lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,325
- Thread starter
- #1,021
karibu..Nimekupata mi ni muhumini mkubwa sana wa numerology, nimeshapita katika vitabu kama Numerology: The comlplete guide vol 1, Key to the Universe, The key of destiny, The secret science of Numerology. Mi ni master number 11, changamoto ni kuweza kutumia hayo maarifa katika pilika za miasha. Niliuliza katika kuchokoza mjadala wa numerology maana sijawahi kubahatika kukutana nao hapa JF.
Sent using Nokia 8 Plus