Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Mkuu...above 3D interaction ndo inawezekana...

The super intelligent beings with their higher dimension continuum can never interact with human being who is able to perceive at 3D ....

Only at high dimension ndo tutaweza waona hao jamaaaa...

Serikali za Majuu huko ndo wanafungia watu special na kuwafundisha mazingira ambayo ni beyond 3D ili waweze kuinteract na hao jamaa ...

Their communication is beyond time and space we own...

We have to jump into another level of spacetime range ili tuweze kuinteract nao.

Ukimsikiliza Tesla anakwambia kuwa

""" If we interact with higher beings at our lowest level of spacetime( 3D) ,our DNA can suffer a wide range of super activation"""

Alikuwa anamanisha kuwa ,tukiruhusu interaction ya moja kwa moja na hao jamaa katika mazingira yetu ya 3D ,DNA zetu zitakuwa activated kwa speed kubwa sana na watu wanaweza pata matatizo ya akili kwa sababu mind zao zitaanza kuwasiliana katika High dimension wakati mazingira uliyopo yanaruhusu interaction ya 3D katika lowest mode of operation...hence kuwafanya watu akili zao ziruke juu ...kama wewe ni mfuatiliaji wa matukio ya "human mental abduction" lazima utakuwa ushasikia kuhusu haya matukio ya watu kupotea au kuwa mazezeta pindi wakutanapo na voumbe vya ajabu ,so that is the reason behind....

Wanasema wale jamaa wana aina flani ya Frequency na Amplitude maalumu kila wanapopita katika anga la space and time ...Our DNA's can sense their presence above 3D only...

So we have to be trained first how to visualize and anticipate the higher dimension range kabla hatuja u subject mwili wetu na interaction hiyo...

Nenda American Institute of Technology utaona jinsi vijana wataalamu wa mambo wanavyofundishwa namna ya kuanza kuona mazingira mbali na 3D yetu...

Means wakiiva ndo wanapelekwa undergroud huko kukutana na hao super intelligent beings ambao wanatoa maelekezo kwa njia ya code reading and code unlocking...

Mkuu nataka kujua, inakuaje ni watu wachache ndo wana hii elimu? Wameipata vipi bila kuathirika?
....
 
"society with the secret".....

hata wewe unaweza pata access ya kupata real info about the jamii yenye ocult za kutosha katika kuhifadhi data zenye ukweli...

Kila unachokiona ni matokeo ya usiri huo...bila usiri huo ulimwengu ungekuwa tofauti..

Kikao cha walimu hakihusishi mwanafunzi katika kujadili namna yaa kudili na mwanafunzi...ila linapofika swala ya kujadili mafanikio ya namna mwanafunzi alivyoshughulikiwa kiongozi wa wanafunzi hushirikishwa ili apate moja bila tatu kuhusu uongozi wa shule ulivyo..

Ndivyo ilivyo kwa watawala wa ulimwengu huu...wapo baadhi ya binadamu hushirikishwa katika kujua moja mbili tatu za ukweli flani..kwa hiyo endelea kuhunt the truth utakuja kujua tu mkuu..
 
Lifecoded kwanini unaamini hao aliens wana akili kuliko binadamu ulishawahi kuwaona?

Kama binadamu waliumbwa na aliens je wao waliumbwa na nani?

Vipi kuhusu viumbe wengine kama mbuzi, mbwa, chui, tembo, nyoka n.k wao waliumbwa na nani.

By the way nimefurahia somo kule juu kwenye purine na pyrimidines.
Unakoelekea utakuja kuuliza mungu aliumbwa na nani!?
 
The earth was constructed for a purpose ...to allow life for the prisoners ..it was allocated in near the Sun to allow food synthesis for the prisoners,The moon was constructed to act as the source of light in the night so that the prisoners can see things in day time under guidance of Sunlight and night under guidance of the moon...

All those sources of light were to monitor the prisoners all the time...

The Earth might be the place to punish the prisoners ...
Hii nakubaliana nawe kabisa. Kuna watu husema Shetani alikuwa mkorofi akafukuzwa Mbinguni akaletwa duniani. Lakini Adam hakuwa mkorofi kama shetani, lakini naye bila kosa eti akatupwa duniani aliko tupwa shetani. Conclusion yangu ni kwamba, kwa sababu tangu tuje humu duniani hakuna aliyewahi kumuona shetani, inanifanya niamini Shetani ni binadamu mwenyewe. Ila kwa kutokutaka kukubali ukweli huo anaanza kumsingizia shetani ambaye hata ha exist.

Hili ni gereza tulitupwa humu, na ndio maana tunasali na kuomba misamaha kwa aliyetuhukumu kupitia dini tukiamini iko siku tutasamehewa turudishwe huko wanakopaita paradise. Elements za ushetani zote tunazo wanadamu, ila kila mtu hataki kufanya hadharani, wauaji huua kwa siri,wezi na waovu wote. Bado watu hawajataka kukubali tu.
 
Mkuu...above 3D interaction ndo inawezekana...

The super intelligent beings with their higher dimension continuum can never interact with human being who is able to perceive at 3D ....

Only at high dimension ndo tutaweza waona hao jamaaaa...

Serikali za Majuu huko ndo wanafungia watu special na kuwafundisha mazingira ambayo ni beyond 3D ili waweze kuinteract na hao jamaa ...

Their communication is beyond time and space we own...

We have to jump into another level of spacetime range ili tuweze kuinteract nao.

Ukimsikiliza Tesla anakwambia kuwa

""" If we interact with higher beings at our lowest level of spacetime( 3D) ,our DNA can suffer a wide range of super activation"""

Alikuwa anamanisha kuwa ,tukiruhusu interaction ya moja kwa moja na hao jamaa katika mazingira yetu ya 3D ,DNA zetu zitakuwa activated kwa speed kubwa sana na watu wanaweza pata matatizo ya akili kwa sababu mind zao zitaanza kuwasiliana katika High dimension wakati mazingira uliyopo yanaruhusu interaction ya 3D katika lowest mode of operation...hence kuwafanya watu akili zao ziruke juu ...kama wewe ni mfuatiliaji wa matukio ya "human mental abduction" lazima utakuwa ushasikia kuhusu haya matukio ya watu kupotea au kuwa mazezeta pindi wakutanapo na voumbe vya ajabu ,so that is the reason behind....

Wanasema wale jamaa wana aina flani ya Frequency na Amplitude maalumu kila wanapopita katika anga la space and time ...Our DNA's can sense their presence above 3D only...

So we have to be trained first how to visualize and anticipate the higher dimension range kabla hatuja u subject mwili wetu na interaction hiyo...

Nenda American Institute of Technology utaona jinsi vijana wataalamu wa mambo wanavyofundishwa namna ya kuanza kuona mazingira mbali na 3D yetu...

Means wakiiva ndo wanapelekwa undergroud huko kukutana na hao super intelligent beings ambao wanatoa maelekezo kwa njia ya code reading and code unlocking...
Na viumbe wengine kama simba chuo etc nani kawaumba?
 
Na viumbe wengine kama simba chui etc nani kawaumba?
 
If they can clone monkeys which share the same moleculer arrangement and yet they have succeded cloning and engeneering the complex species that posses both living and non-living features of existance( Viruses) ,cant they clone human being??? A qn to think ... if they make a total extinction of your genetics they can also reprogramme your genetic through genetic engeneering...

Kati ya molecular structure ya virus na ya mwanadamu ipi ni complex at all?

Human beings are just a party of project undergoing in this world...

We are surviving to fulfil some peoples' idea and when your part is over they make just to make you die so as they can modify another one to replace you through a natural way of giving birth through ourselves...

Life is just the matrix...
IMG_2265.JPG
 
Technology inatoka kwa wazungu ambeye mwenye asili ya kiiziraeli kumbuka hawa watu walipewa utashi mkubwa kumbuka israeli ilikuwa ni taifa teule sasa alichofanya muamerika hakuwafukuza hawa majamaa walibaki nchini mwao na kufanya mambo meningi kumbuka hata binadam wakwanza kwenda mwezini alikuwa n muamerka sio kama sisi ukitaka kugundua kitu unafichwa

Sasa wenzetu white wanasomea kujifunza kutengeneza vitu na kuinvest kwny kitu chenyewe as long itachukua coast na time hajali akini watu weusi tunapoteza muda mwng kutafuta malazi na chakula

Tunaletewa vitu na ujuzi coz hatujawa civilized alafu we unauliza technology inatoka wap
Jibu ni simple
KWA WAZUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wazungu wanatoa wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom