Projectors mpya kwa bei rahisi

MICHAEL AUSTIN

New Member
Jan 9, 2010
3
0
PROJECTORS AINA YA CLEARCO ZINAPATIKANA TOKA UK.
TAA ZAKE NI MASAA ELFU NANE(8000).KWAHIYO UNAWEZA KUNUNUA PROJECTOR TAYARI INA GROPE/BULB YENYEMASAA 8000(8000HRS) NA KUNUNUA GROPE/BULB PEKEE YA AKIBA KWA LAKI MOJA,KWAHIYO UNAKUWA NA JUMLA YA MASAA ELFU KUMI NA SITA( 16000HRS).Get to the World cup mood!watch soccer live and other tv programes!!
INA Connect kwenye TV,Games,kwenye maharusi,presentation,movies n.k.
screen size ni adjustable 40-150 massive
KWA BEI YA PROJECTORS NA TAARIFA ZAIDI WASILIANA KUPITIA HIZI NUMBERS:
0713846454 AU 0756846454.

KWASASA IMEBAKI MOJA TU KWENYE STOCK,KWAHIYO CHANGAMKIA KABLA HAIJAISHA AU WEKA ORDER KWA MZIGO UJAO.
NB: GROPE/BULB pekee ni laki moja.Kwa BEI ya projector piga hizo numbers za simu hapo juu.

Thank you.
 
Eleza vizuri bei ya projector hujaweka, hiyo laki ni bei ya taa tuu, ila kama ni kweli projector laki!, basi mchina ni kiboko!.
 
Mie nadhani amejieleza vyema tu, bei ya bulb ni 100,000. Hajazungimzia bei ya projector huenda asb atatueleza ni kiasi gani, yaelekea amelala
 
Mbona anaeleweka jamani? Kwamba unapata Projector nzima (yenye "grope" = bulb) kw shs 100,000 ambayo ni sawa na bei ya bulb pekee. Kwa maneno mengine, unapata projector buuure. Ni heri kununua zote (2) kuliko kununua bulb ya akiba:) Tunachoomba ni specifications zote za hiyo projector. Labda ndio hii hapa.
 
kwahiyo jamaa anauza bulb na ukinunua mbili unapata projector bure sio?!
 
mbona anaeleweka jamani? Kwamba unapata projector nzima (yenye "grope" = bulb) kw shs 100,000 ambayo ni sawa na bei ya bulb pekee. Kwa maneno mengine, unapata projector buuure. Ni heri kununua zote (2) kuliko kununua bulb ya akiba:) tunachoomba ni specifications zote za hiyo projector. Labda ndio hii hapa.


kwa bei ya projectors na taarifa zaidi wasiliana kupitia hizi numbers:
0713846454 au 0756846454.
 
Back
Top Bottom