Promotion ya Airtel, Chali! Voda free internet kwisha kazi!

mwishowe nimepata kukujua line zipigiwazo kelele zinakopatikana. zinauzwa elfu kumi kwa moja, au ukitaka mbili elfu 15. kama unataka na upo zanzibar piga 0716 999 806 nikusaidie. kama upo dar kuanzia tarehe 18 mwezi huu nitakuwepo DAR.

Line zipi? Fafanua kidogo..
 
Cha kushangaza mpka sasa hakuna mwenye jibu kamili hasa kuhusu bei maana wameonyesha bei ya kuanzia sh 70000 kwa 3gb
 
epictunnel sijui kama matatizo yapo kwao maana ukifungua page yao kawaida kwenye browser inaopen nafikiri hawajamaa watakuwa wameblock tu.

Kuna ingine inaitwa ****enbored.com wakuu km epictunnel inazingua. Mwendo ni ule ule mpk lukwiri.
 
400mb bado ipo wakuu ila wameboresha !! juc dial *154*44# utapata menu !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom