proof ya I na II zinazopatikana udsm za mwaka wa masomo 2012/2013

mgummoja

Member
Dec 15, 2012
16
2
Naomba kauli ya kusema zinazokwenda udsm ni div I na II pekee ifutwe vichwani mwa wanajamii, coz na div III za mwisho zipo.
 
Mbona hujiamini na hicho chuo chako ulichopo?nani kakwambia kuwa three hazipo ud,three zipo,ila nyingi ni za penati..yani unakuta mtu ana 3.6.hope umepata jibu kwa nin wewe na three yako hukuchaguliwa udsm.
 
huo ni ukweli mtupu, udsm kozi za sayansi hususan engineering,biotechnology, wanachukua one kali ila,kozi zilizo baki iwe uchumi,sociology,masscom,law,education mpaka three zile mbaya zipoo
 
Back
Top Bottom