Propaganda ni mbaya sana, imepotosha Watanzania

Kulikuwa na organization fulan isiyokuwa rasimi kwenye vyombo vya ulinzi ambayo ilikuwa ni ya watu wa Kanda ya ziwa.

Hawa walikuwa informers na mahususi kwa yoyote anayeonekana mpenda haki na hashabikii uonezi waliokuwa wanafanyiwa upinzani hasa tangu Tundu Lissu alivyopigwa risasi.

Tuombe Mungu, Mama afanikishe haya maridhiano Ili kuwepo na mizani sawa kwa Kila chama.

Pia police department wapewe seminar waelewe kuwa wao ni civil servants na sio Wana CCM (police CCM)
Majina ya wahusika wote bado yangalipo
 
Chadema ndio chanzo cha Lowassa kuchukiwa propaganda ilianza pale mwembe yanga labda ulikuwa hujaziliwa!
Siasa za 2015 bado nazikumbuka...Dr Slaa alipishana na Lowasa mlangoni...Baadaye Lowasa akaamua kurudi kundini....sasa wote wawili hao wako nyumba moja
 
Back
Top Bottom