Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Jitahidi kusoma na kuelewa

Sasa nimejibu na wewe huoni kingine zaidi malalamiko unataka nifanye vipi ili uone nimejibu.!

Au ulitaka nikuambie maji yakauke aridhini yawepo angani ili papa na nyangumi tuwaone live bila chenga, fisi simba kwa jamii yao wasiwepo maana wanatumalizia kitoweo,wazungu nao watoweke maana ni wakorofi_hapo ndio ningetosheleza kiu yako.?
Kwahiyo unataka tuseme Mungu hayupo kwa sababu pepo haipo hapa duniani? Au kwamba Mungu angekuwepo pepo ingekuwepo hapahapa duniani?

Si kwamba nataka ujibu kwa kutosheoeza kiu yangu bali hukulielewa swali langu na ndiyo maana umeenda kueleza vitu tofauti na swali lililoulizwa.
 
Kwahiyo unataka tuseme Mungu hayupo kwa sababu pepo haipo hapa duniani? au kwamba Mungu angekuwepo pepo ingekuwepo hapahapa duniani?

Si kwamba nataka ujibu kwa kutosheoeza kiu yangu bali hukulielewa swali langu na ndiyo maana umeenda kueleza vitu tofauti na swali lililoulizwa.
Sasa kama hakuna pepo, huyo mungu wa kazi gani.?

Hana umuhimu ni sawa na mfu tu hana hisia.. ! Wakazi gani sasa.?
 
Sasa kama hakuna pepo, huyo mungu wa kazi gani.?

Hana umuhimu ni sawa na mfu tu hana hisia.. ! Wakazi gani sasa.?
Unaona sasa ndio maana nikasema ulichoeleza mwanzo ni malalamiko hukuelewa swali langu,sikuwa nazungumzia faida ya kuamini Mungu bali uwepo wa Mungu.
 
Kama binadamu anaumba kuku, mbwa nk kwa style aitakayo vp nobishe na yeye hajacroniwa.. Naanza kupata mashaka na elimi ya history ya sisi tulikua manyani wenda kuna kitu wanatujulisha
 
Unaona sasa ndio maana nikasema ulichoeleza mwanzo ni malalamiko hukuelewa swali langu,sikuwa nazungumzia faida ya kuamini Mungu bali uwepo wa Mungu.
Na wewe umeelewa nilichokujibu.? Namaanisha kama hamna pepo sasa, na sio ahadi ya pepo

Mungu anakuwa si lolote na ndivyo alivyo.. sawa
 
Na wewe umeelewa nilichokujibu.? Namaanisha kama hamna pepo sasa, na sio ahadi ya pepo

Mungu anakuwa si lolote na ndivyo alivyo.. sawa
Hiyo pepo(kitu ambacho hatukijui tunakisikia tu) ingekuwepo hapa duniani ndiyo ingekuwaje? maana kama hii dunia pamoja na vilivyomo,kwako wewe bado unaona Mungu si lolote,je kungekuwa na tofauti ipi kama hiyo pepo nayo ingekuwepo duniani kama vilivyokuwepo vitu vyengine duniani?
 
Tofauti zipo wewe..!

Ngoja nimtagi mufti ili atupe sifa za pepo utajua kwanini nasisitiza pepo Jurjani
 
Tofauti zipo wewe..!

Ngoja nimtagi mufti ili atupe sifa za pepo utajua kwanini nasisitiza pepo Jurjani
Suala sio sifa za pepo bali pepo kuwepo duniani na sio ahadi ya pepo,wewe unaona kuwa Mungu anakuwa si chochote kama hakuna pepo hapa duniani. Sasa Mufti atakuja kueleza faida za pepo lakini ile ya ahadi na wewe unataka pepo kuwepo hapa duniani.

Sasa ndio ueleze pepo ingekuwepo hapa duniani ndiyo ingekuwaje?
 
Kuna facet za binadamu zinakufanya uone kuna ukweli kwenye hilo vilevile kuna facet zingine ukimipa unaona kama vile si kweli ndio maana nikasema nashindwa kukubali
 
Similar Discussions

52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom