PropellerAds kiundani - Jinsi ya kushea Facebook - CPM ya sauzi | Ushauri

Salum mgombe

Member
Jan 14, 2020
22
12
Wazee, kama inavoonekana hapo kwa tittle.

Nilikua na ndoto yakuwa blogger na nashkuru kwa uwezo m/mungu nilifanikiwa na nikawa monetized na kampuni ya Adsense. Ila nimepitia challenge kubwa sana katika hii kampuni (kuzimiwa matangazo) ndani ya akaunt yangu kuko na $200 aisee roho inauma sana. Nimekuja na hii post ili kupata ushauri kadhaa kutoka kwa jamaa zangu mbali mbali maana nimehamia katoka hii kampuni ya PropellerAds kwasasa.

Huku kuna changamoto mambo sio mtelezo kama ilivo kwenye Adsense nadhani wakongwe mnaelewa hili. sasa nataka mbinu au ushauri kutoka kwenu kama kuko na njia mbadala yakueza kupiga $100 kwa siku ndani ya propeller baasi ningependa tushee kwa pamoja ili tusaidiane.

Salute kwa kaka #machoziyasimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee, kama inavoonekana hapo kwa tittle. Nilikua na ndoto yakuwa blogger na nashkuru kwa uwezo m/mungu nilifanikiwa na nikawa monetized na kampuni ya Adsense. Ila nimepitia challenge kubwa sana katika hii kampuni (kuzimiwa matangazo) ndani ya akaunt yangu kuko na $200 aisee roho inauma sana. Nimekuja na hii post ili kupata ushauri kadhaa kutoka kwa jamaa zangu mbali mbali maana nimehamia katoka hii kampuni ya PropellerAds kwasasa. Huku kuna changamoto mambo sio mtelezo kama ilivo kwenye Adsense nadhani wakongwe mnaelewa hili. sasa nataka mbinu au ushauri kutoka kwenu kama kuko na njia mbadala yakueza kupiga $100 kwa siku ndani ya propeller baasi ningependa tushee kwa pamoja ili tusaidiane. Salute kwa kaka #machoziyasimba

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzaa kwanza wewe ulipigajee $200.

Na kwada ganii. Na kwa nini ulifungiwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anzaa kwanza wewe ulipigajee $200.

Na kwada ganii. Na kwa nini ulifungiwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Anha..

Baada ya kuwa Approved na Adsense nikatafuta njia moja nzuri ya kuanza kupiga pesa ndiko nikapata hii ya kushea katika magrup ya sauzi. Hivo haikuchukua mda nikafanyia kazi na kuanza kupiga msuli... Njia iko vizuri maana nilijikuta per day napiga had $50 ila chaajabu ndan siku 7 tu za kaz Adsense wakatuma mesej yao ya Ads limit placed on your site na sababu ni Invalid traffic.

Huu ni msala ambao ulionitia ganzi vibaya ndipo nikaamia kwenye propeller.. Sjui umenipata apo mzeee?

Nimekupata vizurii mwenyewe nime staafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba unisaidie magroup ya south pia na namna ya kushare fb bila kufungiwa laini
Anha..

Baada ya kuwa Approved na Adsense nikatafuta njia moja nzuri ya kuanza kupiga pesa ndiko nikapata hii ya kushea katika magrup ya sauzi. Hivo haikuchukua mda nikafanyia kazi na kuanza kupiga msuli... Njia iko vizuri maana nilijikuta per day napiga had $50 ila chaajabu ndan siku 7 tu za kaz Adsense wakatuma mesej yao ya Ads limit placed on your site na sababu ni Invalid traffic.

Huu ni msala ambao ulionitia ganzi vibaya ndipo nikaamia kwenye propeller.. Sjui umenipata apo mzeee?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikuuzie app ina facdbook ads.. kwa sauz unapiga mtonyo wa kutosha

Back
Top Bottom