Projects za chuo!!: Msaada kwa MaEngineer

kaygeezo

Senior Member
Jul 31, 2008
193
10
“Msaada Mpya katika kukamilisha Project yako”

Microcontrollers

Kutoka Microchip Technology PICs za 8bits na 16bits zipo
Programmer [kununua/ kuazimisha]
Vitabu muhimu vitakavyokusaidia ndani ya muda mchache
Software husika na maelekezo jinsi ya kuzitumia
Msaada kutoka kwetu namna ya kufanikisha lengo lako

Laboratory

Lab mpya naya kisasa itakayokusaidia katika mazoezi mbalimbali yanayohusu Computer Engineering na Telecommunication Engineering na Electronics fields
Msaada wa namna ya kutumia/kuassemble mambo yako yahusuyo project yako

Huduma

Huduma zote ni safi na za uhakika
Bei ni nafuu sana kuliko ulivyowahi kufikiria
Karibu sana

Mawasiliano:

Simu: 0754 964 911
Email: kaygeezo@yahoo.com


“Wahi sasa bidhaa ni chache!”
 
fungua domain yako...ushaanza biashara kubwa na ya kitaalam..fanya mambo ya kitaalam pia...
 
fungua domain yako...ushaanza biashara kubwa na ya kitaalam..fanya mambo ya kitaalam pia...

Kwa kuwa Raisi na serikali yake wameamua kuwekeza kwenye safari za nje.Wacha huyu jamaa atangaze hapa JF ili japo wachache waelimike kuliko kukosa kabisa.

Wembe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom