946
25,168
Waungwana,

Naomba msaada wa kupata mawasiliano ya kiofisi ya uhakika ya PSPF ARUSHA.Hasa E-mail, hata kama una mawasiliano ya mfanyakazi ambaye ni ndugu ama rafiki.

Note:
E-mail yao hii ya kwenye vitabu vyao na vipeperushi hai-respond.

Ahsante sana.
 
Jamani nisaidieni, naona namba za simu walizoweka hawapokei sijui wana nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom