Kabla ya viti maalum. Bunge la Jamhuri (yes ukichanganya na Zanzibar) kutakuwa na wapinzani between 80-90. Ukiongeza na vitu maalum, lazima tukubali kwamba litakuwa bunge la ukweli.
Jakaya is expected to win by low 60 percintile. Kuanzia 60-65%.
Habari ndio hiyo. Amani na utulivu jamani. Kazi ya upinzani mwaka huu ndiyo inayotakiwa iendelee na wasibweteke. Nina uhakika JK awamu yake ya pili atakuwa makini sana, na CCM wataacha michongo yao ya kuona kama nchi mali yao. InshaAllah 2015, tutaendeleza mtanange wa demokrasia ili kuhakikisha utawala bora.