Kwanini atumie source za vijiweni kudanganya umma na ili hali reliable source zipo?Ni bora zijibiwe hoja za Gwajima juu ya Chanjo hiyo kuliko kuhusisha mambo mengine ambayo yeye Gwajima hajayasema! Mbona Marehemu Magufuli naye aliwahi kutoa tahadhari juu ya Chanjo kama hizi?
Unataka Hoja gani zaidi ya Hoja ya Uhakika wa Chanjo? Form ya Wizara ya Afya kujitoa katika kuwajibika kwa madhara yatokanayo na Chanjo sio uthibitisho kuwa hawana uhakika na Chanjo hiyo? Umewahi kusainishwa Form kama hiyo kwa Chanjo zingine?Hana hoja zaidi ya kupotosha na kuleta taharuki.
Gwajima hana hoja. Ngoja nikukumbushe uongo wake kuhusu Corona.Tanzania ni moja ya taifa la ajabu kabisa Gwajima ametoa hoja zake mjibuni kwa hoja si kuleta maneno maneno pia Gwajima hayupo peke yake ukitaka kujua hayupo peke yake mguseni tu.
Hizo form hospitali zipo miaka yote zimeandikwa hivyo. Mfano ukiwa unafanyiwa upasuaji mkubwa kabla ya kupigwa sindano ya usingizi/NUSU KAPUTI lazima ndugu zako wasaini fomu kama hizo.Unataka Hoja gani zaidi ya Hoja ya Uhakika wa Chanjo? Form ya Wizara ya Afya kujitoa katika kuwajibika kwa madhara yatokanayo na Chanjo sio uthibitisho kuwa hawana uhakika na Chanjo hiy
Uende na Nani nenda wewe kachanjwe afu nasikia wanapima kwa kipimo kipya kwanza, ni kweli🏃♂️Shime Watanzania wenzangu TWENDENI TUKACHANJWE!
#KingaNiBoraKulikoTiba
#TuchanjeTuikingeJamii
#KaziIendelee
#NchiKwanza
We ndo wa kupuuzwa sio Gwajima!Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha.
Huyu mtu anarudisha juhudi za serikali nyumba ikiwa Mhe Rais alitamka wazi kua sisi siyo kisiwa hatuwezi kujitenga na na dunia, mpotoshaji moja anasoma na kumdhihaki Mama eti anashadadia pesa za Bilgate kweli?
Eti anaombea madaktari wanahimiza na kuchanja watu wafe,huyu mtu ni chizi si mzima. Na atakufa yeye kwanza Corona tunamuombea kama yeye anavyoombea watu.
Gwajima anajifanya yeye mtu wa Mungu wakati ameiba kura za ubunge mchana kweupe dunia inajua, anapata wapi Moral authority ya kunyooshea watu vidole mtu huyu wakati anakula vya halamu? Chama tunajua kuwa aliiba kura na ushindi wake ni haramu tumemnyamazia na akiendelea tutamuumbua.
Huyu mtu ni wa kupuuza anaendelea kurudisha mapambano ya serikali nyuma, lakini akiendelea hivi akamatwe. Hawa ndio waliompotosha mzee kwa kiasi kikubwa tukajikuta tumeingia katika matatizo makubwa. Hivyo kabisa na wapuuzwe. Pesa za Bilgate ndio nini? Kwani Corona haipo?
Acha wauaneSisi tule popcorn au tusubiri maumivu?
Exactly, Gwajima anabezwa tu! Hii nchi hakuna reasoning. Mchungaji katoa hoja hajibiwi zinaanza kejeli.Ni bora zijibiwe hoja za Gwajima juu ya Chanjo hiyo kuliko kuhusisha mambo mengine ambayo yeye Gwajima hajayasema! Mbona Marehemu Magufuli naye aliwahi kutoa tahadhari juu ya Chanjo kama hizi?
Exactly, Gwajima anabezwa tu! Hii nchi hakuna reasoning. Mchungaji katoa hoja hajibiwi zinaanza kejeli.
Hakuna anayekataa chanjo ila kuna controversial nyingi hata wanataaluma wenyewe.
Mfano mdogo why matokeo/madhara wanasema ni juu ya mtumiaji? Mbona zipo taarifa za wazi kuwa wengi waliochoma chanjo wanapata maambukizi? Haraka haraka za nini? Tunawahi nini?
Magaidi huwajui?Itakuwa Nchi ya ajabu Kama Gwajima ajakamatwa Hadi kuisha leo, ni gaidi huyo,Hana nia nzuri na Nchi
Hujamjibu, hapa umemtukana tu.Hoja za kipumbavu za askofu uchwara
Toa hoja acha ujinga we kilazaHoja za kipumbavu za askofu uchwara
Ni aibu sana na hatuna hata shukrani. Bila mzungu TB, Ebola, polio, small pox nk, vingetumaliza vibaya. Tumepunguza vifo vya under 5 sababu ya chanjo za 'mabeberu' kama wakiamua kutuua wote leo au kuzalisha mazombie na mashoga hawashindwi kitu.Huku mtaani eti watu wameanza kuogopa CHANJO kuliko CORONA yenyewe wanaishi na mzimu wa mwendazake kwenye kuamini kuwa wazungu(wagunduzi wa chanjo) wana nia ovu kupitia hizi chanjo.
Hebu tujiulize je wazungu wakiamua kutumaliza tunaweza kuwa kwepea wapi mambo mengine tunaonekana nyani kwa mawazo yetu.