Promosheni ya shinda zaidi na sportpesa washindi watajishindia smartphone, jezi na tiketi

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
203
83

Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa sportpesa Abass Tarimba(kulia) pamoja na Mtangazaji wa Kipindi cha shinda zaidi na SportPesa Happiness Wandela(kushoto) wakionyesha Jezi ya Simba kama zawadi kwa mshindi wa Promosheni ya Sinda na Sportpesa ambayo inatoa zawadi hizo zikiwemo smartphone, tiketi ya kuhudhuria mechi za ligi ya hispania na Uingereza kila mwezi.

KAMPUNI ya mchezo wa kubashiri ya sportpesa imechezesha droo ya 28 ya promosheni ya shinda zaidi na sportpesa, ambapo Amri Nicolas(28) kutoka Kigoma ameibuka mshindi wa Bajaji RE.akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa sportpesa Abass Tarimba ameeleza kuwa kuna ongezeko kubwa la zawadi Kwenye promosheni hiyo.
Tarimba ameeleza kuwa wachezaji wa sportpesa kupitia mitandao yote wana nafasi ya kushinda zawadi mpya .



Mtangazaji wa Kipindi cha shinda zaidi na SportPesa Happiness Wandela(kushoto) akizungumza na mmoja wa shindi wa shindano hilo leo. Kulia ni Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa sportpesa Abass Tarimba

Amesema kuwa zawadi hizo zikiwemo smartphone, jezi za klabu ya Simba au Yanga pamoja na tiketi ya kuhudhuria mechi za ligi ya hispania na Uingereza kila mwezi.Tarimba amesema kuwa kutokana na ukubwa wa promosheni hiyo kwa sasa wameamua kuongeza zawadi zitakazotoka kila wiki na kila mwezi na

Ongezeko hilo la zawadi limewekwa kwa lengo la kuhamasisha wateja waweze kushiriki na kushinda zawadi mbalimbali kupitia mchezo huo wa kubashiri.Amefafanua pia wateja waendelee kubashiri kwa wingi ili kujiweka Kwenye nafasi ya ushindi mnono ambapo unaweza kucheza kupitia mitandao yote, na mpaka sasa washindi kutoka Mikoa 13 wamepatikana ikiwemo Dar es salaam, Kigoma, Mwanza,Tanga, Singida, Ruvuma , Morogoro, Iringa, Kahama, Songwe, Mbeya, Pwani na Lindi.
 
Back
Top Bottom