Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Hapa cha kujiuliza ni kua "wao" ni kina nani na "sisi" ni kina nani. Maana ukiingia mitandaoni utakuta wanaofukunyua ni "wao" na sio sisi. Sisi kila tunachojua, kiwe kweli au sio kweli tumekipata kutoka kwao.
Ndiyo hapo sasa yani hata ukiomba source wa hizi habari utatajiwa mzungu fulani huko ndio ameandika haya mambo,sasa sijui yeye anayapataje ambayo ni siri?
 
...nimekuuliza je_Allah/Yehova hana nguvu kuliko wewe?!...coz ukiamini hivyo impliedly unakuwa unaamini hata hao Aliens wana nguvu/akili kuliko sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuamini pia kuna sababu na sio kwamba unaamini tu kwa kuwa umejisikia kuamini tu,ndio maana nikakuuliza sababu ya kuamini hivyo ni ipi?

Aliens tunaelezwa kuwa ni viumbe tu na ndiyo maana wengine wanauliza nao wameundwa na nani? Ni tofauti na habari za Mungu,sasa wewe umewalinganisha kwa kipi?
Na istoshe msingi wa habari za Mungu ni imani hivyo imani ni kitu kinachohitajika na sio kwamba ni habari za siri,sasa hizi habari za Aliens hazipo kwenye msingi wa imani bali ni siri.
 
Ndiyo hapo sasa yani hata ukiomba source wa hizi habari utatajiwa mzungu fulani huko ndio ameandika haya mambo,sasa sijui yeye anayapataje ambayo ni siri?

Mi nafikiri hawa wazungu hawajitambui.

Kwanza kabisa walituletea dini. Humo wakasema dunia na vyote vilivyomo viliumbwa na Mwenyezi Mungu! Na kulingana na maandiko yao, dunia ni flat na imezungukwa na maji chini na juu angani. Pia wakasema jua linazunguka dunia. Na wakasisitiza kwamba haya ni maneno ya Mungu mwenyewe kwahiyo yapo sahihi 100%. Tukaamini.

Baadae kidogo wakaja na evolution. Wakatuambia binadamu na viumbe vyote vili-evolve na kwamba sisi mwanzo tulikua nyani then tukabadilika na kua binadamu. Pia wakatuambia sasa dunia sio flat tena, ni duara na dunia ndio inazunguka jua. Tukaamini.

Sasa hivi wamegawanyika kuna wanaoamini dunia iko flat, na kuna wanaoamini ipo duara. Kuna wachache wanaoamini tuliumbwa na Mungu na wengi wasioamini. Majority yao kwa sasa hawaamini chochote kati ya hivyo!!!

Sasa we unaona hao ni watu wenye akili timamu?
 
Wao wana ajenda zao ila sie tunaofuata mkumbo tu ndio nafikiri tuna tatizo.

Unakuta mtu anasema wazungu wameleta dini ili kututawala mara sijui kutupumbaza tusijue ukweli,ila hapo hapo yeye mwenyewe anaamini makorokoro mengine ya mzungu huyo huyo ambaye amewadanganya watu kwenye dini.
 
The earth was constructed for a purpose ...to allow life for the prisoners ..it was allocated in near the Sun to allow food synthesis for the prisoners,The moon was constructed to act as the source of light in the night so that the prisoners can see things in day time under guidance of Sunlight and night under guidance of the moon...

All those sources of light were to monitor the prisoners all the time...

The Earth might be the place to punish the prisoners ...
 
We might be, being watched......

The distance Galaxies harbour The highly intelligent entinty ambayo huenda ikawa ndo chanzo cha ustarabu ( Civilization ) katika makazi haya tuliyopo.......

Inafikilisha sana kwanini ustarabu wetu unakuja kusikojulikana...
View attachment 1017741
Demonic doctrine. Stop watching hollywood!

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
The earth was constructed for a purpose ...to allow life for the prisoners ..it was allocated in near the Sun to allow food synthesis for the prisoners,The moon was constructed to act as the source of light in the night so that the prisoners can see things in day time under guidance of Sunlight and night under guidance of the moon...

All those sources of light were to monitor the prisoners all the time...

The Earth might be the place to punish the prisoners ...
Ukweli ni kwamba we are a project. Hii wala sio siri iko wazi kabisa na kila mtu anapaswa kujua hili na nafasi yake katika ulimwengu. Kinyume na hapo utaishi the unfulfilled life ambacho ni kitu kibaya sana and it’s highly punishable.
 
Kabisa mkuu,
 
So it’s like we are somebody’s dissertation?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari mkuu hao aliens ni aina gani!?.....alafu sasa kama aliens wametuumba inamaana ni miungu yetu hiyo inatujua nje ndani na inaweza fanya chochote itakavyo...sasa inakuaje wanakuja kuingia mkataba wa makuɓaliano na sisi viumbe ilivƴotuumba ...(mkataɓa wa makaratasi!!??)..maana inajulikana miaka ƴa 1930 Rais wa U.S.A Franklin Roosevelt alikubaliana na viumbe hao kuhusu mambo mbali mbali ƴenƴe faida ƴa ƙila upande ,kama kufichiana siri uwepo wa viumbe hao , kulinda malango ƴao, kubadilishana technology kwa madini hasa hasa copper, aliens pia wanachukua watu na kuwafanyia experiments kwenƴe laboratory zao pasipo ɗunia kujua kama ripoti ya( The Center of Missing anɗ Exploiteɗ Children ) inasimamiwa na serikali kwa U.S.A tu idadi ƴa watoto kupotea kwa makadirio ni takribani 300,000 kwa mwaka hao ni watoto tu na kuna ripoti za watu wazima pia kupotea za maelfu..huo n mfano tu ..sasa utajiuliza ni experiment tu zinafanyika au kuna venginevƴo!!....kuna ripoti mɓali mɓali zinadai ukiachia hizo DNA experiments pia wanafanƴa cloning ,human phƴsic research ,visual and audio chip implantation ,advanced minɗ control ,human/animal crossbreeɗing, na pia kufanƴa binadamu kuwa kama chakula chao hasa hasa watoto.
Kuna pia taarifa za kuwepo kwa undergrounɗ bases na cities wanaishi hao aliens amɓapo moja ƴa lango kuingilia huko ni area 51 moja wapo ni The Dulce base.
Dulce ni mji mdogo uko new mexico Marekani amɓapo inaripotiwa wakazi wa huko wanaona hizo UFO zikipita angani japo kwa kasi ƴa ajabu walishuhudia mwanga wa taa za UFO hizo na kuripoti ..mwaka 2016 walikutana na kujaɗili kuhusu swala hilo kwenƴe maeneo haƴo.
Kwa mujiɓu wa mfanƴabiashara Paul Bennewitz mmoja wa mashuhuda aligunɗua uwepo wa undergrounɗ base hiƴo baada kugunɗua muingiliano ƴa njia ya mawasiliano na alien spacecraft /UFO ...mwaka 1980 UFOlogist John Lear alitoa makala juu ƴa uwepo wa base hiyo kwenƴe nakala ƴa gazeti la 'Weekly World News' ƴenƴe kichwa cha habari "UFO Base Found in New Mexico"....zaidi unaweza fuatilia "Ancient Aliens Season 2, Episode 4 ".
Pia aliyekuwa US government geologist na engineer Phil Schneider amɓaƴe ameshiriki katika project kama "Philladephia Experiment" na ujenzi wa undergrounɗ militarƴ bases aliandika kuwa serikali iliinga mikataba miaka tofauti na grey aliens 1944,1954,1962,1979,....
Kutokana na shughuli zake hizo mwaka 1979 alishuhudia uwepo wa vifaa vya kisasa kivita na askari wa Mareƙani na greƴ aliens waliishi humo, vƴumba vya magereza zaidi ƴa 100,000 vyenye uwezo wa kuhifadhi binadamu million 15.! Matukio haƴo alichukua katika picha na kuhifaɗhi kwenƴe notebook...ɓaada ƴa ƙutoka kwenƴe kazi hizo na kabla ƴa kuamua kuanika ɓaadaƴe siri hizo kwenƴe vitabu na nakala za picha kuuza info ..mwaka 1996 iliripotiwa alikufa kwa kujiua na nakala zake zilipotea/kuiɓwa na mpaka leo hazijulikani zilipo.
Shuhuda mwengine ni Thomas castello..alikuwa (a photo security specialist in the Dulce installation), ambaƴe alitoa picha alizoɗai zimepigwa kwenƴe base hiƴo ziliposamɓaa kwa 'UFO researchers' miaka ƴa 1980 ..baadaye ikaja taarifa kuwa ye na familia ƴake haijulikani ilipo (japo inadaiwa halikuwa jina lake halisi kutokana na taarifa alizokuwa akiwapa 'UFO researchers' .....miaka ƴa 2000 baadaƴe picha ikaja onekana kwenƴe movie ƴa Arnolɗ Schwarzennegger inayoitwa The 6th day 'ilisetiwa' kama '3D picture' ...amɓapo kuna scene ƴenƴe ufanano sawa na picha za thomas...ƴa juu ƴa thomas ƴa chini ni picha ƴa scene mojawapo ƴa ArnolɗView attachment 1018861

Sent using Jamii Forums mobile app
Daa aisee mkuu unanihamisha kabisa sayari nahizi nipo nyuma ya jua inapozamia far east where no body reach even when they are never come back again

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe mkuu...ukifanya kazi katika taasisi za siri huzeeki kizembe lazima kifo chako kitakuwa cha kutatanisha...

Hizo underground bases zipo kibao maeneo tofauti duniani..

Mexico ndo nchi ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya hizo Aliens bases...

Peru,Singapore,U.S.A ,Brazil,Russia na China Ndo nchi ambazo Aliens wamejenga bases kibao huku Japan ikitajwa kuwa mmoja wapo wa nchi zenye idadi kibwa na Aliens katika underground bases pia ...

Human abduction imeendelea kuwa project inayoendeshwa kwa siri kubwa sana ulimwenguni....Idadi ya watu wengi ikiendela kupata mental paralysis baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu katika taasisi hizo....

We are monitored kabisa 100% ,kuna mind manipulation katika hili...we posses nothing kabisaa....

Nchi za wenzetu waliliona hilo mapema na kuamua kuingia mikataba na wenye ulimwengu huu kisha kupewa mazingira yote wanayiyataka...

Hiyo migogoro tunayoisikia kila siku toka nchi za wenzetu kuwa hawaelewani sijui wanatishiana makombora ya nuclea na siraha kali kama hizo Polonium 210 wanazichezea wanavyojua wao ....

sio kwamba wanafanya maigizo ,yani pale wanatishiana ujuzi ambao wanapewa na Aliens waliopo eneo husika...ni kama kulingishana uwezo wa kimaarifa ....

Sisi bado tupo gizani sana...
Nakubali mkuu wala si maigizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom