Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Historically it's known that human beings evolved from chipanzee, and Charles Darwin, cemented by by writing that evolution do occur in nature through natural selection. They went further by saying that we have evolved from common ancestor, but each organism behave the way it's today because of adaption in the environment it operates. Again science is telling us eti tumeumbwa au tumetengenezwa na aliens, so which is which? ? Kwa nini dini isiaminiwe kuhusiana na creation of man and other creatures. Coz hapa napo kuna contradiction. Then kuhusiana na maendeleo ya technology, mimi naona biblia iko wazi kuhusu hili kwamba katika nyakati za mwisho maarifa itaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu science ina sema binadamu n mwili ambao umejengwa na many systems like
Cardiovascular system
Nerve system
Intergumentary system
Respiratory system
.........
.........

Na hizo system zimetengenezwa na organs kama moyo ,figo,mapafu ,ubongo ,.......n.k

Na hizo organs zimetengenezwa na tissue ambazo zime made up by cell yaan combinations of many cells forms organi

Swali what is cells? ...
Cell is made up by proteins, mitochondria,cell membranes cell wall ivo
Ivo

Mpka unajiuliza michondria imetenezwa na nn ?
Ndo utawapata akina DNA na RNA

so is the combination of chemical molecules to form cells
Ndo

Majibu ya binadamu katoka wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Looh! It's amazing, by the way huo ni unabii uliandikwa na sasa unatimia, anaye engineer hayo mabadiliko ni shetani na agents wake ili apate kuwatia wanadamu katika taharuki. He can't appear physically mpaka agents wake wawe tayari wamemuandalia mazingira. That's why hiyo mipango yake inatimizwa na watu fulani, na hao watu ndio wenye ujuzi, elimu, maarifa na ndio maana kila kukicha na wanakuja na vumbuzi za hali ya juu. Kama vile Mungu alivyochagua watu wachache ili waweze kufikisha ujumbe wake kwa watu ndivyo hivyo huyu baba wa uongo naye amechagua watu wachache na kuwapa ujuzi na maarifa ya vitu mbalimbali ili aweze kudhihirisha uwezo wake "imeandikwa atafanya ishara na maajabu mengi yumkini hata kuwadanganya waliowateule wake" don't be deceived, mimi sioni jipya hapo. Jipya lipo labda to those who don't know and understand both philosophical and revealed knowledge.

NB: umekimbilia kuuliza swali mkuu bila kutoa ufafanuzi wa content yote niliyoiandika. Itakuwa vizuri ukitolea ufafanuzi kuhusiana na hiyo contradiction niliyoiweka hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bible yenyewe imesema usimwache elimu aenende zake maana yake tusome vyakutosha ilitupate maarifa sasa we unatutisha kuwa tukielimika na kustaarabika ndo tunakarisha nyakati za mwisho don't be blind mkuu wake up ready to learn more utayajua mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida inakuja tunapenda kuiamini bible wakati Vatcan kuna library kabsa ya mambo hayo ya hidden reality from walking situation..

kama hujawahi pata access ya kusoma hidden doctrine ni ngumu kuamini hayo mambo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunaachaje kuiamini biblia wakatii inasema kwelii,,,,vitu vilitabiliwaa na kwelii vinatokeaa sasa duniani,,,mfano mdogo tuu imeandikwa "kila nafsi itaonja mauti" na tunashuhudiaaa vifoo vinatokeaa dunianii,,,,au hiliii hulioniii!?? ilihalii liishaandikwa kwenye bible!?

Tueleweshane hapo,,,,,

Watu wanaandika matukio na kuyatekeleza wewe unasema imeandikwa yatatokea....

Kwani wewe huna mipango yako ya kutekeleza mwaka huu...??

Acha kuona kama yaliyoandikwa hayakuandikwa kimahesabu....kila jambo limepangwa kutekelezwa kwa wakati wake na hiyo ndo illusion inayopandizwa kichwani kwa watu.

Tengeneza jambo kimkakati kisha litekeleze kwa wakati flani mtu atakuona wewe nabii....

Ila wasiojua wataendelea kuamini kabisa kuwa yalipangwa na Mungu yatokee...Kama Mungu analitambua hill kuwa watu wake wasio na hatia wanaenda kuangamia kwanini asiende against the bad missions assigned in the bible lakini mambo ndo yanazidi kuwa tofauti...?

Huoni kuwa kuna kitu nyuma ya pazia...??

Imani Imani Imani mbaya sana hasa kama hujui chochote...

Hata Ukimwi watu wanajua Mungu ndo kaleta ila watu wa maabara wanajua step zote ngoma ilivyotengenezwa mpaka kuletwa kwenye jamiii na wanajua what next is going to be innoculated kwenye jamii halafu wewe ambaye hujui chochote unakomaaa kuwa ndo Mungu anayeleta magonjwa...!!seriusly. ??

Daaaaah ..can God torture his creatures in such away kwamba kila kiumbe aliyepo duniani aonje magonjwa mazito kiasi hicho bila hatia...??

Kuna wangapi wanakufa kwa magonjwa hayo ili hali hawajawahi kuwa na tabia za kigomora na Kisodoma??

Hujiulizi tu kuwa hata Huyo mnaemwamini ndo kayaleta mnamkosea sana..!!?

Kwamba Mungu ataleta magonjwa kuwaangamiza wazinzi na wabaya lakini wanaoteketea sio wabaya tena, bali ni wema...how comes...?? hujajua tu...??

Umeoa au kuolewa ila gafla mwenzi wako anamua kuchepuka na kupata magonjwa ya ajabu kisha anakuambukiza unapata magonjwa pia halafu unasema Mungu anawapanishi watenda mabaya....maskini mmoja anateseka kwa ubaya wa mtu..kama Mungu alilenga kumteketeza mmoja ambaye ni mbaya sasa imekuwaje na mwenzi wake nae akapata shida hiyo? una hisi mungu ni mbaya kiasi hicho...??

Rudi utafakari tena maandiko ndo utajua ile ni kazi ya watu na wanaitekeleza katika quanta time( muda sahihi uliopangwa).
 
Ila wasiojua wataendelea kuamini kabisa kuwa yalipangwa na Mungu yatokee...Kama Mungu analitambua hill kuwa watu wake wasio na hatia wanaenda kuangamia kwanini asiende against the bad missions assigned in the bible lakini mambo ndo yanazodi kuwa tofauti...?

Huoni kuwa kuna kitu nyuma ya pazia...??

Imani Imani Imani mbaya sana hasa kama hujui chochote...

Hata Ukimwi watu wanajua Mungu ndo kaleta ila watu wa maabara wanajua step zote ngoma ilivyotengenezwa mpaka kuletwa kwenye jamiii na wanajua what next is going to be innoculated kwenye jamii halafu wewe ambaye hujui chochote unakomaaa kuwa ndo Mungu anayeleta magonjwa...!!seriusly. ??

Daaaaah ..can God torture his creatures in such away kwamba kila kiumbe aliyepo duniani aonje magonjwa mazito kiasi hicho bila hatia...??

Kuna wangapi wanakufa kwa magonjwa hayo ili hali hawajawahi kuwa na tabia za kigomora na Kisodoma??

Hujiulizi tu kuwa hata Huyo mnaemwamini ndo kayaleta mnamkosea sana..!!?

Kwamba Mungu ataleta magonjwa kuwaangamiza wazinzi na wabaya lakini wanaoteketea sio wabaya tena bali ni wema...how comes...?? hujajua tu...??

Umeoa au kuolewa ila gafla mwenzi wako anamua kuchepuka na kupata magonjwa ya ajabu kisha anakuambukiza unapata magonjwa pia halafu unasema Mungu anawapanishi watenda mabaya....maskini mmoja anateseka kwa ubaya wa mtu..kama Mungu alilenga kumteketeza mmoja ambaye ni mbaya sasa imekuwaje na mwenzi wake nae akapata shida hiyo? una hisi mungu ni mbaya kiasi hicho...??

Rudi utafakari tena maandiko ndo utajua ile ni kazi ya watu na wanaitekeleza katika quanta time( muda sahihi uliopangwa).
Ngoja kwanza nikachimbeee ntarudii tenaa mkuu,,,
 
Watu wanaandika matukio na kuyatekeleza wewe unasema imeandikwa yatatokea....

Kwani wewe huna mipango yako ya kutekeleza mwaka huu...??

Acha kuona kama yaliyoandikwa hayakuandikwa kimahesabu....kila jambo limepangwa kutekelezwa kwa wakati wake na hiyo ndo illusion inayopandizwa kichwani kwa watu.

Tengeneza jambo kimkakati kisha litekeleze kwa wakati flani mtu atakuona wewe nabii....

Ila wasiojua wataendelea kuamini kabisa kuwa yalipangwa na Mungu yatokee...Kama Mungu analitambua hill kuwa watu wake wasio na hatia wanaenda kuangamia kwanini asiende against the bad missions assigned in the bible lakini mambo ndo yanazidi kuwa tofauti...?

Huoni kuwa kuna kitu nyuma ya pazia...??

Imani Imani Imani mbaya sana hasa kama hujui chochote...

Hata Ukimwi watu wanajua Mungu ndo kaleta ila watu wa maabara wanajua step zote ngoma ilivyotengenezwa mpaka kuletwa kwenye jamiii na wanajua what next is going to be innoculated kwenye jamii halafu wewe ambaye hujui chochote unakomaaa kuwa ndo Mungu anayeleta magonjwa...!!seriusly. ??

Daaaaah ..can God torture his creatures in such away kwamba kila kiumbe aliyepo duniani aonje magonjwa mazito kiasi hicho bila hatia...??

Kuna wangapi wanakufa kwa magonjwa hayo ili hali hawajawahi kuwa na tabia za kigomora na Kisodoma??

Hujiulizi tu kuwa hata Huyo mnaemwamini ndo kayaleta mnamkosea sana..!!?

Kwamba Mungu ataleta magonjwa kuwaangamiza wazinzi na wabaya lakini wanaoteketea sio wabaya tena, bali ni wema...how comes...?? hujajua tu...??

Umeoa au kuolewa ila gafla mwenzi wako anamua kuchepuka na kupata magonjwa ya ajabu kisha anakuambukiza unapata magonjwa pia halafu unasema Mungu anawapanishi watenda mabaya....maskini mmoja anateseka kwa ubaya wa mtu..kama Mungu alilenga kumteketeza mmoja ambaye ni mbaya sasa imekuwaje na mwenzi wake nae akapata shida hiyo? una hisi mungu ni mbaya kiasi hicho...??

Rudi utafakari tena maandiko ndo utajua ile ni kazi ya watu na wanaitekeleza katika quanta time( muda sahihi uliopangwa).
Kwahiyo mkuu hizo tabiri zilizopo kwenye biblia ni mipango tu iliyokuwa mipangwa na watu kutekelezwa na si kwamba ni utabiri?
 
Kwahiyo mkuu hizo tabiri zilizopo kwenye biblia ni mipango tu iliyokuwa mipangwa na watu kutekelezwa na si kwamba ni utabiri?
Hakuna utabiri....those are writtings put purposely...ni ngumu kulielewa hilo..ila ukweli wake ni mchungu sana...ile ni kama kalenda kwao...inawakumbusha mengi ya kufanya...it has lots of codes inside to remind each and everything to do....

An everlasting ever ,with codes to portray a message inside...
 
hakuna utabiri....those are writtings put purposely...ni ngumu kulielewa hilo..ila ukweli wake ni mchungu sana...ile ni kama kalenda kwao...inawakumbusha mengi ya kufanya...it has lots of codes inside to remind each and everything to do....

A non everlasting ever ,with codes to portray a message inside...
Ok mkuu yapi unaweza kueleza kama dalili ya ukweli wa unachoeleza?
 
Wale walioonwa na watoto kule zimbabwe nao ni hoax,halafu,mbona kule bermuda triangle hakuingiliki,na mwisho kwa nn wamarekani wanapalinda sana pale kwenye tobo lililo ncha ya kaskazini mwq dunia,kwa nn ikikatiza ndege yoyote au kitu chochote kitakachojaribu kulisogelea lile tobo lazima wamtungue,kuna nn pale????
nitajaribu kuzungumza na rafiki yangu kim jong un aelekeze makombora eneo hilo den tujue nini kilichopo😂😂😂🙆🙆🙆
 
Mkuu lifecoded hebu tupapasie kidogo lile unalohisi hasa dhumuni la hivi viumbe kututokeza

Mbali na zile sababu ulizo orodhesha hapo awali...?

Kuna kitu natafuta hapa labda nitapata mwanga nataka nipate muono wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu...above 3D interaction ndo inawezekana...

The super intelligent beings with their higher dimension continuum can never interact with human being who is able to perceive at 3D ....

Only at high dimension ndo tutaweza waona hao jamaaaa...

Serikali za Majuu huko ndo wanafungia watu special na kuwafundisha mazingira ambayo ni beyond 3D ili waweze kuinteract na hao jamaa ...

Their communication is beyond time and space we own...

We have to jump into another level of spacetime range ili tuweze kuinteract nao.

Ukimsikiliza Tesla anakwambia kuwa

""" If we interact with higher beings at our lowest level of spacetime( 3D) ,our DNA can suffer a wide range of super activation"""

Alikuwa anamanisha kuwa ,tukiruhusu interaction ya moja kwa moja na hao jamaa katika mazingira yetu ya 3D ,DNA zetu zitakuwa activated kwa speed kubwa sana na watu wanaweza pata matatizo ya akili kwa sababu mind zao zitaanza kuwasiliana katika High dimension wakati mazingira uliyopo yanaruhusu interaction ya 3D katika lowest mode of operation...hence kuwafanya watu akili zao ziruke juu ...kama wewe ni mfuatiliaji wa matukio ya "human mental abduction" lazima utakuwa ushasikia kuhusu haya matukio ya watu kupotea au kuwa mazezeta pindi wakutanapo na voumbe vya ajabu ,so that is the reason behind....

Wanasema wale jamaa wana aina flani ya Frequency na Amplitude maalumu kila wanapopita katika anga la space and time ...Our DNA's can sense their presence above 3D only...

So we have to be trained first how to visualize and anticipate the higher dimension range kabla hatuja u subject mwili wetu na interaction hiyo...

Nenda American Institute of Technology utaona jinsi vijana wataalamu wa mambo wanavyofundishwa namna ya kuanza kuona mazingira mbali na 3D yetu...

Means wakiiva ndo wanapelekwa undergroud huko kukutana na hao super intelligent beings ambao wanatoa maelekezo kwa njia ya code reading and code unlocking...
 
Similar Discussions

52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom