Ps3: Sipati HD kwenye Ps3 yangu.

worms

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
964
893
Habari wakuu..

Naona kila game nilichezalo kwenye ps3 yangu haziwi na high quality kama nitegemeavyo...
Pia mengine mwanzo yalikuwa vizuri baada ya kufanya reset yameharibika kabisa yaani quality imekuwa very low. Nifanyeje ili nifurahie HD katika ps3 yangu?

Pia nijuzeni namna ya kidownload na kuinstall ps3 games na nitapata games site gani?
 
720p ndio max, hilo game linakubali hio resolution?
Games zote hazina Hd nahitaji angalau yote yasiwe chini ya 720p,

Nina fifa 18, last of us, metal gear solid (phantom pain), watch dogs 1, zote quality ni ndogo haivutii kabisa.

Metal gear solid mwanzo ilikuwa inaquality nzuri lakini baada ya ku-reset quality imekuwa mbovu sijapata kuona hata silichezi tena.

Watch dogs halina mwonekano mzuri tangu tangu nimeanza kucheza...

The last of us nayo ilikuwa inamwonekano mzuri ila baada ya ku-reset naona hali mbaya.

Labda pia uzoefu katika hizi consoles inaweza kuwa shida kwangu ... nilinunua juzi tu used ya mtumba ambayo ilikuwa imechakachuliwa.
 
nenda display setting kacheck resolution zote umezi enable kuanzia 480p, 720p na 1080p,

kama bado inakataa fanya try and error
-tafuta cable nyengine ya HDMI test
-connect ps3 yako na TV nyengine etc.
 
Hiyo process ya juu nilishafanya ya kuchange resolution kwenye display setting... na ilikuwa inagoma zote, ilikuwa imeji-select 480p by default hizo resolution nyingine zote zinagoma ila ninapounganisha waya kwenye tv huwa inaonesha 720p/510/50p katika display kwa juu.

Dah yaani kununua wire wa hdmi tena kwa ajili ya kutest tu... maana huo waya ulikuwa mpya na box lake linaonesha inauwezo wa 1080p sasa sijui shida ni nini.. AU sababu ya kuchakachua ps3?
 
hununui waya, tafuta tu mtu mwenye HDMI, mfano una rafiki yako ana flat tv na kingamuzi cha azam na anatumia HDMI unaweza ukaenda kwake ukatest na tv nyengine na waya mwengine.

issue hapa ni kujua tatizo ni ps3 yako au waya wako au TV yako, unapo narrow hizo possibilities inakuwa rahisi kujua tatizo.
 
Sawa kaak ngoja nijaribu then nitakupa feedback
 
JAMANI MSAADA WENU PS3 YANGU HAISOMI MAGAME YA KWENYE EXTERNAL HARD DISK ILA NIKIWEKA KWENYE PS3 NYNGINE INAKUBALI
 
Back
Top Bottom