ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,557
- 44,747
Nasikia ila Sina uhakika kwamba ukihesabu mbavu za mwanamke na mwanaume,utakuta za mwanamke Ni nyingi kuliko za kwetu.kwenye stori ile ya uumbaji Hili Jambo halikufafanuliwa sana lakini ukweli Ni kuwa adamu alipolala mbavu zake baadhi zihamishwa akapelekewa Hawa sa kumbe tayari hawa alikuwa na mbavu sawa na adamu ila akaongezewa TU na za ziada.Mungu alitumia hekima akaona huyu anayeenda kuwa msadizi wa mwanaume lazima awe na uwezo wa ziada.kwa hiyo tusijidanganye kuwa wanawake Ni dhaifu wa mwili na roho,Hawa watu mama zetu Wana NGUVU Sana
Ebu fikiria kazi anazofanya ungepewa wewe ungeziweza?mtu abebe mzigo miezi Tisa, azae,achote maji,apike,afue,alee mtoto,Bado Tena aje kukukatikia.sio NGUVU za kawaida mjue Ni maajabu sana.ebu wazia kwa mfano TU ingekuwa sote tuna uwezo wa kuzaa wanaume wangapi mngekuwa mpo tayari kushika mimba na kulea mtoto akunyee miaka miwili.kuna wanaume watabisha watasema kuwa mwanaume anafanya kazi ngumu ambazo mwanamke hawezi kama vile kuchimba mashimo,kwenye migodi n.k.hata hizi wao wanaweza ila tu mgawanyo wa kazi kulingana na jinsia haukuwa fair jamii ililazimishwa kuamini Hilo Jambo kuwa hawawez kuzifanya ila wanaweza
Wanawake Wana maajabu,we fikiria mtu hakupendi anapenda pesa zako ila hutakaa ujue atakupa mapenzi Kama kawaida na kukuvumulia.wakati sisi wanaume mtu Kama humpendi huwezi kulala naye zaidi ya mwaka lazima TU utamchoka.wengine asipokupenda hata ndugu abdala kichwa wazi hasimami kabisa.
Kuna Malaya wanajiuza akiamua anaitembeza mbunye kwa wanaume hata 25 kwa siku na kesho anaamka furesh tu Ila na uhakika hakuna mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wanawake Saba kwa siku never.kwa hiyo ndugu zangu tukubali tukatae wanawake Wana mauwezo na maajabu kupita sisi.