Promotion za leo jeshini zimenistua

Magu si raia tu huyu JKT alikimbia? inakuwaje awatomasetomase wapiganaji kirahisi hivo? mliopitia JKT Mpo? mnajua jeshi linavoheshimika hata wanajeshi wenyewe wanaliogopa
 
Tofautisha kupanda cheo kwa mujibu wa kanuni za kijeshi na kupandishwa cheo na amiri jeshi mkuu
Hao wanajeshi wamepewa kazi nje ya jeshi,huwezi kumuacha mkuu wa takukuru na cheo cha meja jenerali,ataongea vipi.na IGP au CDF kwenye mambo ya kazi?
Wewe ndiye bure kabisa
Kwahiyo unataka mkuu wa TAKUKURU awe Lt Jen ?
 
Wewe ndiye bure kabisa
Kwahiyo unataka mkuu wa TAKUKURU hawe Lt Jen ?
Pia nafikiri hujui huyo kapandishwa kutoka Brigedia kuwa Meja Jen

Ulichoandika hakieleweki
Mkuu wa Takukuru ni Brig Gen mpaka sasa bado hajapandishwa kuwa Maj Gen

Huko nyuma kulishakuwa pia na mkuu wa Takukuru Brig Gen

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Pole kaka, hiyo ni dhana potofu kabisa. Rank za General officer siyo stahiki ya mtu husika hata siku moja bali ni utashi wa Commander in Chief. Ingekuwa ni stahiki ya askari, basi sehemu kubwa ya watu walio-graduate Cadet School na Mabeyo nao sasa hivi wangekuwa ni ama 4-star Generals au 3-star Generals. Ma-CDF na Ma-CoS wote waliopita walikuwa accelerated katika vyeo fulani ili wawekewe kwenye nafasi hizo; hata huyo unayempinga amekuwa accelerated kusudi aongoze JKT. Kwa viongozi wa sasa wa jeshi, utagundua kuwa Mabeyo alikuwa Lt Gen chini ya mwaka mmoja kabla ya kuwa Full Gen, na Mohammed alikuwa Maj General kwa mwaka mmoja tu kabla ya kuwa Lt. General, unaweza kupitia historia za Ma-CDF wote kuanzia Mboma mpaka Mabeyo hakuna CDF aliyewahi kuwa LT. Gen kwa miaka mitatu.

Halafu elewa kuwa General officers wanaheshimiana sana kuliko unavyodhania kufuatia rank zao. Lt Gen, Maj Gen na Bde Gen wanajiona wote ni wamoja tu, na utakuta wote wanaitana General tu, hawatenganishani kuwa mmoja ni junior anyanyaswe na mwingine eti ni senior atetemekewe. Zamani sana nilimtembelea Brigedia Mboma (wakati huo) angali akiwa mkuu wa jeshi la anga pale nyumbani kwake Osterbay kulikuwa na party na mimi nilikuwa mmoja wa waalikwa. Marafiki zake wa jeshini aliokuwa amealika kwenye pati ile walikuwa ni makanali, maluteni kanali, na mameja wengi kiasi. Wote walikuwa wanajichanganya kama nini bila kujua wanatofautiana vyeo mpaka alipoanza kuwatambulisha kwa vile walikuwa wamevaa kiraia. Kwa hiyo usichukulie kuwa kuna mabrigadier jenerali watachukia kwa vile kuna mmoja wao kapanda haraka kuwa meja jenerali; wao wanaijua process kikamilifu kabisa.

Kiukweli command ya JKT huwa inatoa ma-CoS wengi sana ndani ya JWTZ ikiwa ni pamoja na Mwamunyange ambaye alipanda hadi kuwa CDF, kwa hiyo siyo ajabu Mbuge akawa CoS huko mbeleni; that is the process! For some reason namwona kama ana deserve!!
Mbuge ndio the next CDF mark my words
 
Mkuu kwani Maafisa wa juu umri wao wa kustaafu ni tofauti na Malut,Capt ,Maj ?
Ni miaka mingapi ?
Kisheria miaka ya kustaafu inategemea na cheo husika

1.Mfano Luteni ni miaka 45 lazima kustaafu

2.Kepteni nimesahau ila nae umri wa kustaafu sio mbali sana na umri wa kustaafu luteni

3.Vyeo vingine vya juu mri wa kustaafu ni miaka 55

4.Ltgen na jen umri wa kustaafu ni miaka 57

5.Sina ripoti yote ila Kikwete aliongeza umri wa kustaafu sina data kamili unaweza fuatilia ama anaejua atujuze

6.Jeshini pia kuna kubakizwa na Rais au wenye mamlaka hayo ndani ya jeshi ndio maaana kuna waliostaafu hadi katika umri wa miaka 64

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mbna cdf alitokea kwenye brigade na hamkushangaa
Namfaham mabeyo tokea zaman sana,wakat wa ujana(mtwara enzi za training za urubani),utu uzima tukiishi Upanga/Alkhan street plot 310yake ilikuwa #4 nakumbuka wakat mimi nikiea room #¥¥!Hata alipokuwa Jeshin (Military intelligence),hakuwa brigadier General wakat anapewa ukuu
 
Ahsante mkuu
Duuh sasa ukiwa kapteni ukizubaa hapohapo unastaafishwa fasta......
 
Namfaham mabeyo tokea zaman sana,wakat wa ujana(mtwara enzi za training za urubani),utu uzima tukiishi Upanga/Alkhan street plot 310yake ilikuwa #4 nakumbuka wakat mimi nikiea room #¥¥!Hata alipokuwa Jeshin (Military intelligence),hakuwa brigadier General wakat anapewa ukuu
Mabeyo ubrigedia amepata kama sio 2013 basi ni 2014

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kisheria miaka ya kustaafu inategemea na cheo husika

1.Mfano Luteni ni miaka 45 lazima kustaafu

2.Kepteni nimesahau ila nae umri wa kustaafu sio mbali sana na umri wa kustaafu luteni

3.Vyeo vingine vya juu mri wa kustaafu ni miaka 55

4.Ltgen na jen umri wa kustaafu ni miaka 57

5.Sina ripoti yote ila Kikwete aliongeza umri wa kustaafu sina data kamili unaweza fuatilia ama anaejua atujuze

6.Jeshini pia kuna kubakizwa na Rais au wenye mamlaka hayo ndani ya jeshi ndio maaana kuna waliostaafu hadi katika umri wa miaka 64

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Weweee! Hivi una uhakika na ulichokiweka hapa? Acha upotoshaji! Hii siyo kweli
 
Back
Top Bottom