Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Nimekupata mi ni muhumini mkubwa sana wa numerology, nimeshapita katika vitabu kama Numerology: The comlplete guide vol 1, Key to the Universe, The key of destiny, The secret science of Numerology. Mi ni master number 11, changamoto ni kuweza kutumia hayo maarifa katika pilika za miasha. Niliuliza katika kuchokoza mjadala wa numerology maana sijawahi kubahatika kukutana nao hapa JF.
karibu..

Sent using Nokia 8 Plus
 
Napataje hivyo vitabu Mkuu kwa soft copy
Nimekupata mi ni muhumini mkubwa sana wa numerology, nimeshapita katika vitabu kama Numerology: The comlplete guide vol 1, Key to the Universe, The key of destiny, The secret science of Numerology. Mi ni master number 11, changamoto ni kuweza kutumia hayo maarifa katika pilika za miasha. Niliuliza katika kuchokoza mjadala wa numerology maana sijawahi kubahatika kukutana nao hapa JF.

MTC | 101| 28
 
Attachments

  • Curtiss FH and HA The Key of Destiny 3rd Edition.pdf
    10 MB · Views: 36
  • Curtiss FH and HA The Key to the Universe 7th Edition.pdf
    10.8 MB · Views: 65
  • Numerology_the_Complete_Guide_Vol-1-_Mathew_Olive_Goodwin.pdf
    16.8 MB · Views: 34
  • The_Secret_Science_of_Numerology-_Shirley_Blackwell_Lawrence.pdf
    1.1 MB · Views: 44
Nondo lakini nje ya mada kidogo, kwa wapenda vitabu
 
Attachments

  • Curtiss FH and HA Realms of the Living Dead 5th Edition.pdf
    6.9 MB · Views: 32
  • Drunvalo Melchizedek - Ancient Secret of The Flower of Life (vol.2).pdf
    9.4 MB · Views: 35
  • Drunvalo Melchizedek - The Ancient Secret.pdf
    3.9 MB · Views: 34
Huu uzi sikuwahi kuutembelea na sasa ninahitaji kuondoka kwenda home. Nitajitahidi niusomee kwenye gari ili nione kile ulichotaka kutujuza. Nimesoma kidogo lakini naona kuna kitu.
 
We might be, being watched......

The distance Galaxies harbour The highly intelligent entinty ambayo huenda ikawa ndo chanzo cha ustarabu ( Civilization ) katika makazi haya tuliyopo.......

Inafikilisha sana kwanini ustarabu wetu unakuja kusikojulikana...
%E2%80%9CL%20O%20O%20K%20%20C%20L%20O%20S%20E%20R%E2%80%9D%20_earth_americas__fire_%20.%20Pho...jpeg

Sent using Nokia 8 Plus
 
Habari mkuu hao aliens ni aina gani!?.....alafu sasa kama aliens wametuumba inamaana ni miungu yetu hiyo inatujua nje ndani na inaweza fanya chochote itakavyo...sasa inakuaje wanakuja kuingia mkataba wa makuɓaliano na sisi viumbe ilivƴotuumba ...(mkataɓa wa makaratasi!!??)..maana inajulikana miaka ƴa 1930 Rais wa U.S.A Franklin Roosevelt alikubaliana na viumbe hao kuhusu mambo mbali mbali ƴenƴe faida ƴa ƙila upande ,kama kufichiana siri uwepo wa viumbe hao , kulinda malango ƴao, kubadilishana technology kwa madini hasa hasa copper, aliens pia wanachukua watu na kuwafanyia experiments kwenƴe laboratory zao pasipo ɗunia kujua kama ripoti ya( The Center of Missing anɗ Exploiteɗ Children ) inasimamiwa na serikali kwa U.S.A tu idadi ƴa watoto kupotea kwa makadirio ni takribani 300,000 kwa mwaka hao ni watoto tu na kuna ripoti za watu wazima pia kupotea za maelfu..huo n mfano tu ..sasa utajiuliza ni experiment tu zinafanyika au kuna venginevƴo!!....kuna ripoti mɓali mɓali zinadai ukiachia hizo DNA experiments pia wanafanƴa cloning ,human phƴsic research ,visual and audio chip implantation ,advanced minɗ control ,human/animal crossbreeɗing, na pia kufanƴa binadamu kuwa kama chakula chao hasa hasa watoto.
Kuna pia taarifa za kuwepo kwa undergrounɗ bases na cities wanaishi hao aliens amɓapo moja ƴa lango kuingilia huko ni area 51 moja wapo ni The Dulce base.
Dulce ni mji mdogo uko new mexico Marekani amɓapo inaripotiwa wakazi wa huko wanaona hizo UFO zikipita angani japo kwa kasi ƴa ajabu walishuhudia mwanga wa taa za UFO hizo na kuripoti ..mwaka 2016 walikutana na kujaɗili kuhusu swala hilo kwenƴe maeneo haƴo.
Kwa mujiɓu wa mfanƴabiashara Paul Bennewitz mmoja wa mashuhuda aligunɗua uwepo wa undergrounɗ base hiƴo baada kugunɗua muingiliano ƴa njia ya mawasiliano na alien spacecraft /UFO ...mwaka 1980 UFOlogist John Lear alitoa makala juu ƴa uwepo wa base hiyo kwenƴe nakala ƴa gazeti la 'Weekly World News' ƴenƴe kichwa cha habari "UFO Base Found in New Mexico"....zaidi unaweza fuatilia "Ancient Aliens Season 2, Episode 4 ".
Pia aliyekuwa US government geologist na engineer Phil Schneider amɓaƴe ameshiriki katika project kama "Philladephia Experiment" na ujenzi wa undergrounɗ militarƴ bases aliandika kuwa serikali iliinga mikataba miaka tofauti na grey aliens 1944,1954,1962,1979,....
Kutokana na shughuli zake hizo mwaka 1979 alishuhudia uwepo wa vifaa vya kisasa kivita na askari wa Mareƙani na greƴ aliens waliishi humo, vƴumba vya magereza zaidi ƴa 100,000 vyenye uwezo wa kuhifadhi binadamu million 15.! Matukio haƴo alichukua katika picha na kuhifaɗhi kwenƴe notebook...ɓaada ƴa ƙutoka kwenƴe kazi hizo na kabla ƴa kuamua kuanika ɓaadaƴe siri hizo kwenƴe vitabu na nakala za picha kuuza info ..mwaka 1996 iliripotiwa alikufa kwa kujiua na nakala zake zilipotea/kuiɓwa na mpaka leo hazijulikani zilipo.
Shuhuda mwengine ni Thomas castello..alikuwa (a photo security specialist in the Dulce installation), ambaƴe alitoa picha alizoɗai zimepigwa kwenƴe base hiƴo ziliposamɓaa kwa 'UFO researchers' miaka ƴa 1980 ..baadaye ikaja taarifa kuwa ye na familia ƴake haijulikani ilipo (japo inadaiwa halikuwa jina lake halisi kutokana na taarifa alizokuwa akiwapa 'UFO researchers' .....miaka ƴa 2000 baadaƴe picha ikaja onekana kwenƴe movie ƴa Arnolɗ Schwarzennegger inayoitwa The 6th day 'ilisetiwa' kama '3D picture' ...amɓapo kuna scene ƴenƴe ufanano sawa na picha za thomas...ƴa juu ƴa thomas ƴa chini ni picha ƴa scene mojawapo ƴa Arnolɗ
IMG_20190210_130508_769.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mkuu hao aliens ni aina gani!?.....alafu sasa kama aliens wametuumba inamaana ni miungu yetu hiyo inatujua nje ndani na inaweza fanya chochote itakavyo...sasa inakuaje wanakuja kuingia mkataba wa makuɓaliano na sisi viumbe ilivƴotuumba ...(mkataɓa wa makaratasi!!??)..maana inajulikana miaka ƴa 1930 Rais wa U.S.A Franklin Roosevelt alikubaliana na viumbe hao kuhusu mambo mbali mbali ƴenƴe faida ƴa ƙila upande ,kama kufichiana siri uwepo wa viumbe hao , kulinda malango ƴao, kubadilishana technology kwa madini hasa hasa copper, aliens pia wanachukua watu na kuwafanyia experiments kwenƴe laboratory zao pasipo ɗunia kujua kama ripoti ya( The Center of Missing anɗ Exploiteɗ Children ) inasimamiwa na serikali kwa U.S.A tu idadi ƴa watoto kupotea kwa makadirio ni takribani 300,000 kwa mwaka hao ni watoto tu na kuna ripoti za watu wazima pia kupotea za maelfu..huo n mfano tu ..sasa utajiuliza ni experiment tu zinafanyika au kuna venginevƴo!!....kuna ripoti mɓali mɓali zinadai ukiachia hizo DNA experiments pia wanafanƴa cloning ,human phƴsic research ,visual and audio chip implantation ,advanced minɗ control ,human/animal crossbreeɗing, na pia kufanƴa binadamu kuwa kama chakula chao hasa hasa watoto.
Kuna pia taarifa za kuwepo kwa undergrounɗ bases na cities wanaishi hao aliens amɓapo moja ƴa lango kuingilia huko ni area 51 moja wapo ni The Dulce base.
Dulce ni mji mdogo uko new mexico Marekani amɓapo inaripotiwa wakazi wa huko wanaona hizo UFO zikipita angani japo kwa kasi ƴa ajabu walishuhudia mwanga wa taa za UFO hizo na kuripoti ..mwaka 2016 walikutana na kujaɗili kuhusu swala hilo kwenƴe maeneo haƴo.
Kwa mujiɓu wa mfanƴabiashara Paul Bennewitz mmoja wa mashuhuda aligunɗua uwepo wa undergrounɗ base hiƴo baada kugunɗua muingiliano ƴa njia ya mawasiliano na alien spacecraft /UFO ...mwaka 1980 UFOlogist John Lear alitoa makala juu ƴa uwepo wa base hiyo kwenƴe nakala ƴa gazeti la 'Weekly World News' ƴenƴe kichwa cha habari "UFO Base Found in New Mexico"....zaidi unaweza fuatilia "Ancient Aliens Season 2, Episode 4 ".
Pia aliyekuwa US government geologist na engineer Phil Schneider amɓaƴe ameshiriki katika project kama "Philladephia Experiment" na ujenzi wa undergrounɗ militarƴ bases aliandika kuwa serikali iliinga mikataba miaka tofauti na grey aliens 1944,1954,1962,1979,....
Kutokana na shughuli zake hizo mwaka 1979 alishuhudia uwepo wa vifaa vya kisasa kivita na askari wa Mareƙani na greƴ aliens waliishi humo, vƴumba vya magereza zaidi ƴa 100,000 vyenye uwezo wa kuhifadhi binadamu million 15.! Matukio haƴo alichukua katika picha na kuhifaɗhi kwenƴe notebook...ɓaada ƴa ƙutoka kwenƴe kazi hizo na kabla ƴa kuamua kuanika ɓaadaƴe siri hizo kwenƴe vitabu na nakala za picha kuuza info ..mwaka 1996 iliripotiwa alikufa kwa kujiua na nakala zake zilipotea/kuiɓwa na mpaka leo hazijulikani zilipo.
Shuhuda mwengine ni Thomas castello..alikuwa (a photo security specialist in the Dulce installation), ambaƴe alitoa picha alizoɗai zimepigwa kwenƴe base hiƴo ziliposamɓaa kwa 'UFO researchers' miaka ƴa 1980 ..baadaye ikaja taarifa kuwa ye na familia ƴake haijulikani ilipo (japo inadaiwa halikuwa jina lake halisi kutokana na taarifa alizokuwa akiwapa 'UFO researchers' .....miaka ƴa 2000 baadaƴe picha ikaja onekana kwenƴe movie ƴa Arnolɗ Schwarzennegger inayoitwa The 6th day 'ilisetiwa' kama '3D picture' ...amɓapo kuna scene ƴenƴe ufanano sawa na picha za thomas...ƴa juu ƴa thomas ƴa chini ni picha ƴa scene mojawapo ƴa ArnolɗView attachment 1018861

Sent using Jamii Forums mobile app
Thomas costello
IMG_20190210_132205_388.jpg

Nakubaliana na wewe mkuu...ukifanya kazi katika taasisi za siri huzeeki kizembe lazima kifo chako kitakuwa cha kutatanisha...

Hizo underground bases zipo kibao maeneo tofauti duniani..

Mexico ndo nchi ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya hizo Aliens bases...

Peru,Singapore,U.S.A ,Brazil,Russia na China Ndo nchi ambazo Aliens wamejenga bases kibao huku Japan ikitajwa kuwa mmoja wapo wa nchi zenye idadi kibwa na Aliens katika underground bases pia ...

Human abduction imeendelea kuwa project inayoendeshwa kwa siri kubwa sana ulimwenguni....Idadi ya watu wengi ikiendela kupata mental paralysis baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu katika taasisi hizo....

We are monitored kabisa 100% ,kuna mind manipulation katika hili...we posses nothing kabisaa....

Nchi za wenzetu waliliona hilo mapema na kuamua kuingia mikataba na wenye ulimwengu huu kisha kupewa mazingira yote wanayiyataka...

Hiyo migogoro tunayoisikia kila siku toka nchi za wenzetu kuwa hawaelewani sijui wanatishiana makombora ya nuclea na siraha kali kama hizo Polonium 210 wanazichezea wanavyojua wao ....

sio kwamba wanafanya maigizo ,yani pale wanatishiana ujuzi ambao wanapewa na Aliens waliopo eneo husika...ni kama kulingishana uwezo wa kimaarifa ....

Sisi bado tupo gizani sana...
 
Asee,Africa hakuna hizi underground bases ? kuna siku uliwahi kugusia maeneo Fulani hivi huko Africa Mashariki

Km unazozijua hebu tufahamishe hata kwa uchache Mkuu

MTC | 101|
 
Naposhindwaga kuelewa ni pale unaambiwa jambo ni la ni la siri lakini ajabu watu wana taarifa za hilo jambo tena mpaka zengine hadi unabaki unajiuliza hivi jambo linaendeleaje kubaki kuwa siri!!!!
 
Naposhindwaga kuelewa ni pale unaambiwa jambo ni la ni la siri lakini ajabu watu wana taarifa za hilo jambo tena mpaka zengine unabaki unajiuliza hivi jambo linaendeleaje kubaki kuwa siri!!!!
...ni kama wanavyosema Mungu aliumba dunia huku kukiwa na uthibitisho kwasababu hakuna aliyekuwepo siku akiumba_ila watu tunaamini tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom