Vw Jr
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 377
- 337
Mkuu science ina sema binadamu n mwili ambao umejengwa na many systems likeHistorically it's known that human beings evolved from chipanzee, and Charles Darwin, cemented by by writing that evolution do occur in nature through natural selection. They went further by saying that we have evolved from common ancestor, but each organism behave the way it's today because of adaption in the environment it operates. Again science is telling us eti tumeumbwa au tumetengenezwa na aliens, so which is which? ? Kwa nini dini isiaminiwe kuhusiana na creation of man and other creatures. Coz hapa napo kuna contradiction. Then kuhusiana na maendeleo ya technology, mimi naona biblia iko wazi kuhusu hili kwamba katika nyakati za mwisho maarifa itaongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bible yenyewe imesema usimwache elimu aenende zake maana yake tusome vyakutosha ilitupate maarifa sasa we unatutisha kuwa tukielimika na kustaarabika ndo tunakarisha nyakati za mwisho don't be blind mkuu wake up ready to learn more utayajua mengiLooh! It's amazing, by the way huo ni unabii uliandikwa na sasa unatimia, anaye engineer hayo mabadiliko ni shetani na agents wake ili apate kuwatia wanadamu katika taharuki. He can't appear physically mpaka agents wake wawe tayari wamemuandalia mazingira. That's why hiyo mipango yake inatimizwa na watu fulani, na hao watu ndio wenye ujuzi, elimu, maarifa na ndio maana kila kukicha na wanakuja na vumbuzi za hali ya juu. Kama vile Mungu alivyochagua watu wachache ili waweze kufikisha ujumbe wake kwa watu ndivyo hivyo huyu baba wa uongo naye amechagua watu wachache na kuwapa ujuzi na maarifa ya vitu mbalimbali ili aweze kudhihirisha uwezo wake "imeandikwa atafanya ishara na maajabu mengi yumkini hata kuwadanganya waliowateule wake" don't be deceived, mimi sioni jipya hapo. Jipya lipo labda to those who don't know and understand both philosophical and revealed knowledge.
NB: umekimbilia kuuliza swali mkuu bila kutoa ufafanuzi wa content yote niliyoiandika. Itakuwa vizuri ukitolea ufafanuzi kuhusiana na hiyo contradiction niliyoiweka hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunaachaje kuiamini biblia wakatii inasema kwelii,,,,vitu vilitabiliwaa na kwelii vinatokeaa sasa duniani,,,mfano mdogo tuu imeandikwa "kila nafsi itaonja mauti" na tunashuhudiaaa vifoo vinatokeaa dunianii,,,,au hiliii hulioniii!?? ilihalii liishaandikwa kwenye bible!?shida inakuja tunapenda kuiamini bible wakati Vatcan kuna library kabsa ya mambo hayo ya hidden reality from walking situation..
kama hujawahi pata access ya kusoma hidden doctrine ni ngumu kuamini hayo mambo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaandika matukio na kuyatekeleza wewe unasema imeandikwa yatatokea....Mkuu tunaachaje kuiamini biblia wakatii inasema kwelii,,,,vitu vilitabiliwaa na kwelii vinatokeaa sasa duniani,,,mfano mdogo tuu imeandikwa "kila nafsi itaonja mauti" na tunashuhudiaaa vifoo vinatokeaa dunianii,,,,au hiliii hulioniii!?? ilihalii liishaandikwa kwenye bible!?
Tueleweshane hapo,,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza nikachimbeee ntarudii tenaa mkuu,,,Watu wanaandika matukio na kuyatekeleza wewe unasema imeandikwa yatatokea....
Kwani wewe huna mipango yako ya kutekeleza mwaka huu...??
Acha kuona kama yaliyoandikwa hayakuandikwa kimahesabu....kila jambo limepangwa kutekelezwa kwa wakati wake na hiyo ndo illusion inayopandizwa kichwani kwa watu.
Tengeneza jambo kimkakati kisha litekeleze kwa wakati flani mtu atakuona wewe nabii....
Ila wasiojua wataendelea kuamini kabisa kuwa yalipangwa na Mungu yatokee...Kama Mungu analitambua hill kuwa watu wake wasio na hatia wanaenda kuangamia kwanini asiende against the bad missions assigned in the bible lakini mambo ndo yanazodi kuwa tofauti...?
Huoni kuwa kuna kitu nyuma ya pazia...??
Imani Imani Imani mbaya sana hasa kama hujui chochote...
Hata Ukimwi watu wanajua Mungu ndo kaleta ila watu wa maabara wanajua step zote ngoma ilivyotengenezwa mpaka kuletwa kwenye jamiii na wanajua what next is going to be innoculated kwenye jamii halafu wewe ambaye hujui chochote unakomaaa kuwa ndo Mungu anayeleta magonjwa...!!seriusly. ??
Daaaaah ..can God torture his creatures in such away kwamba kila kiumbe aliyepo duniani aonje magonjwa mazito kiasi hicho bila hatia...??
Kuna wangapi wanakufa kwa magonjwa hayo ili hali hawajawahi kuwa na tabia za kigomora na Kisodoma??
Hujiulizi tu kuwa hata Huyo mnaemwamini ndo kayaleta mnamkosea sana..!!?
Kwamba Mungu ataleta magonjwa kuwaangamiza wazinzi na wabaya lakini wanaoteketea sio wabaya tena bali ni wema...how comes...?? hujajua tu...??
Umeoa au kuolewa ila gafla mwenzi wako anamua kuchepuka na kupata magonjwa ya ajabu kisha anakuambukiza unapata magonjwa pia halafu unasema Mungu anawapanishi watenda mabaya....maskini mmoja anateseka kwa ubaya wa mtu..kama Mungu alilenga kumteketeza mmoja ambaye ni mbaya sasa imekuwaje na mwenzi wake nae akapata shida hiyo? una hisi mungu ni mbaya kiasi hicho...??
Rudi utafakari tena maandiko ndo utajua ile ni kazi ya watu na wanaitekeleza katika quanta time( muda sahihi uliopangwa).
Wheat!
Kwahiyo mkuu hizo tabiri zilizopo kwenye biblia ni mipango tu iliyokuwa mipangwa na watu kutekelezwa na si kwamba ni utabiri?Watu wanaandika matukio na kuyatekeleza wewe unasema imeandikwa yatatokea....
Kwani wewe huna mipango yako ya kutekeleza mwaka huu...??
Acha kuona kama yaliyoandikwa hayakuandikwa kimahesabu....kila jambo limepangwa kutekelezwa kwa wakati wake na hiyo ndo illusion inayopandizwa kichwani kwa watu.
Tengeneza jambo kimkakati kisha litekeleze kwa wakati flani mtu atakuona wewe nabii....
Ila wasiojua wataendelea kuamini kabisa kuwa yalipangwa na Mungu yatokee...Kama Mungu analitambua hill kuwa watu wake wasio na hatia wanaenda kuangamia kwanini asiende against the bad missions assigned in the bible lakini mambo ndo yanazidi kuwa tofauti...?
Huoni kuwa kuna kitu nyuma ya pazia...??
Imani Imani Imani mbaya sana hasa kama hujui chochote...
Hata Ukimwi watu wanajua Mungu ndo kaleta ila watu wa maabara wanajua step zote ngoma ilivyotengenezwa mpaka kuletwa kwenye jamiii na wanajua what next is going to be innoculated kwenye jamii halafu wewe ambaye hujui chochote unakomaaa kuwa ndo Mungu anayeleta magonjwa...!!seriusly. ??
Daaaaah ..can God torture his creatures in such away kwamba kila kiumbe aliyepo duniani aonje magonjwa mazito kiasi hicho bila hatia...??
Kuna wangapi wanakufa kwa magonjwa hayo ili hali hawajawahi kuwa na tabia za kigomora na Kisodoma??
Hujiulizi tu kuwa hata Huyo mnaemwamini ndo kayaleta mnamkosea sana..!!?
Kwamba Mungu ataleta magonjwa kuwaangamiza wazinzi na wabaya lakini wanaoteketea sio wabaya tena, bali ni wema...how comes...?? hujajua tu...??
Umeoa au kuolewa ila gafla mwenzi wako anamua kuchepuka na kupata magonjwa ya ajabu kisha anakuambukiza unapata magonjwa pia halafu unasema Mungu anawapanishi watenda mabaya....maskini mmoja anateseka kwa ubaya wa mtu..kama Mungu alilenga kumteketeza mmoja ambaye ni mbaya sasa imekuwaje na mwenzi wake nae akapata shida hiyo? una hisi mungu ni mbaya kiasi hicho...??
Rudi utafakari tena maandiko ndo utajua ile ni kazi ya watu na wanaitekeleza katika quanta time( muda sahihi uliopangwa).
Hata mimi sijui, ila baada ya 2050, tutajua na tukiweza kutumia hizo taarifa, binadamu atakuwa amefikia uwezo wa mungu.Sasa inahusika Vipi kwenye mada hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu...bado wanaimodify...itakuwa poa tu..
Hakuna utabiri....those are writtings put purposely...ni ngumu kulielewa hilo..ila ukweli wake ni mchungu sana...ile ni kama kalenda kwao...inawakumbusha mengi ya kufanya...it has lots of codes inside to remind each and everything to do....Kwahiyo mkuu hizo tabiri zilizopo kwenye biblia ni mipango tu iliyokuwa mipangwa na watu kutekelezwa na si kwamba ni utabiri?
Ok mkuu yapi unaweza kueleza kama dalili ya ukweli wa unachoeleza?hakuna utabiri....those are writtings put purposely...ni ngumu kulielewa hilo..ila ukweli wake ni mchungu sana...ile ni kama kalenda kwao...inawakumbusha mengi ya kufanya...it has lots of codes inside to remind each and everything to do....
A non everlasting ever ,with codes to portray a message inside...
nitajaribu kuzungumza na rafiki yangu kim jong un aelekeze makombora eneo hilo den tujue nini kilichopo😂😂😂🙆🙆🙆Wale walioonwa na watoto kule zimbabwe nao ni hoax,halafu,mbona kule bermuda triangle hakuingiliki,na mwisho kwa nn wamarekani wanapalinda sana pale kwenye tobo lililo ncha ya kaskazini mwq dunia,kwa nn ikikatiza ndege yoyote au kitu chochote kitakachojaribu kulisogelea lile tobo lazima wamtungue,kuna nn pale????
nitajaribu kuzungumza na rafiki yangu kim jong un aelekeze makombora eneo hilo den tujue nini kilichopo😂😂😂🙆🙆🙆
🤔🤔🤔😂😂😂Sasa hivi huyo dogo yupo jijini Hanoi nchini Vietnam,ana kikao na kubwajinga Trump, jaribu kumcheki Insta anaweza kuchukua hatua
Mkuu lifecoded hebu tupapasie kidogo lile unalohisi hasa dhumuni la hivi viumbe kututokeza
Mbali na zile sababu ulizo orodhesha hapo awali...?
Kuna kitu natafuta hapa labda nitapata mwanga nataka nipate muono wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu...above 3D interaction ndo inawezekana...Mkuu lifecoded hebu tupapasie kidogo lile unalohisi hasa dhumuni la hivi viumbe kututokeza
Mbali na zile sababu ulizo orodhesha hapo awali...?
Kuna kitu natafuta hapa labda nitapata mwanga nataka nipate muono wako
Sent using Jamii Forums mobile app