Propaganda za kipuuzi za ccm ni kama hizi

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
DSC08977-450x600.jpg
 
wawadanganye watu wa vijijini maana hao waandishi hataeurope hawaijui ikoje hayo yatakuwa maelekezo ya nape wapeni pole sana
 
kamanda chriss LUKOSI usichoke hao ni wadaku mahasimu wako kibiashara nenda mbele usiogope
 
Ukisikia kuishiwa ndiyo huko. CCM kwa sasa wanarejea walipokuwa wakati Kikwete akiwaingiza mkenge kwa kuwachafua wenzake. Wamechafuana wamemalizana sasa wanataka kuichafua nchi nzima ili waweze kunusurika. Tanzania ya leo siyo ya jana. Vijana amkeni na simameni mkomboe nchi maana nyinyi ndiyo mna muda mrefu kuishi kama mtu atakufa kwa umri na si ajali za kusababishiwa na huu uongozi mbovu.
 
sasa wanamtuma hata kinana kwenda marekani kwa kujibu mapigo kweli ccm sasa infuata chadema wanachoanzisha magamba yameishiwa eewe mungu tupeleke haraka 2015 tuwatie aibu wauwaji hwa wa ccm
 
Badala ya kuhangaika na matusi, hebu tafuteni habari za hao wauza unga.
 
matusi wanatumia akina lusinde mwigulu nape na aden rage na wauza unga wamesema ni mbunge wa tabora viti maalum ccm anaitwa tambwe hao ndio wanaojulikana na ushahidi upo kwi kwi kwi
 
Hata vijijini wameshasanukia ccm kuwa sio ,mara hii nape atajitafuta
 
Uhuru sio gazeti ni kijarida cha udaku.

sijui kama kimauzo hilo gazeti linalifikia MWANAHALISI. ni bora hao wamiliki wa hilo gazeti wakaokote skrepa huko mitaani kuliko kutunga story na kudownload picha huku JF.
 
sijui kama kimauzo hilo gazeti linalifikia MWANAHALISI. ni bora hao wamiliki wa hilo gazeti wakaokote skrepa huko mitaani kuliko kutunga story na kudownload picha huku JF.

toka uzaliwe ulishawahi kuona mtu anasoma uhuru?

pia huwezi linganisha uhuru na mwanahalisi, ni mlima na kichuguu
 
Back
Top Bottom