Project Planner natafuta kazi ya kujitolea

Beast_Mzee

Member
Jan 18, 2018
18
19
Habarini wana Jamvi.. natafuta nafasi ya ku volunteer...nina shahada ya Project planning management and community development
 
Habarini wana Jamvi.. natafuta nafasi ya ku volunteer...nina shahada ya Project planning management and community development
Unataka kujitolea kweli au unataka kutumia mgongo wa kutaka kujitolea wakati ukishafika unaanza kudai kulipwa! Ni vema pia ungetaja uko wapi kwa sasa nikuelekze ofisi za kwenda! Kwa Taaluma yako unafaa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom