Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,566
Hello JF,
Hili sio eneo ninalojua..
ila Sio kila saa mvua ikinyesha kuna janga mahali..
i think projects kubwa kama za kujenga madaraja ziwe zina involve wahandisi wa kigeni…
I believe Mazingira yetu yana pose a challenge kwa wahandisi wa kigeni,
Na pia,wahandisi wetu matokeo ya projects zao peke yao zimekua zikisikitisha…
So nadhani tuchanganye skills...
Projects ziwe na wahandisi wa ndani na nje…
Itasaidia wao kupata EXPOSURE..
Ingependeza kuona madaraja yetu yanatengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu,lakini pia unaofaa kwa mazingira yetu...so combications ya skills unahitajika…
Inawezekana ikawa expensive ila mbona tuna Pay high price kila siku na pengine watu kufa kutokana na hii miundo mbinu mibovu.