Projekti ya Geoff!!!!UPDATES

JS

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
2,064
497
Kwa wale wote marafiki wa Geoff bwana harusi wetu wa JF kwa mwezi huu wa February: Kama mnavyoona siku ndo zimesonga mbele na zazidi kusonga tumebaki na less than two weeks from today mambo yaive.

Michango inaendelea kutolewa na so far so good no complaints kabisa. Ila bado tunapokea michango kwa wale wanaojisikia kutoa ili tumtoe kimasomaso kaka/mdogo/mtoto wetu huyu siku ile anayoisubiri kwa hamu.

Michango hii ambayo JF members wameshatoa na wanaendelea kutoa ni kwa ajili ya ZAWADI SPESHELI for Geoff and his wife ambayo sitaweza kudisclose kwa sasa.

For further info please do PM me and I will get back to you ASAP.

Thanks!!!
JS and the Team

----------------------------------------------------------------------------------

UPDATES ZAIDI:

Wadau wa JF mlioko Ugaibuni: Kuna ndugu zetu wanaopenda kumchangishia huyu dogo kwenye ile zawadi yetu ya JF. sasa nimeconsult team na tumeona kwamba kwa wale walioko Ughaibuni watumie Western Union au Money Gram kuzimuvuzisha hizo uchakavu au sio. nani wa kumtumia nitaPM more details once you get back to me.

Thank you again and again and again for your cooperation. We appreciate it a lot.
 
.....leo hommie simwoni mwoni viwanja hivi......! anyway good work JS &Team......!
 
Jamaa bado kalala, naona uchovu wa kigoma. sijui alipata na kazi za nje kuuga u-bachelor!!! Btw ntakupm Js.
 
Ndo wakati wenyewe huu vya kumalizia malizia kabla ya kuoa............
 
Ila mwambieni asije kwenda kuonja vya Tanga akazamia moja kwa moja kama yule rafiki yake na Babra!!!
 
yaah!....
nipo in the full fact mood!
NO MORE TRIPS,NO MORE MILAAS,NO MORE NO MORE NO MORE

nilikuwa na serious meeting na management ya waajiri wangu just ten mins back...!

AHSANTENI SANA MARAFIKI!
BIG-UP BARBARITA,NL,CARMEL,X-PIN,JS,ZD,BHT,PJ,EDSON,GEORGIEPORGIE,FIDEL,KAIZER,ASKOFU,MJ1,FL1,MSINDIMA,PRETTA,SIPO,NGULI,INVISIBLE,MAXENCE,DARK CITY,MASANILO,BELINDAJACOB,BABA ENOCK.....!

big-up JF MEMBERS!...
support mliyonionyesha sijawahi hata kuifikiria
 
Tuko pamoja, ushindwe mwenywe mkuu, ....hahahah!!
 
Charity
user_online.gif

Charity is carrying her cross to Golgotha
JF Premium Member

hehehe!
naona ujumbe UMENIFIKIA
 
jamiiforums ni umoja wenye nguvu za ajabu!...ukitaka kulithibitisha hilo wasiliana na pj,au mimi...

AHSANTE SANA JF,ASANTE SANA MAXENCE,AHSANTE SANA ALL THE MEMBERS!...

i love you all
 
yaah!....
nipo in the full fact mood!
NO MORE TRIPS,NO MORE MILAAS,NO MORE NO MORE NO MORE

nilikuwa na serious meeting na management ya waajiri wangu just ten mins back...!

AHSANTENI SANA MARAFIKI!
BIG-UP BARBARITA,NL,CARMEL,X-PIN,JS,ZD,BHT,PJ,EDSON,GEORGIEPORGIE,FIDEL,KAIZER,ASKOFU,MJ1,FL1,MSINDIMA,PRETTA,SIPO,NGULI,INVISIBLE,MAXENCE,DARK CITY,MASANILO,BELINDAJACOB,BABA ENOCK.....!

big-up JF MEMBERS!...
support mliyonionyesha sijawahi hata kuifikiria

He!he!he!heheeeeeeee.....hommie...kuaga ndugu na jamaa lazima.......!
 
jamiiforums ni umoja wenye nguvu za ajabu!...ukitaka kulithibitisha hilo wasiliana na pj,au mimi...

AHSANTE SANA JF,ASANTE SANA MAXENCE,AHSANTE SANA ALL THE MEMBERS!...

i love you all

we too
 
Kwa wale wote marafiki wa Geoff bwana harusi wetu wa JF kwa mwezi huu wa February: Kama mnavyoona siku ndo zimesonga mbele na zazidi kusonga tumebaki na less than two weeks from today mambo yaive.

Michango inaendelea kutolewa na so far so good no complaints kabisa. Ila bado tunapokea michango kwa wale wanaojisikia kutoa ili tumtoe kimasomaso kaka/mdogo/mtoto wetu huyu siku ile anayoisubiri kwa hamu.

Michango hii ambayo JF members wameshatoa na wanaendelea kutoa ni kwa ajili ya ZAWADI SPESHELI for Geoff and his wife ambayo sitaweza kudisclose kwa sasa.

For further info please do PM me and I will get back to you ASP.

Thanks!!!
JS and the Team

Thanks JS for this updates,

jamani tunawashukuru wote kwa huu ushirikiano wa hali na mali

siku ndo zinayoyoma tupo kwneye maandalizi ya safari sasa,

bado milango ipo wazi kwa ambao bado watapenda kumchangia mwenzetu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom