PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

Sina mb ilanitazitaja tu
Barnaba ,lover boy
Ommy dimpoZ vs Vanessa ,me and you
Kigoma all stars
 
yah namtambua sana caligraph jones na ninamkubari.but hiyo haiondoi ukweli kwamba bongofleva iko juu than kenyan music.ukweli upo pale pale.

Shida ya entertainment industry ya Kenya imeingiwa na siasa na ubabe mwingi na macartel. Kitambo wimbo wa msanii uchezwe kwenye station ama apate show lazima akubali kuwalamba vidole mababe Fulani kwenye Industry. Msanii mwenye talanta hana chake ila yule aliyekubaliwa na macartel. Unapata kuna ngoma nyingi nzuri tamu za wasanii ila hazichezwi kwenye redio wala runinga. Unapata sasa Wakenya wengi wanatambua nyimbo za nchi za nje juu hizi ndizo wanazozisikia kwenye redio alafu wanajipata wamekubali Kenya hakuna wasanii wazuri. Wasanii wako ila wamekanyagiwa.
 
Hiyo ni list ya wanamuziki tu bado nyimbo zao sasa zinazobamba
 
Hahaha....Jamaa wa Nyali Bridge iko Dubai sahii anasema ashawai fika Mombasa? Humu Wabongo husema wamefika sehemu zote Kenya yet they're the least travelled East Africans. True story btw.
Kamuoneshe na Baba yako Uhuru Kenyatta:D:D:D:D
IMG_20170524_234909.jpg
IMG_20170524_234922.jpg
IMG_20170524_234935.jpg
 
Shida ya entertainment industry ya Kenya imeingiwa na siasa na ubabe mwingi na macartel. Kitambo wimbo wa msanii uchezwe kwenye station ama apate show lazima akubali kuwalamba vidole mababe Fulani kwenye Industry. Msanii mwenye talanta hana chake ila yule aliyekubaliwa na macartel. Unapata kuna ngoma nyingi nzuri tamu za wasanii ila hazichezwi kwenye redio wala runinga. Unapata sasa Wakenya wengi wanatambua nyimbo za nchi za nje juu hizi ndizo wanazozisikia kwenye redio alafu wanajipata wamekubali Kenya hakuna wasanii wazuri. Wasanii wako ila wamekanyagiwa.
Wamekanyagiwa wapi hawana nyimbo zakushika watu na music ya Tanzania ndio imeua wasanii wakenya na mziki wao pia hata nameless niliwah kumsikia anazungumzia mambo hayo...so short and clear bongo flavor ndio mchawi wenu mpaka kufa:D:D
Hakuna hadithi ya siasa hata kwetu siasa kwenye mziki IPO ila wasanii wabongo wanaakili ya kujiongeza na pia ni talented.....
 
Sikiliza Kitu kutoka kwa Dogo
ujue kabisa Bongo inavipaji
mtu akiimba kuhusu Mapenzi kubembeleza kweli Mashairi yanatulia

Njoo kwa wenzetu eti DAWA YAMOTO NI MOTO HAHAHA Kuna vita
music sio vita mdundo mkuubwa mashairi Ziro

Hawa wanamuziki hawana watu wa kuangalia matamshi yao kabla ya kwenda studio...maneno sale sale badala ya sare sare yanatia kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom