Propaganda za Magharibi zinaelekea kushindwa kumtoa Mugabe Zimbabwe

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
DO5m7geW0AEojj8.jpg
Wanatumia mbinu zote kupitia media hadi kuandaa maandamano feki yaliyohudhuriwa na whites ili kuonesha kuwa hatakiwi lakini mbabe huyu mkongwe amegoma na kusimama imara.

1. The SADC Organ Troika Plus Council Chairperson Ministerial Meeting was held at the SADC Secretariat in Gaborone, Republic of Botswana on 16th November 2017, comprising of the Republic of South Africa (Chairperson of Council of Ministers), Republic of Angola (Chairperson of Organ), Republic of Zambia (Incoming Chairperson of Organ) and United Republic of Tanzania (Outgoing Chairperson of Organ).

2. SADC Organ Troika Plus reafirmed SADC's commitment to African Union (AU) Constitutive Act and the SADCs Democratic Principles, as they relate to the unconstitutional removal of democratically elected Governments.

3. The objective of the meeting was to consider the unfolding situation in the Republic of Zimbabwe.

4. SADC Organ Troika noted with great concern the unfolding situation in the Republic of Zimbabwe

5. SADC Organ Troika further reafirmed the need for SADC Member States to remain guided by their Constitutions.

6. SADC Organ Troika called upon all stakeholders in Zimbabwe to settle the political challenges through peaceful means

7. Having considered the unfolding situation in the Republic of Zimbabwe, the Organ Troika recommended the convening of an urgent Extra Ordinary SADC Summit and committed to remain seized with the situation in the Republic of Zimbabwe.

Done at Gaborone, Republic of Botswana, 16th November, 2017

Southern African Development Community :: Press Release: SADC Organ Troika Plus Council Chairperson Ministerial Meeting discusses the Political Situation in Zimbabwe
 
Wanatumia mbinu zote kupitia media hadi kuandaa maandamano feki yaliyohudhuriwa na whites ili kuobesha kuwa hatakiwi lakini mbabe huyu mkongwe amegoma na kusimama imara

You can only wish. Viongozi wengi WA Africa wana laana. Wenye laana zaidi in wale wanao support ujinga wao kwa ajiri ya kushibisha matumbo yao bila kuangalia maisha ya raia wenzao.

Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ni kanuni ya maisha na binadamu hawezi kuipangua. Ndo maana nawadharau sana vijana wadogo akina Bashite wanapata madaraka wanashindwa kuyatumia kwa hekima na busara. Mwisho wa siku wataondoka madarakani kwa aibu na fedheha.

Huwezi kukaa madarakani Milele. Leo dos Santos yuko wapi? Familia yake iliyohodhi utajiri WA waAngola iko wapi? Gadafi, Abacha, Moi, na wengine wengi tuu.......

Hata akina M7, Kagame, Nkurunziza...it's a matter of when not if.
 
Mkuu umegusa ukweli, viongozi wa Africa wanadharau sana wananchi wao kwasababu ya watu wachache wanaonufaika na utawala wao kuwajaza kiburi
 
Wanatumia mbinu zote kupitia media hadi kuandaa maandamano feki yaliyohudhuriwa na whites ili kuonesha kuwa hatakiwi lakini mbabe huyu mkongwe amegoma na kusimama imara
Ongea majestically, wala usiwe na hofu!
Mugabe aliwaongoza wazimbabwe kudai uhuru.

Heshima hii haifutiki.

Wenye akili hawagombani nayo.
I stand with Mugabe come what may.
 
You can only wish. Viongozi wengi WA Africa wana laana. Wenye laana zaidi in wale wanao support ujinga wao kwa ajiri ya kushibisha matumbo yao bila kuangalia maisha ya raia wenzao.

Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ni kanuni ya maisha na binadamu hawezi kuipangua. Ndo maana nawadharau sana vijana wadogo akina Bashite wanapata madaraka wanashindwa kuyatumia kwa hekima na busara. Mwisho wa siku wataondoka madarakani kwa aibu na fedheha.

Huwezi kukaa madarakani Milele. Leo dos Santos yuko wapi? Familia yake iliyohodhi utajiri WA waAngola iko wapi? Gadafi, Abacha, Moi, na wengine wengi tuu.......

Hata akina M7, Kagame, Nkurunziza...it's a matter of when not if.
Vibaraka Work
 
Hiko ni kilio cha kinafiki kutoka Magharibi
 
Yani wewe jingalao sielewi mantiki yako iko vp sababu hata akitoka atakaeingia si ni wa chama hiko hiko?yani ww ni mfia chama. Yaani ili mradi tu ulete ligi...Mzee kama huyo kama unampenda sana ungeona anastahilli kupumzika na kula pension yake kwa amani ila ww kila suala unataka u relate na siasa zako uchwara za uccm..
 
Back
Top Bottom