The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,890
sijajua ni nani hasa mwasisi wa hii propaganda lakini imekua ikihama kutoka kizazi kimoja kwenda kingine hata hivyo kutokana na bomoabomoa nimegundua kua wahanga walio ktk kundi hatarishi sana ni wanawake na wazee ambao ktk kipindi cha kampeni walikua wakisema tusiwachague wapinzani wataleta vita walikua wakisema chini ya ccm wanafurahia wakila ugali wanalala usingizi kwa amani yote lakini kwa sasa naona wanaona ni bora wangechagua wapinzani kuliko kuogopa vita ya kufikirika