Promising Signs of Oil in Rovuma Basin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Promising Signs of Oil in Rovuma Basin

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dua, Sep 30, 2007.

 1. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Promising Signs of Oil in Rovuma Basin


  Soma Hapa

  Haya tena Ruvuma basin hiyo upande wetu kuna nini? Je serikali ina mkakati wowote kuangalia kama upande wetu baada ya gas kuna mafanikio ya mafuta hivi karibuni au ndio mafisadi wanajipanga?
   
 2. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wana jipanga?

  Subili kutangaziwa mkataba ulisha sainiwa na wananchi wanatakiwa kuhama hilo eneo within 30 days!

  Anyway labda la Buzwagi limewafundisha hawatarudia kosa!
   
 3. m

  mwewe Senior Member

  #3
  Oct 1, 2007
  Joined: Jul 17, 2007
  Messages: 125
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh! Hayataleta balaa kama iliyopo Lake Albert kati ya Congo na Uganda.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2007
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwewe,
  Siyo Lake Albert peke yake. Angalia sakata linavowaka moto kule Niger Delta nchini Nigeria.
   
 5. G.MWAKASEGE

  G.MWAKASEGE Senior Member

  #5
  Oct 1, 2007
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mungu Atupe Nini Watz,kama Ni Kweli Tumeambiwa Uranium Sasa Mafuta!kwa Viongozi Tulionao Iyo Itakuwa Miradi Binafsi Tuu
   
 6. K

  Koba JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  naomba hayo mafuta yasipatikane mpaka baadaye tukipata uongozi mzuri
   
 7. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2007
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Kama huko ku-nyumba kuna mafuta ya biashara, nasi wa Songea tutaanza kuuona mwezi.

  Si ajabu maeneo hayo yameshanunuliwa na vingunge kama mashamba, wakitarajia kuna madini au mafuta chini yake.....Tutazua songombingo ya kufa mtu.
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2007
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Invincible,
  Kama raia wa kawaida wanahamishwa ili mzungu achimbe madini, waheshimiwa hao pia tutawahamisha.
   
 9. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2007
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  bora wakute ujavuna unaweza pata japo elfu kumi,lakini wakikuta mabuwa umeliwa kwani serikali inalipa mazao na sio aridhi
   
Loading...